Ni muendelezo wa utapeli wa soka bongo pamba jiji na yanga matokeo yamekwisha pangwa..hakuna mpira...

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio uliotawala...mkuu wa mkoa yule yule aliyevaa jezi ya yanga kwenda kuifanyia fujo Simba mazoezini na kumsweka ndani matola na ni mdau wa yanga leo anasimama mbele ya kamera kutoa mabaki ya sangara na ugali kuwa wametoa bonasi..ni mjinga tu na asiye na akili au mwendawazimu atakaye amini kutakuwa na mechi ya ushindani pamba atashinda na kutoa upinzani matokeo ya mechi yamekwisha pangwa yanga kuchukua point tatu!
 
Vipi Ile ya Camara kurudisha mpira ulikuwa ukitoka nje ya goli na kumpasia Kijili nae kujifunga goli Bora la msimu, ikiwa dakika ya 87, haikuwa utapeli?
Muendelezo wa utapeli wa yanga kupitia ramadhani kayoko mpira ulikwisha toka kuvuka mstari je bado unaamini kuna mechi za mpira au kuna utapeli kupitia marefa na vilabu!
 
Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio uliotawala...mkuu wa mkoa yule yule aliyevaa jezi ya yanga kwenda kuifanyia fujo Simba mazoezini na kumsweka ndani matola na ni mdau wa yanga leo anasimama mbele ya kamera kutoa mabaki ya sangara na ugali kuwa wametoa bonasi..ni mjinga tu na asiye na akili au mwendawazimu atakaye amini kutakuwa na mechi ya ushindani pamba atashinda na kutoa upinzani matokeo ya mechi yamekwisha pangwa yanga kuchukua point tatu!
Mkuu punguza mahaba, kuna ugonjwa wa presha!!
 
Hiyo ndiyo ligi namba 6 kwa ubora 😂
 
Attachments

  • Screenshot_20250223_112040_Chrome.jpg
    Screenshot_20250223_112040_Chrome.jpg
    364.3 KB · Views: 1
Presha hakuna liverpool muda wowote atakuwa bingwa yupo hatua ya mtoano champion anacheza na New castle fainal carabao cup nitiwe presha na mechi zakitapeli huna cha kuandika!
Kaka kumbe unajipa moyo na Liverkuku . Hahaha haya bana, at least huko ukapate ahueni sio hawa Simba mkuu, timu inategemea penalties ishinde😃😃
 
Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio uliotawala...mkuu wa mkoa yule yule aliyevaa jezi ya yanga kwenda kuifanyia fujo Simba mazoezini na kumsweka ndani matola na ni mdau wa yanga leo anasimama mbele ya kamera kutoa mabaki ya sangara na ugali kuwa wametoa bonasi..ni mjinga tu na asiye na akili au mwendawazimu atakaye amini kutakuwa na mechi ya ushindani pamba atashinda na kutoa upinzani matokeo ya mechi yamekwisha pangwa yanga kuchukua point tatu!
Ivi mechi kama ya leo wanapangaje matokeo? Wanawaambia wachezaji wafungishe? Au wasijitume? Na unaamini kabisa pamba yote kuanzia wachezaji ,viongozi, makocha ni mashabiki wa Yanga? Watakubali kuwaachia Yanga, hebu tueleze mkuu, matokeo yanapangwaje?
 
Najua ni kiasi Gani una sonona
Kufunga mara 4 mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5, sio poa
Goli tano hizo hapo la tano alifunga juma kaseja sasa sijui ulikuwa wapi na inaonekana umeanza kufuatilia mpira 2021 utawala wa samia!
 
Back
Top Bottom