Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni makanisa machache yanayojitambua yanakataza pombe, Makanisa yanayoruhusu yanafata haya maandiko,
Mithali 31:6 -7
Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
Ili ninyi mbakie na unafiki,usengenyaji,kujikweza kama mpo mbinguni,ubaguzi na ujuaji wenu?Labda wakatoliki ndio wataweza
Ndio maana yake,kwani unatakaje sasaIli ninyi mbakie na unafiki,usengenyaji,kujikweza kama mpo mbinguni,ubaguzi na ujuaji wenu?
Ni kejeli kivipi wakati dini kibao tu za kikristo tunaruhusu Pombe ?Kilichokupa kiburi na jeuri ya kuandika kejeli kama hii ni afya njema uliyojaliwa.Afya hiyo ni bora ungetumia kwa kile unacho amini katika Imani yako.Ukiona Imani yako ni Bora kuliko nyingine Kaa kimya.Pia ukiona Imani ya mwenzako siyo Bora pia Kaa kimya.Na Kuna siku hicho unachokejeli utakipigia magoti kuomba msaada.Tubu ndugu.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haki kuna watu mnamoto wenu specialNaunga mkono hoja, pamoja na nyama choma kitimoto na huku mziki laini, Bwana asifiwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo tunakata nyaya!Exception ni wakristo wachache sana kama wasabato wanaoamini bado Mungu huchukizwa na Pombe.
Makanisani kuwe na bar ndogo ila kuwe na sheria mtu apige chupa mbili ama tatu ili kukidhi kigezo cha kuwa mnywaji na sio mlevi.
Alafu kitu kizuri zaidi ni kwamba makanisa huwa yana misamaha ya kodi na tozo, si hivyo tu lakini pia wanaweza kuuza bila faida, yani hapa watauza kwa bei rahisi kuliko hata kwenye kambi za jeshi, kwakweli itakuwa ni kazi takatifu sana.
Agano la kale lilishapitwa na wakati, Mungu alichukizwa na unywaji wa pombe lakini agano jipya limetupa uhuru hata masikini kahamasishwa anywe pombe kupunguza mawazo.
Mithali 31:6 -7
Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
Huu ni ujingaException ni wakristo wachache sana kama wasabato wanaoamini bado Mungu huchukizwa na Pombe.
Makanisani kuwe na bar ndogo ila kuwe na sheria mtu apige chupa mbili ama tatu ili kukidhi kigezo cha kuwa mnywaji na sio mlevi.
Alafu kitu kizuri zaidi ni kwamba makanisa huwa yana misamaha ya kodi na tozo, si hivyo tu lakini pia wanaweza kuuza bila faida, yani hapa watauza kwa bei rahisi kuliko hata kwenye kambi za jeshi, kwakweli itakuwa ni kazi takatifu sana.
Agano la kale lilishapitwa na wakati, Mungu alichukizwa na unywaji wa pombe lakini agano jipya limetupa uhuru hata masikini kahamasishwa anywe pombe kupunguza mawazo.
Mithali 31:6 -7
Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
Ukiona maada hii imekuchukiza jipigie makofi kwa kupata akili ya kutambua kwamba Pombe ni chukizo kwa Mungu na dini inayorusu Pombe haikufai.
Unywe bia mbili utoe nishai na kuacha kudanganyana mmeokoka.Ndio maana yake,kwani unatakaje sasa
Ujinga kivipi kuruhusu kitu ambacho kimeruhusiwa waumini wakitumie ?Huu ni ujinga
Mimi sina hasira, pombe si chukizo. Ulichoandika pale juu ni ujinga, upuuzwe.Ujinga kivipi kuruhusu kitu ambacho kimeruhusiwa waumini wakitumie ?
Ukiona ni dhihaka jijue tayari umepata akili ya kujua kwamba Pombe ni chukizo kwa Mungu na ndio maana hata wewe umepata hasira kuruhusu pombe kwenye Nyumba ya Mungu.