Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

Kusema ukweli andiko lako limenifikirisha sana ni kama vile liko karibu na ukweli
 
1. Tunaiwekea bidii hiyo dini, imetupeleka wapi?

2. Hao mashoga, wasagaji na wanaobadili jinsia kama wanamchukiza Mungu sana, mbona anaruhusu uwepo wao?

haya ni maswali ya msingi unatakiwa ujiulize
Hekima ya Mungu haichunguziki maana Hekima ya Mungu ni Utukufu wa Mungu mwenyewe kuficha mambo;Ndio maana tumefichwa vingi mfano kesho yangu na yako hakuna aijuaye isipokuwa Mungu tu ndio anajua,kifo hakuna ajuaye,n.k.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Dini mletewe halafu mtake kujimilikisha eboh!
 
Naunga mkono hoja. Na pia Maaskofu, Mapadre na Watawa waruhusiwe kuoa/kuolewa ili kuondokana na huu unafiki unaojitokeza sasa kwa baadhi ya Maaskofu, Mapadre na Watawa kushindwa kuyaishi maisha yao ya useja.
 
Serikali yetu ni katili sana Hivi inataka tulipe kodi kweli ?Wakati sisi ni machinga wadogo.
Hivi kwanini serikali haitupi hela inasema tufanye kazi.
Unajua Rais samia ana roho mbaya sana anakaa ikulu na anatembelea prado wakati kuna mwananchi hana hata hela ya kula.
Hivi serikali yetu imewafunga maelfu ya watu magerezani.....Nahis hii serikali haipendi raia,
Nafikiri sasa tumeelewana
Ndio ukweli wenyewe huo
 
Back
Top Bottom