Ni muda sasa umefika makanisani kuwe na bar ndogo za kunywa pombe, waumini wanywe pombe kusuuza nafsi,

Ha
Mithali 31:6 -7

Anywe akausahau umaskini wake;

Mithali 31:6 -7

Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.

View attachment 2774551
Hapa inawezekana Umasikini walioongeleea ni Umasikini wa kiroho sio huku tunaoujua🤔

Maana Biblia Ina lugha zake mise
mo ,mafumbo ,mithali inahitaji ufahamu wa hali ya juu kuweza kuyapambambanua mafunuo
 
Maskini wapo wa ain nyingi na wote wamepewa tiketi kunywa

Uwe maskini wa pesa, Maskini wa amani, Maskini wa akili, Maskini wa afya,,,,,Piga Pombe
 
Exception ni wakristo wachache sana kama wale wa Jumamosi ndio huamini bado Mungu huchukizwa na Pombe.

Makanisani kuwe na bar ndogo ila kuwe na sheria mtu apige chupa mbili ama tatu ili kukidhi kigezo cha kuwa mnywaji na sio mlevi.

Alafu kitu kizuri zaidi ni kwamba makanisa huwa yana misamaha ya kodi na tozo, si hivyo tu lakini pia wanaweza kuuza bila faida, yani hapa watauza kwa bei rahisi kuliko hata kwenye kambi za jeshi, kwakweli itakuwa ni kazi takatifu sana.

Agano la kale lilishapitwa na wakati, Mungu alichukizwa na unywaji wa pombe lakini agano jipya limetupa uhuru hata masikini kahamasishwa anywe pombe kupunguza mawazo.

Mithali 31:6 -7

Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
Hata mmi nlitaka kushangaa ..... mfano nimeagiza kitimoto nusu na ndizi mbili nikishushia na serengeti lite mbili ni dhambi kweli ....eb tuambizane ukweli
 
Bar zipo mbona kwenye maeneo ya makanisa..sema unywaji unakuwa wa kiheshima

Ova
 
Wakati huo huo tukishindana kujambiana misikitini huku tukitarajia kupata pombe safi peponi na wanawake 72 wenye macho makubwa kama vikombe huku tukipewa nguvu za kusukuma mti kwa wanawake 100.

Yaani tunapewa 72,halafu tunapewa nguvu za kusukuma 100 kibabe hapo hiyo pepo itakuwa siyo pepo tena itakuwa balaa maana huku vijito vya pombe huku warembo lazima kufuke moshi.
 
Exception ni wakristo wachache sana kama wale wa Jumamosi ndio huamini bado Mungu huchukizwa na Pombe.

Makanisani kuwe na bar ndogo ila kuwe na sheria mtu apige chupa mbili ama tatu ili kukidhi kigezo cha kuwa mnywaji na sio mlevi.

Alafu kitu kizuri zaidi ni kwamba makanisa huwa yana misamaha ya kodi na tozo, si hivyo tu lakini pia wanaweza kuuza bila faida, yani hapa watauza kwa bei rahisi kuliko hata kwenye kambi za jeshi, kwakweli itakuwa ni kazi takatifu sana.

Agano la kale lilishapitwa na wakati, Mungu alichukizwa na unywaji wa pombe lakini agano jipya limetupa uhuru hata masikini kahamasishwa anywe pombe kupunguza mawazo.

Mithali 31:6 -7

Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
mapadre mbona wanakunywa, au huwa hawakukaribishi?
 
Katika mambo niliyojifunza ni kumuogopa Mungu na kukufuru maneno yake. Ni kheri kukaa kimya kuliko kua mjuzi wa kila jambo hasa linalohusu Imani.
 
Kunywa pombe sio dhambi kwa makanisa mengi, kwanini wasiruhusu ?
 
Pombe haifai. Pombe ni dhambi. Wagalatia 5:19-26. Soma hapo.

Kiukweli unachojaribu kukifanya ni kupotosha maandiko ili kuharalisha maovu.

Ndugu acha upotoshaji. Ni dhambi.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Pombe haifai. Pombe ni dhambi. Wagalatia 5:19-26. Soma hapo.

Kiukweli unachojaribu kukifanya ni kupotosha maandiko ili kuharalisha maovu.

Ndugu acha upotoshaji. Ni dhambi.
ni makanisa machache yanayojitambua yanakataza pombe, Makanisa yanayoruhusu yanafata haya maandiko,

Mithali 31:6 -7

Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
 
Kama ushoga umeanza kukubalika kwenye nyumba za ibada, hata pombe zitakubalika, ni suala la muda tu
 
Back
Top Bottom