Ni msomi yupi mwenye sifa hizi na bado yuko mtaani hana ajira?

Acha kutukuza ujinga!
 
Shule ya msingi nimepata wastani wa A
Nikaenda Tabora boys nikapata div one ya point 8
Nikaenda Mzumbe PCM nikapata div one ya point 05
Nikaenda COET Civil Engineering nikapata First class
Ila SIJAAJILIWA na maisha yanaenda🤣🤣
Sasa kama maisha yanaenda ajira ya nini? Kwani unalialia? Kwa GPA hiyo unaqualify kuwa Tutorial Assistant kwa Chuo chochote kama kweli umemaliza UDSM KIXI
 
Huyo jamaa kwa qualification hizo tena masomo ya sayansi kama ni kweli hawezi kuwa mtaani! Anyway kasema maisha yanaenda labda anasimamia miradi ya familia! Sisi hatutaki kusikia mtu mwenye qualification nzuri alafu eti alie kukosa ajira! Hakuna kitu kama hicho! Wate wanaolia ni ma failures
 

Mkiandika mada za kuumiza watu, muwe mnatumia akili kufikiri mnachokiandika na sio kujizima data.
Hata hivyo kama mwandishi amesoma hadi kidato cha nne na hawezi kutofautisha kati ya kufaulu na kufauru, kuna kitu hakipo sawa
 
Mkuu umepata first class CBE basi hatulali
 
 
akikujibu ni tag, naona kaku skip.
 
akikujibu ni tag, naona kaku skip.
Ana madeni tu Kama Ana ubavu atupostie salary slip yake hapa 😂😂😂

Kelele nyingi sana

Mtu hajawah hata kusafiri vocation haiju Kaz kujisifu ujinga kwan Nan ambae hajui kua wasomi hawana pesa?😂 Uko na first class Business kariako nzima huwezi mpaka mwenye first class

Maisha ya kukalili hayo ndio mnaishia kuva kula na kuendeasha ist used ya mkopo😂🤣

Dunia Haina huruma Maskini bhan
 
Yaani wewe jamaa ni poyoyo sana,

wakati tupo advance tulikuwa tunawadharau sana watu wa arts n biashara


ila wengi wao ndio wapo kwenye vitengo vya kupiga pesa ndefu.

Mwenye akili timamu hawezi kudharau program za watu wengine


Wewe una Shida ya afya ya akili


WAHI MILEMBE
 
😂, mtu hana hata project aliyoianzisha basi hata ikaleta impacts kwa jamii husika na first class yake hio ya kukariri kisa ana kijobu chake salary haifk hata M10, anatuvimbia.
 
Nimeshuhudia Vipanga wa Dawasa (Wenye Divishen one Kali na GPA Kubwa na Vyeo vikubwa) wakiomba msaada kwa Experienced technician juu ya maji kutofika mahali flani, Kumbe motor waliyoiweka haikukidhi matakwa ya pipe za kuvuta hayo maji.
Naamini jibu halijatosheleza, ila naamini umeuona kamwanga kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…