Ni msomi yupi mwenye sifa hizi na bado yuko mtaani hana ajira?

Ukiwa huna, kila mtu hakutaki unakuwa takataka mbwa. Ukipata usigeuke nyuma unapaswa kuwa katili kweli kweli kwa sababu dunia haina huruma wala msalia mtume.


Kila mtu ajipambanie kivyake bhana
 
Hadi mimi unaniambia ukiandika nitasema unaongeza chumvi?
ngoja nikumegee kdogo, mm chuo nilikuwa vzur darasani, nilikuwa nazungukwa kuwafundisha watu, kwenye mtihani watu kama 20 walikuwa wanadesa kwangu, yaani naweza maliza mtihani ila karatasi ya kwanza sinayo inazunguka kwa watu huko, nilitoka na upper second(hons) kidogo tu nipige first, wale wote waliokuwa wanadesa kwangu walianza kupata kaz kabla yangu, kuna ishu huwa hata sitakagi kuiongelea maana inaniumizaga sana.
 
πŸ˜‚, mtu hana hata project aliyoianzisha basi hata ikaleta impacts kwa jamii husika na fisst class yake hio ya kukariri kisa ana kijobu chake salary haifk hata M10, anatuvimbia.
Mtu yeyote mwenye juhudi ktk kazi zake hasa biashara, huwezi msikia anazungumzia ajira hovyo. Asikwambie mtu, biashara ni nzuri sana.
duu ila inategemeana kaka, huko nako kuna stress, tena hiz biashara za uchuuzi😟
 
Pole ndiyo maisha
 
Unaweza ukawa na hiyo first class lakini usifanikiwe kupata ajira.

Kwa Ulimwengu wa sasa wenye wahitimu wengi wa Vyuo Vikuu, muhimu uwe na connection pamoja na bahati tu
Story za vijiweni kupata first class sio kalio ,chuo chenyewe kinabakisha wenye first class ,narudia hakuna mwenye first class akakosa ajira,first class haipatikani kwa kuonga /bahati, kama yupo ajitokeze
 
Wako wengi wenye hzo sifa ulizozitaja na hawajapata ajira mkuu.ushawahi calculate kwa mwaka vyuo vyote tanzania wanagraduate watu wangapi or hzo upper na first zinatoka ngapi kila mwaka? Against nafasi za ajira zinazokuwepo?.Na nani kakuambia kila muajiri hvyo ndo vigezo vyake?.It seems una utoto mwingi sana.
 
Bado hujayafahamu Maisha vizuri, Mungu akupe UHAI miaka michache ijayo utajionea aibu kwa haya uliyoyaandika hapa
 
Wa kujiita wasomi ndo wanaamini ajira ndo mafanikio katika maisha ila kwa akili ya kawaida mention matajiri watano unaowajua walioajiriwa
 
Ishu ni vijana tulionao kujinasibu wamesoma hawana ajira! Kama umesoma hujapata ajira usilielie sijui serikali sijui nini!! Samaki akifumba mdomo hakamatwi na ndoano! Huyo msomi ukimuuliza GPA hawezi kukwambia maana ni gentleman au lower!
Nafikiri wewe bado ni mwanafunzi na unategemea wazazi au walezi, wacha tukupe muda
 
Nina upper second chuo na nipo kitaa
 
Una elimu gani na una umri gani? Jna assets zenye thaman gan
 
Ishu ni vijana tulionao kujinasibu wamesoma hawana ajira! Kama umesoma hujapata ajira usilielie sijui serikali sijui nini!! Samaki akifumba mdomo hakamatwi na ndoano! Huyo msomi ukimuuliza GPA hawezi kukwambia maana ni gentleman au lower!
πŸ˜‚ kwa kweli waje saiti tuendeleze gurudumu la survival kwa kubeba tofali
YOLO!
 
#Samia mitano tena
Hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…