Ni muhimu sana kuitambua na kuiogopa Dola, Serikali sio Dola. Dola ni dubwana la kuogopa

Kwa maslahi ya Nchi 🇹🇿
 
State capture kule kolombia iliwahi kuangukia mikononi mwa Wafanyabiashara wa madawa ya kulevya.
Kule Afghanistani imeangukia mikononi mwa magaidi .
Hapa Tanzania imeangukia mikononi mwa Mafisadi.
Hao wote wanajali maslahi yao tu .
Ili kuwadhibiti ni lazima walizwe nao pia . Jino kwa jino . Yaani walizika kule na kwao WANAZIKA walipotea kule na kwao anapotea . Hapo wanapoteana maana hawataona faida ya uharamia wao kwenye familia zao.

Hakuna uovu unaodumu juu ya watu . Ndio maana kuna teknolojia . Kuna siku zinakuja Maroboti ndiyo wataandamana badala ya watu na itakua ni vigumu kuyazuia na watapambana huku jamii ikiwa imelala majumbani .

Ni ajabu sana Karne hii kuna taasisi ya dini inajitokeza kuwatetea wauaji na wakandamizaji wa sheria hadharani badala ya kutetea wanyonge wenye shida.
 
Mwenye Guts za kupambana na Dola ni muhaini tu na si vinginevyo
 
Hivi hawa bongo movie kwanini wasitengeneze kuhusu vitu interesting kama hivi? Hilo DOLA linaonekana kuwa ni bonge moja la villain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…