nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 288
- 230
Habari Wakuu,
Safari City ni mradi wa Satellite City uliobuniwa na NHC mwaka 2016 ni miaka 10 imepita bila mradi kuendelezwa ukienda sasa hivi unakutana na mapori, barabara zimefunikwa na nyasi, ni muda sasa wa kufufua mradi huu muhimu kwani uko pembezoni panapojengwa uwanja wa Afcon nashauri serikali na wahusika waufufue huu mradi, kulikuwa na malalamiko watu waliolipia viwanja walikuwa wanazungushwa kuoneshwa viwanja vyao na kupatiwa hati ili waweze kuviendeleza.