Ni muda muafaka nguri hawa waenziwe, tusisubiri wakiwa wamekufa ndio tuchonge sana zao

Ni muda muafaka nguri hawa waenziwe, tusisubiri wakiwa wamekufa ndio tuchonge sana zao

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
These mem shaped Tanzanian music at the highest level.

Hawa ndio foundation na mashina
Screenshot_20260210_202911_Google.jpg
 
Hata mangwea angekuwa hai asingekuwa anazungumziwa kwa ukubwa kama anavyozunguzwa Leo. Kwa hivyo hatunabudi kuwazika kwanza hawa jamaa ndipo tuwape heshima yao wakiwa futi sita chini ya tope.
 
Aisee truth hurts
Inaauma lakini itabidi tuzoee mkuu. Na ukifa ukiwa bado wa moto ndo utazungumzwa zaidi (mfano ngwea), ukitaka kuami hilo ngoja Prof Jay pamoja na makubwa aliyofanya aondoke uone kama atakuwa anaenziwa kama ngwea 😂.
 
Back
Top Bottom