kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio uliotawala...mkuu wa mkoa yule yule aliyevaa jezi ya yanga kwenda kuifanyia fujo Simba mazoezini na kumsweka ndani matola na ni mdau wa yanga leo anasimama mbele ya kamera kutoa mabaki ya sangara na ugali kuwa wametoa bonasi..ni mjinga tu na asiye na akili au mwendawazimu atakaye amini kutakuwa na mechi ya ushindani pamba atashinda na kutoa upinzani matokeo ya mechi yamekwisha pangwa yanga kuchukua point tatu!