inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Hakuna ushahidi wowote wa kisayansi unaoonesha ushoga hutokana na maumbile,ni utashi tu wa mtu Kama kuvuta sigara na kunywa pombe,sisi waislam QUR'AN inasema 'na tumekufanyieni njia mbili,imma mfuate njia ya kushukuru au ya kukufuru'..hapo Kuna utashi wa mtu,tumepewa utashi lakini tumehadharishwa na mustakabalu/matokeo yakeYaani yeye ndo katengeneza mfumo mzima, mtu akiwa shoga ina maana yeye karuhusu, sasa kama ni kitu kibaya kwanini aruhusu kimpate mtu?
Mnasingiza nguvu za giza, Mungu si ndiye aliyeruhusu uwepo wa hizo nguvu? kila kitu ni kwasababu yake.
Wanaboa mnooo.Africa shulenj walimu na viranja ni wanyampara wanaolazimisha wanafunzi kwenda vipindi vya dini!
Nimecheka had machozi, ila ndo ukweli wenyeweeYaani kama waliweza kutuletea dini zao natukazikubali, na kuzitumikia na kuacha za kwetu, watashindwaje kutuletea ufirw*ji, ??? Yaani tutawezaje kukataa kufir* au kufirw* ili uende mbinguni? Yaani waafrika watakataa kataa mwanzoni tu na mwishoe watakubali kamacwalivyokubali babu zetu kuzipokea hizi dini/hizi tamaduni,
Kila kinachotokea duniani kimeruhusiwa na huyo Mungu. Ndo muweza wa yoteHakuna ushahidi wowote wa kisayansi unaoonesha ushoga hutokana na maumbile,ni utashi tu wa mtu Kama kuvuta sigara na kunywa pombe,sisi waislam QUR'AN inasema 'na tumekufanyieni njia mbili,imma mfuate njia ya kushukuru au ya kukufuru'..hapo Kuna utashi wa mtu,tumepewa utashi lakini tumehadharishwa na mustakabalu/matokeo yake
Acha kurudia rudia sentensi Kama umemeza memory card,fikiria...soma ulichojibiwa,kitafakariKila kinachotokea duniani kimeruhusiwa na huyo Mungu. Ndo muweza wa yote
Saivi nikiamua kutoa sadaka naenda Kwa wasio jiweza. Mwaka Jana nili mnunulia mama mmoja vitenge wao wanaita java pair 3 na Hela 20k yule mama alito machozi huwezi amini alilia sana akisema Mungu hajanijalia mtoto lkn Leo hii amenipa mtoto huyu alishukuru sana. Nilikuwa na pikipiki nikamuaga akasema chukua kuku yoyote bandani humo ukale na wajukuu zangu ...kwangu ukawa mtihani mwingine nikakataa akachukua jogoo kubwa sana nikapewa kutokana na maneno Yale kuongea Kwa sauti ya juu mama mmoja akawa amekuja akaniambia chukua Wala usikatae. Nikachukua!Hongera mkuu wa kushtukia utapeli wa Dini.
Huyo mungu atakuwa Ana roho mbaya Sana, matatizo atengeneze mwenyewe alafu anakuja kuhukumu viumbe wake Kwa kufanyasasa si unaona, yaani Mungu anakasirishwa na kitu alichoruhusu mwenyewe, labda kama anafanya hivyo makusudi ili apate watu wa kuchoma milele....
Anawapa nafasi ya kutubu na kurudi kundinihujajibu swali, nimeuliza, kama Mungu anachukizwa na mashoga kwanini anaruhusu uwepo wao? uwezo wa kuwaondoa si anao?
Bado mimi ni Mkristo Mlutheri lakiniNileo tu ndo umeamua kuwa mkweli na mzalendo
Mkuu, unaweza kuhamia kule?
Kwa anga mkuu
Hizi dini za kimila hazina tofauti hizo za waabudu mashetani.You are right brother.
BANTU UNION is our religion.
Si Wakatoliki, Waanglikana, Wasabato, Walutheri wala Waislam watakubali kuwa na kiongozi Mwafrika hata siku moja, it will never happen. Ni ujinga wetu tu sisi Waafrika kufuata dini za watu ambazo hazina umuhimu wowote maishani mwetu sie Waafrika.Dini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika.
Huko kwa wazungu wengi wamezikimbia dini, kanisani kwenda huwa ni wazee, hata rais anaenda mara moja moja matukio maalum sio kama huku Afrika karibu kila mwezi lazima rais aende, vijana nao utawakuta na biblia mikononi siku ya jumapili, hali ni tofauti sana kwa wazungu ambao kwa vijana kanisani ni kwenye kuoana na kuzikana pekee
Wazungu kwa sasa hali ya maisha yao inaafikiana na maagizo ya Mungu na yeyote anaediriki kupinga mtindo wa maisha yao anaonekana muovu huko nchi zao, mfano mashoga na wasagaji na watu wanaobadili jinsia wanalindwa mnooo, yani ukidiriki kuwakashifu waweza onekana zaidi ya gaidi, mambo ya sex education yanaruhusiwa hata kwa watoto ikiwemo kuwafundisha kujiridhisha kwa mikono, watoto wana maamuzi ya kuamua kubadili jinsia na ole wako mzazi umpinge, mzazi huruhusiwi kumchapa mwanao hata kwa kanga.
Nachoona hii dini kwa wenzetu ishaingizwa zaidi na utamaduni wao, na ndio maana hata papa huwa anaogopa kuzungumzia mambo flani ama nae tayari yumo humo anatetea.
Ilianza kidogo kidogo papa anakaa meza moja na wanaume wanaoingiliana wanaotaka kuwa wakristo huku bila kuacha hio tabia ya kupekechana wanaume kwa wanaume, Panya ukimpa siagi atahitaji na maziwa !! leo hii ni ruksa kwa wanaume wanaoingiliana kingono kunatizwa na kuwa wazazi watakatifu, kifuatacho ni wao kudai haki za kupewa nafasi za uongozi waingize zaidi mambo yao kwa kizazi kibichi cha kuanzia 2010, mambo haya yote hatuwezi kumlaumu papa pekee bali ni mfumo wa maisha ya wazungu ambao wengi walishaachana na mambo ya dini ila dini imebaki kupush ajenda za utamaduni wao duniani, waathirika wakubwa wanakuwa waafrika ambao wapo mstari wa mbele kwenye kufuata misingi ya dini ya kikatoliki.
Ni wakati sasa wa dini hii iongozwe na sisi waafrika tunaoiwekea bidii zaidi
Uislam si dini ya maana, wacha kujidanganya.Mimi naona ni muda muafaka, waumini wa kweli wa kikatoliki, wenye imani na Mwenyezi Mungu mmoja warudi kwenye Uislam.
Wakatoliki wengi wenye imani ya kweli wanarudi kwenye Uislam kwa kukimbia mafundisho ya kupotosha yanayoingizwa kwenye Kanisa Katoliki. Jionee:
View attachment 2822109
Wewe Binti wewe acha maneno🤣🤣🤣Ukijibiwa utanitumia PDF ake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]