Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia ipo kabla hata nyanya wa bibi yako hajazaliwa, heshimu bibliaWazo la hovyo!
Mithali 31:6 -7
Anywe akausahau umaskini wake;
Hapa inawezekana Umasikini walioongeleea ni Umasikini wa kiroho sio huku tunaoujua🤔Mithali 31:6 -7
Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
View attachment 2774551
Maskini wapo wa ain nyingi na wote wamepewa tiketi kunywaHa
Hapa inawezekana Umasikini walioongeleea ni Umasikini wa kiroho sio huku tunaoujua🤔
Maana Biblia Ina lugha zake mise
mo ,mafumbo ,mithali inahitaji ufahamu wa hali ya juu kuweza kuyapambambanua mafunuo
🤓 I like jfMithali 31:6 -7
Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
View attachment 2774551
Hata mmi nlitaka kushangaa ..... mfano nimeagiza kitimoto nusu na ndizi mbili nikishushia na serengeti lite mbili ni dhambi kweli ....eb tuambizane ukweliException ni wakristo wachache sana kama wale wa Jumamosi ndio huamini bado Mungu huchukizwa na Pombe.
Makanisani kuwe na bar ndogo ila kuwe na sheria mtu apige chupa mbili ama tatu ili kukidhi kigezo cha kuwa mnywaji na sio mlevi.
Alafu kitu kizuri zaidi ni kwamba makanisa huwa yana misamaha ya kodi na tozo, si hivyo tu lakini pia wanaweza kuuza bila faida, yani hapa watauza kwa bei rahisi kuliko hata kwenye kambi za jeshi, kwakweli itakuwa ni kazi takatifu sana.
Agano la kale lilishapitwa na wakati, Mungu alichukizwa na unywaji wa pombe lakini agano jipya limetupa uhuru hata masikini kahamasishwa anywe pombe kupunguza mawazo.
Mithali 31:6 -7
Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
Nyingi sana tena zinaagizwa breweries kabisaMafaza wanakuaga nazo mle kwenya mafriji
mapadre mbona wanakunywa, au huwa hawakukaribishi?Exception ni wakristo wachache sana kama wale wa Jumamosi ndio huamini bado Mungu huchukizwa na Pombe.
Makanisani kuwe na bar ndogo ila kuwe na sheria mtu apige chupa mbili ama tatu ili kukidhi kigezo cha kuwa mnywaji na sio mlevi.
Alafu kitu kizuri zaidi ni kwamba makanisa huwa yana misamaha ya kodi na tozo, si hivyo tu lakini pia wanaweza kuuza bila faida, yani hapa watauza kwa bei rahisi kuliko hata kwenye kambi za jeshi, kwakweli itakuwa ni kazi takatifu sana.
Agano la kale lilishapitwa na wakati, Mungu alichukizwa na unywaji wa pombe lakini agano jipya limetupa uhuru hata masikini kahamasishwa anywe pombe kupunguza mawazo.
Mithali 31:6 -7
Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
Kunywa pombe sio dhambi kwa makanisa mengi, kwanini wasiruhusu ?Katika mambo niliyojifunza ni kumuogopa Mungu na kukufuru maneno yake. Ni kheri kukaa kimya kuliko kua mjuzi wa kila jambo hasa linalohusu Imani.
Kunywa pombe sio dhambi kwa makanisa mengi, kwanini wasiruhusu ?
ni makanisa machache yanayojitambua yanakataza pombe, Makanisa yanayoruhusu yanafata haya maandiko,Pombe haifai. Pombe ni dhambi. Wagalatia 5:19-26. Soma hapo.
Kiukweli unachojaribu kukifanya ni kupotosha maandiko ili kuharalisha maovu.
Ndugu acha upotoshaji. Ni dhambi.