Ni muhimu sana kuitambua na kuiogopa Dola, Serikali sio Dola. Dola ni dubwana la kuogopa

Queen Elizabeth aliwahi kusema wanaowafuata fuata Royal family wajue ina mkono mrefu na watashughulikiwa kama Dola
Kweli dola sio mchezo
Magazines zote ziliufyata na hata watu wakashtuka na kupigwa butwaa
Nchi zote ziko hivyo na wanalijua hilo
Ndio maana Rusia na wengine kama iran huwa wanawekewa vikwazo tu
Lakini Saudia haguswi kwa sababu za kimaslahi na kulamba viatu vyao

Democratic my hairy a@$
 
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )

Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...

Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...

Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...

EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
DOLA HUTUMIA MAGUVU ILI LIENDELEE KUITWA DOLA.SIO BAHATI MBAYA BALI NDIO LIMEUMBIWA HAYO
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Dola lililoko kwa ajili ya kusimamia majizi ya ccm. Naona unadhani kila mtu ni boya.
 
Chawa huyu anahangaika baada ya kuona mziki wa No reform unapasua anga.

Mwezi October mtachaguana wenyewe - hapo ndipo mtahakikisha nguvu ya CDM ilipo ama haipo.

SIku hiyo watu waende mashambani kama kawa, ili mujiibie kura wenyewe kwa wenyewe.
 
Dola inayo lipwa kwa kodi za wanan hu inapo amua kuwa kibaraka wa wezi na wala rushwa wa CCM hiyo siyo dola ni kikundi cha uhaini dhidi ya wananchi
walevi hawak
umbuki zaidi ya vitisho ni uharibifu tu.
 
Chawa huyu anahangaika baada ya kuona mziki wa No reform unapasua anga.

Mwezi October mtachaguana wenyewe - hapo ndipo mtahakikisha nguvu ya CDM ilipo ama haipo.

SIku hiyo watu waende mashambani kama kawa, ili mujiibie kura wenyewe kwa wenyewe.
Kulikuwa na show ya mabadiliko sembuse hizi kelele
 
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )

Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...

Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...

Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...

EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
DOLA HUTUMIA MAGUVU ILI LIENDELEE KUITWA DOLA.SIO BAHATI MBAYA BALI NDIO LIMEUMBIWA HAYO
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kama ni dubwana hivyo waogopwe huku wakitenda haki.
Hata Dola la Gadafi kilikuwa hivyo hivyo unavyoeleza.
 
Usitulishe ujinga
Hiyo unayoongelea ni nchi ya manyani.

Hatuwezi kuishi kama nguruwe tusiokuwa na utaratibu. Kama CCM imeshindwa kuongoza dola itoke madarakani
Hakuna upungufu wa kiasi hicho cha watu wasioweza kufikiri
Ccm imeshindwaje kuongongza na yeye anazungumzia Dola kwanza unapoleta vurugu huo unabaki kuwa Msimamo wako na sio wa Taifa ndomama utashughulikiwa na Dola kazi ya CCM ni kuisimamia Serikali kuleta maendeleo katika nchi na nijambo linaloweza fanywa na chama chochote kwa ridhaa ya wananchi walio wengi.
 
Queen Elizabeth aliwahi kusema wanaowafuata fuata Royal family wajue ina mkono mrefu na watashughulikiwa kama Dola
Kweli dola sio mchezo
Magazines zote ziliufyata na hata watu wakashtuka na kupigwa butwaa
Nchi zote ziko hivyo na wanalijua hilo
Ndio maana Rusia na wengine kama iran huwa wanawekewa vikwazo tu
Lakini Saudia haguswi kwa sababu za kimaslahi na kulamba viatu vyao

Democratic my hairy a@$
huu ni ukweli wa kidunia
 
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )

Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...

Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...

Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...

EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
DOLA HUTUMIA MAGUVU ILI LIENDELEE KUITWA DOLA.SIO BAHATI MBAYA BALI NDIO LIMEUMBIWA HAYO
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Wewe muone vile, miwasho inakupanda Makalioni mpaka unajikuna kidole na kujisahau. Alpha na Omega ni Mungu na sio Dola
 
Dola huwa linatafuta na kupata baraka za Mungu.
 
Umeshashiba ugali bamia umekuja kuongeza thread isiyo na chochote cha kulisha ubongo zaidi ya kusumbua macho ya wasomaji
Mpaka wewe mkuu kumbe una makasiriko hivyo hahahaha mi najua nje na mambo yetu ya SDA huku haupo? Yote kwa yote ni maoni yake tu kwasababu binadamu tuna mafakirio tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom