kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #101
Mimi sijui yuko wapi ndio maana nilisema sijui!Mimi mstari nilishapiga zamani na nimejibu kwa kuwa umeuliza Kayoko yuko as if alishakufa au kufutwa kibarua chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sijui yuko wapi ndio maana nilisema sijui!Mimi mstari nilishapiga zamani na nimejibu kwa kuwa umeuliza Kayoko yuko as if alishakufa au kufutwa kibarua chake
Shida ya watanzania ndio hii mtu anahalalisha dhambi kwa sababu akiona dhambi kipindi fulani.Tumekuwa wahalifu na wakosaji kwa sababu tumejizungushia mduara wenye makosa mengi sana.Kijili alivofunga bila shaka ulifirahia lile goli lilivofungwa Kwa ustadi
Ile mechi ya tano imepita tayari ukiizungumzia uwe tayari kupokea na historia zingine.Nilikuwa sijazaliwa me najua mechi ya Juzi hapa ambayo mi na ww tulishuhudia
Wewe huna akiliVipi Ile ya Camara kurudisha mpira ulikuwa ukitoka nje ya goli na kumpasia Kijili nae kujifunga goli Bora la msimu, ikiwa dakika ya 87, haikuwa utapeli?
Bila DiarraCoast union wakiwa na mabeki kama Job na Bacca na Yao watakuwa mabingwa
Wakiwa na Aucho, Duke na Mudathir ubingwa lazima
Wakiwa na Chama, Aziz ki, Pacome na Max Nzengeli ubingwa lazima
Wakiwa na Mzize, Dube na Musonda coast union laZima awe bingwa
Point...huyo ni sawa na kipofu wa zanzibar aliye ona punda akili yake ina dhani hakuna mnyama mwingine mkubwa kuliko punda!Ile mechi ya tano imepita tayari ukiizungumzia uwe tayari kupokea na historia zingine.
Leo kuna nini unachoona hakiwezi kupangwa kwenye huo mchezo kocha minziro ..msaidizi salvatory edward mkuu wa mkoa ni kima zee unataka nini kikuthibitishie!Ivi mechi kama ya leo wanapangaje matokeo? Wanawaambia wachezaji wafungishe? Au wasijitume? Na unaamini kabisa pamba yote kuanzia wachezaji ,viongozi, makocha ni mashabiki wa Yanga? Watakubali kuwaachia Yanga, hebu tueleze mkuu, matokeo yanapangwaje?
Sawa. Lile moja linafutwa. Vipi kuhusu ule mkono wa nyani?Muendelezo wa utapeli wa yanga kupitia ramadhani kayoko mpira ulikwisha toka kuvuka mstari je bado unaamini kuna mechi za mpira au kuna utapeli kupitia marefa na vilabu!
Majibu yake yako hapo!Sawa. Lile moja linafutwa. Vipi kuhusu ule mkono wa nyani?
Makundi bado hawajapatikana ila wakina Mwakarobo wapo tayariMakundi wanaitwaje?
Kuiba mitihani na rushwa ni jambo baya na lenye athar kubwa sana katika jamii. Ukoshiriki haya mambo kila kitu utaamini kwamba hakiwezekani mpaka njia za mkato (rushwa)Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio uliotawala...mkuu wa mkoa yule yule aliyevaa jezi ya yanga kwenda kuifanyia fujo Simba mazoezini na kumsweka ndani matola na ni mdau wa yanga leo anasimama mbele ya kamera kutoa mabaki ya sangara na ugali kuwa wametoa bonasi..ni mjinga tu na asiye na akili au mwendawazimu atakaye amini kutakuwa na mechi ya ushindani pamba atashinda na kutoa upinzani matokeo ya mechi yamekwisha pangwa yanga kuchukua point tatu!
Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio uliotawala...mkuu wa mkoa yule yule aliyevaa jezi ya yanga kwenda kuifanyia fujo Simba mazoezini na kumsweka ndani matola na ni mdau wa yanga leo anasimama mbele ya kamera kutoa mabaki ya sangara na ugali kuwa wametoa bonasi..ni mjinga tu na asiye na akili au mwendawazimu atakaye amini kutakuwa na mechi ya ushindani pamba atashinda na kutoa upinzani matokeo ya mechi yamekwisha pangwa yanga kuchukua point tatu!
Unataka uende kwake?Mimi sijui yuko wapi ndio maana nilisema sijui!
Ndio halafu malizia ulichofikiria...Unataka uende kwake?
Wanajulikana hatuelewi kuwa busy na usajili wa bei mbaya...Ni maigizo tu. Juzi wamefanya igizo moja eti la kuwapa hela Pamba Jiji ili wamfunge Yanga. Kumbe ni hela za kulegeza nati
Pesa uipate kwa jasho sio kirahisi!UNALALAMIKAJE SI NDO FURSA IYO YA KUBETI NA KUPIGA PESA