ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Anatoa nafasi ya kujitambua kubadilika kuifata njia ya kwelihujajibu swali, nimeuliza, kama Mungu anachukizwa na mashoga kwanini anaruhusu uwepo wao? uwezo wa kuwaondoa si anao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatoa nafasi ya kujitambua kubadilika kuifata njia ya kwelihujajibu swali, nimeuliza, kama Mungu anachukizwa na mashoga kwanini anaruhusu uwepo wao? uwezo wa kuwaondoa si anao?
Yaani yeye ndo katengeneza mfumo mzima, mtu akiwa shoga ina maana yeye karuhusu, sasa kama ni kitu kibaya kwanini aruhusu kimpate mtu?Anatoa nafasi ya kujitambua kubadilika kuifata njia ya kweli
Atakujibu yeye mwenyewe uniletee mrejeshoYaani yeye ndo katengeneza mfumo mzima, mtu akiwa shoga ina maana yeye karuhusu, sasa kama ni kitu kibaya kwanini aruhusu kimpate mtu?
Mnasingiza nguvu za giza, Mungu si ndiye aliyeruhusu uwepo wa hizo nguvu? kila kitu ni kwasababu yake.
Mungu huyo hayupo.Atakujibu yeye mwenyewe uniletee mrejesho
Hongera mkuu wa kushtukia utapeli wa Dini.Mimi na muda sana siingii kanisani na hiyo ilikuja mwaka fln michango ikawa Hivi
Zawadi ya kuzaliwa mtoto yesu 10,000
Wawata(Kwa ajiri ya mke wangu) 50,000
Vitenge vya wawata35000
Mchango wa pesa ya mshumaa wa xmas500
Harambee ya kumpongeza baba paroko Kila muumini mkubwa 15,000
Mchango wa jumuiya Kwa ajri ya kununua msalaba (ulivunjika) 7000
Nilkuwa sija hudhuria jumuiya miezi 2 na Kila siku Huwa tukikutana tunatoa 1000 kama sadaka hivo 8000
Michango mingine nimesahau.Na hiyo ilkuwa ndani ya miezi 3 tu yaani 10_12 michango hiyo yote iwe imakamilika ndipo akri yangu ikang'amka na kutambua hii ni biashara kwenye dini tumetoka kabisa!
Mbaya zaidi Kuna muumini alifiwa wakasusia kuzika kuzika kisa hatoi michango ya jumuiya na kanisani kwahiyo hawatahusika duuh nikaona hizi dini tukae nazo pembeni kwanza!
Hili nalo ndo linanifanya niache kuami kabisa Dhehebu langu Rc Kwa namna hii kiongozi anaye aminika kuwa ni mtakatifu ana halalisha maovu na uchafu ambao hata nguruwe kamwe hajawahi fanya ! Inafikirisha sana.
Mtihani Bado upo Kwa wife ukimwambia achana na hizi anasema watu watanionaje acha tu niwe naenda!
haya mambo ni magumu muda mwingine natamani nisingechunguza mambo.Atakujibu yeye mwenyewe uniletee mrejesho
Dini zetu ni zipi hizo ?Kwanini tuongoze dini za kufikia kwani zetu zina shida gani? Zina mapungufu gani?
Bado naona dini zetu ni bora na imara zaidi mara 1000 kuliko hizo dini zingineView attachment 2821842
Sent using Jamii Forums mobile app
Imefanya hivyo lini na Wapi??lete ushahidi achana na stori za kusadikika na Yesu alikuwa Dini gani??Hiyo mara 1000, unayozungumia. Unapima kwa kutumia kigezo gani?( Kwasababu, sijawahi kusikia dini zetu zimefufua watu)
. Na wakati dini ya YESU imefanya hivyo mara nyingi.
Nileo tu ndo umeamua kuwa mkweli na mzalendoKwanini tuongoze dini za kufikia kwani zetu zina shida gani? Zina mapungufu gani?
Bado naona dini zetu ni bora na imara zaidi mara 1000 kuliko hizo dini zingineView attachment 2821842
Sent using Jamii Forums mobile app
Roman Catholics kanisa katoliki la Magharibi halafu liongozwe na Muafrica?Dini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika.
Huko kwa wazungu wengi wamezikimbia dini, kanisani kwenda huwa ni wazee, hata rais anaenda mara moja moja matukio maalum sio kama huku Afrika karibu kila mwezi lazima rais aende, vijana nao utawakuta na biblia mikononi siku ya jumapili, hali ni tofauti sana kwa wazungu ambao kwa vijana kanisani ni kwenye kuoana na kuzikana pekee
Wazungu kwa sasa hali ya maisha yao inaafikiana na maagizo ya Mungu na yeyote anaediriki kupinga mtindo wa maisha yao anaonekana muovu huko nchi zao, mfano mashoga na wasagaji na watu wanaobadili jinsia wanalindwa mnooo, yani ukidiriki kuwakashifu waweza onekana zaidi ya gaidi, mambo ya sex education yanaruhusiwa hata kwa watoto ikiwemo kuwafundisha kujiridhisha kwa mikono, watoto wana maamuzi ya kuamua kubadili jinsia na ole wako mzazi umpinge, mzazi huruhusiwi kumchapa mwanao hata kwa kanga.
Nachoona hii dini kwa wenzetu ishaingizwa zaidi na utamaduni wao, na ndio maana hata papa huwa anaogopa kuzungumzia mambo flani ama nae tayari yumo humo anatetea.
Ilianza kidogo kidogo papa anakaa meza moja na wanaume wanaoingiliana wanaotaka kuwa wakristo huku bila kuacha hio tabia ya kupekechana wanaume kwa wanaume, Panya ukimpa siagi atahitaji na maziwa !! leo hii ni ruksa kwa wanaume wanaoingiliana kingono kunatizwa na kuwa wazazi watakatifu, kifuatacho ni wao kudai haki za kupewa nafasi za uongozi waingize zaidi mambo yao kwa kizazi kibichi cha kuanzia 2010, mambo haya yote hatuwezi kumlaumu papa pekee bali ni mfumo wa maisha ya wazungu ambao wengi walishaachana na mambo ya dini ila dini imebaki kupush ajenda za utamaduni wao duniani, waathirika wakubwa wanakuwa waafrika ambao wapo mstari wa mbele kwenye kufuata misingi ya dini ya kikatoliki.
Ni wakati sasa wa dini hii iongozwe na sisi waafrika tunaoiwekea bidii zaidi
Kaburi' gani!?..hakuna kaburi' pale,ule ni msikiti,wengine huswali mule ndaniHivi Mecca kuzunguka lile kaburi ile si ibada ya mizimu kweli, sasa si bora nikaangalie kaburi za babu yangu?
Huku nako Papa anahalalisha ushoga, taabu tupu.
Ukijibiwa utanitumia PDF ake.1. Tunaiwekea bidii hiyo dini, imetupeleka wapi?
2. Hao mashoga, wasagaji na wanaobadili jinsia kama wanamchukiza Mungu sana, mbona anaruhusu uwepo wao?
haya ni maswali ya msingi unatakiwa ujiulize
Kuvaa kishoga ndo kuvaaje? Hebu fafanua kwanhata majambazi ruksa kwenda makanisani lakini wanaenda kwa nia ya kubadilika hawaingii na mapanga, Wazinzi ruksa kuingia kanisani lakini wanaenda kwa nia ya kubadilika wanayaacha mavumbi ya kongo, sasa shoga iweje aingie kavaa kishoga.
Shangaa wee hapoWaachieni dini yao. Iweje mnataka kuifanya ya kwenu?
Kwani hapa Tanzania wasijikite na hizo sababu nyingine pia, ili waweze kujua suala hili kwa upana?Mambo ya Kibiolojia:Utafiti unapendekeza kwamba kunaweza kuwa na sababu za kibayolojia zinazoathiri mwelekeo wa ngono. Baadhi ya tafiti zimegundua athari za kijeni na homoni kwenye mwelekeo wa ngono, lakini hakuna "jini la mashoga" maalum ambalo limetambuliwa.
Athari za Homoni:Athari za homoni kabla ya kuzaa wakati wa ukuaji wa fetasi zimedhaniwa kuwa na jukumu katika mwelekeo wa ngono. Hata hivyo, taratibu sahihi hazieleweki kikamilifu.
Sababu za Kinasaba:Ingawa kuna uthibitisho kwamba chembe za urithi zinaweza kuchangia mwelekeo wa ngono, kuna uwezekano kwamba mchanganyiko wa mambo ya kijeni, homoni, na mazingira unahusika. Ni mwingiliano changamano badala ya kipengele kimoja cha kubainisha.
:Sababu za kijamii na mazingira pia zinaweza kuwa na jukumu. Watafiti wengine wanapendekeza kwamba uzoefu wa utotoni, mienendo ya familia, na mazingira ya kijamii yanaweza kuchangia ukuzaji wa mwelekeo wa ngono. Walakini, mambo haya hayazingatiwi kuwa ya kuamua.
Utambulisho Usiochaguliwa:Muhimu zaidi, maoni yaliyopo kati ya mashirika makubwa ya matibabu na afya ya akili ni kwamba mwelekeo wa ngono sio chaguo. Watu binafsi hawachagui kuwa mashoga, wasagaji, wapenzi wa jinsia mbili au wa jinsia tofauti. Ni kipengele cha msingi cha utambulisho wao.
Utofauti wa Uzoefu: Ni muhimu kutambua utofauti wa uzoefu ndani ya jumuiya ya LGBTQ+. Hakuna simulizi moja, na uzoefu wa mtu binafsi wa kuelewa mwelekeo wa kijinsia unaweza kutofautiana sana.
Kwa hapa Tanzania, tumejikita kwenye sababu za kijamii na mazingira, mfano mtoto anaanza kupigwa miti akiwa shule, au hawa bongo fleva anapigwa miti ili apate hela za kurekodi, na baadae anaendelea na mchezo mpaka anzoea na yeye anakuwa anapiga miti wenzake.
Ndo mkiishiwa hoja mnakuja na kejeli na jazba.Wewe endelea kujitia kichwa ngumu ukae kimya kwa kutulia kidume kije nyumbani kwako kumposa mtoto wako wa kiume, pokea posa kwa roho safi kabisa ikibidi kuwe na sherehe ukumbini