Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

sasa si unaona, yaani Mungu anakasirishwa na kitu alichoruhusu mwenyewe, labda kama anafanya hivyo makusudi ili apate watu wa kuchoma milele....
 

Marko 10:31 BHN​

Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.” ata injili inakili ilo hawa jamaa zamu yetu sasa kuwahubiria naona wengi wanakengeuka.No wonder idadi kubwa ya mapadre huenda uko ughaibuni I have 5 friends of mine US Autrali and German wanapiga injili
 
sasa si unaona, yaani Mungu anakasirishwa na kitu alichoruhusu mwenyewe, labda kama anafanya hivyo makusudi ili apate watu wa kuchoma milele....
Wewe endelea kujitia kichwa ngumu ukae kimya kwa kutulia kidume kije nyumbani kwako kumposa mtoto wako wa kiume, pokea posa kwa roho safi kabisa ikibidi kuwe na sherehe ukumbini
 
unataka kupinga na viongozi wako
 
nadhani muhimu kwao ni awe Mkristu Mkatoliki tu. Sidhani kama suala la kuzingatia rangi lina maana auu lina manuafaa yoyote.
 
Boresheni Imani yenu acha upuuzi hata hujiulizi wazungu wakristo kuhiji Uzunguni ,Waarabu Uislam kuhiji Uarabuni,Wahindi Hindu kuhiji India Wewe Muafrika eti kuhiji mpaka Uende Uzunguni,Uarabuni na India yaani hujiongezi tu? Nenda kasalimie kwenu December Waafrika huenda kwenye mizimu yao na Mungu wa Muafrika anafanya vitu mpaka sasa wala haitaji kitabu kumthibitisha kama hao wanathibitisha mungu wao kwa kusoma stori zilizopita .Acha utumwa wewe Mtu mweusi
 
Inawezekana kama Mungu akiingilia kati. Ila makanisa ya Afrika yameshituka, hayafuati utamaduni mbaya wa kizungu. Mambo ya ushoga wazungu wabaki nayo hukohuko kwao
 
Africa shulenj walimu na viranja ni wanyampara wanaolazimisha wanafunzi kwenda vipindi vya dini!
 
Inawezekana kama Mungu akiingilia kati. Ila makanisa ya Afrika yameshituka, hayafuati utamaduni mbaya wa kizungu. Mambo ya ushoga wazungu wabaki nayo hukohuko kwao
Fika Makanisa ya Africa Kusini
 
Kwanini tuongoze dini za kufikia kwani zetu zina shida gani? Zina mapungufu gani?
Bado naona dini zetu ni bora na imara zaidi mara 1000 kuliko hizo dini zingineView attachment 2821842

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mara 1000, unayozungumia. Unapima kwa kutumia kigezo gani?( Kwasababu, sijawahi kusikia dini zetu zimefufua watu)
. Na wakati dini ya YESU imefanya hivyo mara nyingi.
 
Fika Makanisa ya Africa Kusini
Afrika kusini huwa inajiona iko ulaya. Makanisa ya huko mtanzania akisali atashangaa sana. Ukiona praise and worship team wanavyovaa ni aibu tupu. Hata bongo wameanza kuiga hasa makanisa ya dar wanachefua kwa kweli
 
You are right brother.
BANTU UNION is our religion.
Waafrika wote sio wabantu kuna nilotics,cha msingi ni kuachana nao na kuanzisha African Catholic (AC) badala ya Roman Catholic(RC).Tangu Papa watoke nje ya Roma Kanisa Katolic inazidi kupotoka.
 
Mimi na muda sana siingii kanisani na hiyo ilikuja mwaka fln michango ikawa Hivi

Zawadi ya kuzaliwa mtoto yesu 10,000
Wawata(Kwa ajiri ya mke wangu) 50,000
Vitenge vya wawata35000

Mchango wa pesa ya mshumaa wa xmas500
Harambee ya kumpongeza baba paroko Kila muumini mkubwa 15,000

Mchango wa jumuiya Kwa ajri ya kununua msalaba (ulivunjika) 7000

Nilkuwa sija hudhuria jumuiya miezi 2 na Kila siku Huwa tukikutana tunatoa 1000 kama sadaka hivo 8000

Michango mingine nimesahau.Na hiyo ilkuwa ndani ya miezi 3 tu yaani 10_12 michango hiyo yote iwe imakamilika ndipo akri yangu ikang'amka na kutambua hii ni biashara kwenye dini tumetoka kabisa!

Mbaya zaidi Kuna muumini alifiwa wakasusia kuzika kuzika kisa hatoi michango ya jumuiya na kanisani kwahiyo hawatahusika duuh nikaona hizi dini tukae nazo pembeni kwanza!

Hili nalo ndo linanifanya niache kuami kabisa Dhehebu langu Rc Kwa namna hii kiongozi anaye aminika kuwa ni mtakatifu ana halalisha maovu na uchafu ambao hata nguruwe kamwe hajawahi fanya ! Inafikirisha sana.

Mtihani Bado upo Kwa wife ukimwambia achana na hizi anasema watu watanionaje acha tu niwe naenda!
 
Kama Hilo ni tatizo la kibailojia basi biblia au msaafu ingelitambua
Kwanini viwete imewatambua ?
Achani kutetea na kuhalalisha upumbavu na usenge ulio kithiri shoga ni shoga tu Hana sababu ya kumfanya awe shoga iwe kibailojia au kijamii never ever

Watu kama wewe ni wakuangaliwa sana huenda umekodiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…