Ni muendelezo wa utapeli wa soka bongo pamba jiji na yanga matokeo yamekwisha pangwa..hakuna mpira...

Kijili alivofunga bila shaka ulifirahia lile goli lilivofungwa Kwa ustadi
Shida ya watanzania ndio hii mtu anahalalisha dhambi kwa sababu akiona dhambi kipindi fulani.Tumekuwa wahalifu na wakosaji kwa sababu tumejizungushia mduara wenye makosa mengi sana.
 
Coast union wakiwa na mabeki kama Job na Bacca na Yao watakuwa mabingwa

Wakiwa na Aucho, Duke na Mudathir ubingwa lazima

Wakiwa na Chama, Aziz ki, Pacome na Max Nzengeli ubingwa lazima

Wakiwa na Mzize, Dube na Musonda coast union laZima awe bingwa
Bila Diarra
 
Ivi mechi kama ya leo wanapangaje matokeo? Wanawaambia wachezaji wafungishe? Au wasijitume? Na unaamini kabisa pamba yote kuanzia wachezaji ,viongozi, makocha ni mashabiki wa Yanga? Watakubali kuwaachia Yanga, hebu tueleze mkuu, matokeo yanapangwaje?
Leo kuna nini unachoona hakiwezi kupangwa kwenye huo mchezo kocha minziro ..msaidizi salvatory edward mkuu wa mkoa ni kima zee unataka nini kikuthibitishie!
 
Muendelezo wa utapeli wa yanga kupitia ramadhani kayoko mpira ulikwisha toka kuvuka mstari je bado unaamini kuna mechi za mpira au kuna utapeli kupitia marefa na vilabu!
Sawa. Lile moja linafutwa. Vipi kuhusu ule mkono wa nyani?
 
Kuiba mitihani na rushwa ni jambo baya na lenye athar kubwa sana katika jamii. Ukoshiriki haya mambo kila kitu utaamini kwamba hakiwezekani mpaka njia za mkato (rushwa)
 
Yanga timu mbovu haina uwezo wa kuifunga hata malimao fc.
 
UNALALAMIKAJE SI NDO FURSA IYO YA KUBETI NA KUPIGA PESA
 
G S M Msimu Ujao Atazuiwa Kuiharibu League Yetu
 
Ligi yenyewe haina tofauti na chaguzi zinazoendeshwa nchini. Kila kitu kinafuata maelekezo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…