Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

Hongera mkuu wa kushtukia utapeli wa Dini.
 
Hiyo mara 1000, unayozungumia. Unapima kwa kutumia kigezo gani?( Kwasababu, sijawahi kusikia dini zetu zimefufua watu)
. Na wakati dini ya YESU imefanya hivyo mara nyingi.
Imefanya hivyo lini na Wapi??lete ushahidi achana na stori za kusadikika na Yesu alikuwa Dini gani??
 
Yaani kama waliweza kutuletea dini zao natukazikubali, na kuzitumikia na kuacha za kwetu, watashindwaje kutuletea ufirw*ji, ??? Yaani tutawezaje kukataa kufir* au kufirw* ili uende mbinguni? Yaani waafrika watakataa kataa mwanzoni tu na mwishoe watakubali kamacwalivyokubali babu zetu kuzipokea hizi dini/hizi tamaduni,
 
Roman Catholics kanisa katoliki la Magharibi halafu liongozwe na Muafrica?

You must be mad.
 
Hivi Mecca kuzunguka lile kaburi ile si ibada ya mizimu kweli, sasa si bora nikaangalie kaburi za babu yangu?

Huku nako Papa anahalalisha ushoga, taabu tupu.
Kaburi' gani!?..hakuna kaburi' pale,ule ni msikiti,wengine huswali mule ndani
 
hata majambazi ruksa kwenda makanisani lakini wanaenda kwa nia ya kubadilika hawaingii na mapanga, Wazinzi ruksa kuingia kanisani lakini wanaenda kwa nia ya kubadilika wanayaacha mavumbi ya kongo, sasa shoga iweje aingie kavaa kishoga.
Kuvaa kishoga ndo kuvaaje? Hebu fafanua kwan
 
Kwani hapa Tanzania wasijikite na hizo sababu nyingine pia, ili waweze kujua suala hili kwa upana?

Na wanafanya jitihada gan kuzuia hili jambo ikiwa halitakiwi, kupitia hiyo sababu uliyoainisha.
 
Wewe endelea kujitia kichwa ngumu ukae kimya kwa kutulia kidume kije nyumbani kwako kumposa mtoto wako wa kiume, pokea posa kwa roho safi kabisa ikibidi kuwe na sherehe ukumbini
Ndo mkiishiwa hoja mnakuja na kejeli na jazba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…