chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,350
- 25,870
Umeandika kama taahira, jf sio wajinga kama majirani zako hapo Tandahimba kwenye kijiwe cha kahawa.
kuna wazazi wameleta takataka kwenye dunia hii,miongoni ni wazazi wakoNipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...
Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...
EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Achana na nidhamu ya woga. Nchi hii ili iendelee inahitajika watu jasiri na sio vijana waoga! Vijana wasioogopa kukosoa serikali pale inapofanya maamuzi kinyume na matakwa ya wananchi. Taifa lenye wananchi wanaojipendekeza kwa watawala mafisadi hawawezi kuwakosoa viongozi mara wanapohujumu uchumi wa nchi ; hivyo kushiriki kudidimiza maendeleo.Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...
Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...
EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Ng'ombeNipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...
Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...
EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kwahiyo unawatisha watu? Wakuogopwa mi Mungu tu na Wala sio kingine ChochoteNipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...
Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...
EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Fani ya Afya ya Akilii,iheshimiwe!Jamaa analazimisha mihogo iitwe Cassava!Usitulishe ujinga
Hiyo unayoongelea ni nchi ya manyani.
Hatuwezi kuishi kama nguruwe tusiokuwa na utaratibu. Kama CCM imeshindwa kuongoza dola itoke madarakani
Hakuna upungufu wa kiasi hicho cha watu wasioweza kufikiri
Huyu ni sare,sare maua!Mwisho ,jua DOLA Huwa inaanguka pia, Kuna Dola ilikuwa kubwa na Ina Nguvu kama Dola ya Kirumi?? yaani Roman Empire!!
Toa akili Mifuko ya nyuma ya suruali yako, kasome kidogo Disintegration of Roman Empire.
Dola zinaanguka kwa internal reason pia., nenda kajipange tena!!🤔🤔
Hiyo dola kama ipo inashuhudia kula feki, [yaani mapinduzi ya uhaini katika chaguzi] zinapigwa kwenye chaguzi ni Dola mfu, hakuna kitu bali ni genge la wahuniNaam, dola ni mfumo ndani ya mfumo, inakaa gizani sana kujadili hatma ya mambo mengi. Ina watu wake ndani sana ya vyama vya upinzani, taasisi binafsi, masokoni, bodaboda, baa, daladala, mama lishe..... You name it. Huwezi kuuliza bajeti yao.....
They are the analyst of the state of the nation at the highest level, na pia dola hiyo pia kuna dola ya ndani zaidi inaifanyia analysis. Ni vivuli ambavyo kila mtu anatembea navyo. Ni roho ya taifa imara.
Kazi yao ni moja tu, kulinda taifa at any cost. Kama alivyosema mtoa mada, hata ikibidi kwenda kwa mganga kuangalia kwenye kioo, watafanya
No reforms no election, hivi mataifa amabayo tumeona wananchi wakiwafulumisha madarakani dola huwa hazipo?Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...
Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...
EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Ccm hii nchi mlishaiaribu msije na visingizio kisa watu wanataka reform, chawa tulia ,hujui duniaWe tuliza tako, heshimu mamlaka zilizoko madarakani, mkatii sheria za nchi. Hilo ni kibaraka anataka kutuharibia nchi yetu, aharibiwe yeye kabla hajafanikiwa
Jingalao usitujaze ujinga.Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...
Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...
EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hivi top secret za Serikali, za Viongozi, mpaka maisha binafsi ya Viongozi wakuu zinavuja, DOLA INAKUWA WAPI??🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nyangaaaa gweeeee😀😀😀😀Naam, dola ni mfumo ndani ya mfumo, inakaa gizani sana kujadili hatma ya mambo mengi. Ina watu wake ndani sana ya vyama vya upinzani, taasisi binafsi, masokoni, bodaboda, baa, daladala, mama lishe..... You name it. Huwezi kuuliza bajeti yao.....
They are the analyst of the state of the nation at the highest level, na pia dola hiyo pia kuna dola ya ndani zaidi inaifanyia analysis. Ni vivuli ambavyo kila mtu anatembea navyo. Ni roho ya taifa imara.
Kazi yao ni moja tu, kulinda taifa at any cost. Kama alivyosema mtoa mada, hata ikibidi kwenda kwa mganga kuangalia kwenye kioo, watafanya
Imbombo jilipo 🔥Huyu ni sare,sare maua!