ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Pole mbumbumbuPole sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mbumbumbuPole sana!
Mpira hauchezwi chumbani tunataka matokeo ya mpira sio kikosi cha bilion mechi za kununua!Simba mmekuwa waoga mno!
Nadhani mnajiandaa kisaikolojia kufungwa tarehe 8 na kukosa ubingwa!
Duuh kocho kocho choka kabisa mkuu pole sana rushwa ni zigo la mavi halijifichi harufu!Pole mbumbumbu
Peleka ushahidi kwenye vyombo husika vichukue hatuaDuuh kocho kocho choka kabisa mkuu pole sana rushwa ni zigo la mavi halijifichi harufu!
Pole sana mkuu umechoka rushwa huwa haitoi mwakilishi sahihi michuoano ya Caf kama klabu za match fixing huko Caf zinabutuliwa game za mwanzo nyumbani inabaki aibu kwa taifa hakuna ramadhani kayoko wala mtanda kule!Peleka ushahidi kwenye vyombo husika vichukue hatua
Unanilalamikia Mimi mkulima nitakusaidia Nini?
CAFCL sio UMITASHUMITA yenu ya shirikishoPole sana mkuu umechoka rushwa huwa haitoi mwakilishi sahihi michuoano ya Caf kama klabu za match fixing huko Caf zinabutuliwa game za mwanzo nyumbani inabaki aibu kwa taifa hakuna ramadhani kayoko wala mtanda kule!
Umerudi tena na propaganda zako🤣🤣Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio uliotawala...mkuu wa mkoa yule yule aliyevaa jezi ya yanga kwenda kuifanyia fujo Simba mazoezini na kumsweka ndani matola na ni mdau wa yanga leo anasimama mbele ya kamera kutoa mabaki ya sangara na ugali kuwa wametoa bonasi..ni mjinga tu na asiye na akili au mwendawazimu atakaye amini kutakuwa na mechi ya ushindani pamba atashinda na kutoa upinzani matokeo ya mechi yamekwisha pangwa yanga kuchukua point tatu!
Umeandika kitu kizuri ila umesahau mbeya city ilikua fire nani hajui kuwa mwambusi ni kocha bora kwa walioshuhudia mecco ikifanya vyema..tukirudi kwenye uhalisia kama yanga asingenunua mechi na upangaji matokeo hana timu ya kuifunga labda za daraja la kwanza na pili mfano si unaona matokeo ya caf tabora jkt azam ndio matokeo yake huko ameshindwa kupenyeza!Umerudi tena na propaganda zako🤣🤣
Nakumbuka enzi za mkuu wa mkoa wa Mbeya ndugu Makala Yanga ilipata tabu sana dhidi ya Mbeya City sokoine. Tunakumbuka vizuri sana mkuu wa mkoa wa Dar enzi akikaa kwenye viti vya benchi la ufundi na akifanya kila mipango timu yake ishinde. Na hatua mojawapo ilikuwa kuamsha hisia za mdhamini mkuu wa Yanga bwana Yusufu (R.I.P). Alipoanza kusumbuliwa bwana yule ndio kipindi Yanga ilianza kuwa na matokeo mabaya ila si dhidi ya Makolo. Timu iliyumba kiuchumi vibaya mno na kutembeza bakuli kwa mashabiki.
Kuna mambo mengi yalifanyika kuidhoofisha Yanga.Mzee Msolwa aliiongoza timu katika mazingira magumu sana. Kulia ni kupokezana. Pamba ya sasa na level za Yanga hazikai kwenye kipimio sawa. Wewe mwenyewe unajua kwa 90% Yanga akikutana na Pamba nani anafungwa. Draw ni matokeo mazuri kwa Pamba.
Wapi nilipoandika shabiki wa simba labda wewe ndio wa simba mimi nataka soka la haki!Mashabiki wa simba tunatia aibu
Match fixing inatoa wawakilishi wabovu kimataifa!Ni mwendelezo uleule wa utapeli ulio tokea katika mechi ya Simba na Pamba baada ya goli la kusawazisha la Pamba kukataliwa kwa madai kipa wa Simba alisukumwa.
Katika marudio ya TV inaonyesha Kipa wa Simba aliruka na mabeki wake na ku ukosa mpira hali iliyopelekea mchezaji wa Pamba kufunga goli safi lililo kataliwa na Mwamuzi uyo wa mchongo bila sababu.
Kwa hiyo Yanga waliwalipa Camara, kijili na Chasambi wachomeshe🤣🤣🤣Umeandika kitu kizuri ila umesahau mbeya city ilikua fire nani hajui kuwa mwambusi ni kocha bora kwa walioshuhudia mecco ikifanya vyema..tukirudi kwenye uhalisia kama yanga asingenunua mechi na upangaji matokeo hana timu ya kuifunga labda za daraja la kwanza na pili mfano si unaona matokeo ya caf tabora jkt azam ndio matokeo yake huko ameshindwa kupenyeza!
Mbona hukukea red card ♦️ iliyofutwa Ya NamungoWapi nilipoandika shabiki wa simba labda wewe ndio wa simba mimi nataka soka la haki!
Man City alifanya mechi fixing akawa bingwa Kwa kuwa hakufanya vyema eufaMatch fixing inatoa wawakilishi wabovu kimataifa!
Chasambi unamuingiza alifanya kosa gani mechi ya yanga...mechi ile walishindwa kununua wachezaji wa simba walinunua refa ramadhani kayoko yuko wapi mpaka leo hii...Kwa hiyo Yanga waliwalipa Camara, kijili na Chasambi wachomeshe🤣🤣🤣
Manara ajengewe mnara!Man City alifanya mechi fixing akawa bingwa Kwa kuwa hakufanya vyema eufa
Simba na Coastal si Fetty na Fatu....Yaondolewe yasihesabike...pili mimi ni shabiki na mwanachama wa coastal union mangushi sio simba ila nataka mpira wa haki tuburudike kama ulaya wa mwisho ana mfunga wa kwanza sio kama hivi wote tunajua yanga anashinda!