Ni muda sasa umefika makanisani kuwe na bar ndogo za kunywa pombe, waumini wanywe pombe kusuuza nafsi,

Mimi nashauri kwenye misikiti kuwe na veranda vya mabomu.
 
ni makanisa machache yanayojitambua yanakataza pombe, Makanisa yanayoruhusu yanafata haya maandiko,

Mithali 31:6 -7

Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.

Haya Ndugu umeshinda.
 
Kupanga ni kuchagua, unywe hapahapa duniani au ukainjoi divai tiririka na bikra 72 akhera.
 
Pombe ni kwa ajili ya watu masikini ili wasahu shida zao
 
Kilichokupa kiburi na jeuri ya kuandika kejeli kama hii ni afya njema uliyojaliwa.Afya hiyo ni bora ungetumia kwa kile unacho amini katika Imani yako.Ukiona Imani yako ni Bora kuliko nyingine Kaa kimya.Pia ukiona Imani ya mwenzako siyo Bora pia Kaa kimya.Na Kuna siku hicho unachokejeli utakipigia magoti kuomba msaada.Tubu ndugu.
 
Ni kejeli kivipi wakati dini kibao tu za kikristo tunaruhusu Pombe ?

Ukiona ni kejeli ujijue kwamba umepata akili ya kujua kwamba pombe ni chukizo kwa Mungu na dini zinazokataza kunywa pombe ndio dini za kweli.

Walengwa wa hii maada ni makanisa yanayoruhusu kunywa pombe kwa kigezo cha kuruhusu mtu awe mnywaji wakijua kabisa hata mnywaji analewa kwa kiasi.
 
Naunga mkono hoja, pamoja na nyama choma kitimoto na huku mziki laini, Bwana asifiwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haki kuna watu mnamoto wenu special
 
T
Exception ni wakristo wachache sana kama wasabato wanaoamini bado Mungu huchukizwa na Pombe.

Makanisani kuwe na bar ndogo ila kuwe na sheria mtu apige chupa mbili ama tatu ili kukidhi kigezo cha kuwa mnywaji na sio mlevi.

Alafu kitu kizuri zaidi ni kwamba makanisa huwa yana misamaha ya kodi na tozo, si hivyo tu lakini pia wanaweza kuuza bila faida, yani hapa watauza kwa bei rahisi kuliko hata kwenye kambi za jeshi, kwakweli itakuwa ni kazi takatifu sana.

Agano la kale lilishapitwa na wakati, Mungu alichukizwa na unywaji wa pombe lakini agano jipya limetupa uhuru hata masikini kahamasishwa anywe pombe kupunguza mawazo.

Mithali 31:6 -7

Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
Tatizo tunakata nyaya!
 
Ukiona maada hii imekuchukiza jipigie makofi kwa kupata akili ya kutambua kwamba Pombe ni chukizo kwa Mungu na dini inayorusu Pombe haikufai.
Huu ni ujinga
 
Huu ni ujinga
Ujinga kivipi kuruhusu kitu ambacho kimeruhusiwa waumini wakitumie ?

Ukiona ni dhihaka jijue tayari umepata akili ya kujua kwamba Pombe ni chukizo kwa Mungu na ndio maana hata wewe umepata hasira kuruhusu pombe kwenye Nyumba ya Mungu.
 
Mimi sina hasira, pombe si chukizo. Ulichoandika pale juu ni ujinga, upuuzwe.
 
Back
Top Bottom