Ni muhimu sana kuitambua na kuiogopa Dola, Serikali sio Dola. Dola ni dubwana la kuogopa

Na hapa ndipo tunapokosea,lazima tutofautishe nchi zinazoendeshwa kijeshi ambako katiba zinasitishwa kufanya kazi na nchi ambazo zinaongoza na serikali zilizochaguliwa na wananchi.
Katiba ni kitabu cha makubaliano kati ya wanaoongoza na wanaoongoza.Pindi tukianza kutumia nguvu ya dola kuendesha nchi tukaacha kutumia mkataba uliotuweka madarakani,maana yake hiyo serikali siyo ya kuchaguliwa na wananchi bali ni serikali ya kijeshi.
We tuliza tako, heshimu mamlaka zilizoko madarakani, mkatii sheria za nchi. Hilo ni kibaraka anataka kutuharibia nchi yetu, aharibiwe yeye kabla hajafanikiwa
 
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )

Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...

Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...

Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...

EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hakuna Dola iliyokuwa na nguvu kama East African German .
Sembuse hii' ya wala Rushwa na mafisadi wasiojali nchi yao wala wao wenyewe kwenye vyombo vya dola .
 
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )

Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...

Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...

Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...

EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
IMG-20250410-WA0115.jpg
 
We umevimbiwa na amani, nenda Sudan halafu urudi kuandika huo upuuzi. Utaratibu upi unazungumzia? Tena mshukuruni Mungu kwa Rais mstaarabu, mwuungwana km huyu, huyo lofa wenu asiyejiheshimu asingeiona tena ardhi hii ya Tanzania km alivyokuwa Oscar Kambona. Sijawahi ona mtu wa hovyo km huyo mnyaturu. Nia yake ni kuisambaratisha hii nchi, hatafanikiwa huyo mbwa wenu. Mtu utafikiri amefungiwa kinyesi mdomoni?
A dying man kicks hard.Kinyesi mnacho nyie mdomoni.hamtamfanya lolote,hamna ubavu huo.nguvu ya umma ipo.nyau nyie
 
Bado una fikra za kikoloni.

Nguvu ya umma ikiamua, Dola haiwezi kufanya kitu, huwezi kunyanyasa watu halafu ukajificha kwenye kivuli cha dola.

Tenda na simamia haki za watu vizuri, watu wanahitaji maendeleo wape maendeleo halafu uone kama Kuna mtu atakusumbua.
 
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )

Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...

Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...

Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...

EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Huu ni ujinga wako wa hali ya juu, a.k.a upumbavu.
Kwamba dola ni zaidi ya Muumba wa mbingu na nchi!?.
 
Mnasahau hiyo dola ni genge la watu tu wa kawaida wanaoenda choosing kama wewe mleta mada. Ingekuwa ni Miungu kama Zeus, Athena , n.k hapo sawa.
 
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )

Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...

Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...

Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...

EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Yana mwisho.. Wa kuogoowa ni Mungu pekee
 
Ngoja nikuambie jinga lao kuhusu hilo dubwana kubwa dola. Ni kweli dola ni dude kubwa na lenye nguvu kubwa na nyingi. Cha ajabu dola huanguka vibaya na haliinuki tena, dola linapokuwa na majivuno na kiburi anguko lake huwa kubwa sana, linaangushwa na kitu kidogo sana, kiburi.
 
Dola nalo linapaswa kuheshimu wananchi na kuwajali, ndio ni dude kubwa lenye nguvu za kila aina zikiwemo za kijeshi, kidini na kichawi ila huanguka kirahisi mno linapokuwa lina majivuno na kiburi kwa raia. Hatari ya kuanguka kwa dola ni linapokuwa na majivuno na kiburi kwa wananchi huanguka kwa kitu kidogo sana, ni kama kumsukuma mlevi. Yapo madola makubwa yaliyoanguka vibaya kutokana na kiburi na majivuno na hayakuinuka tena imebaki historia. Dola haiwezi kuwashinda raia/raia ndio maana inajihami muda wote ili isianguke, ni dhaifu licha ya kuwa na maguvu mengi ya kila aina kujilinda
 
Kwahyo Leo jingalao ndo umetuthibitishia kuwa wewe ni mjinga vile vile. Ipo siku Kila mtu atachoka kwa huu ujinga unaoendelea Sasa, hao polisi wenyewe watachoka tu vile vile,.. hapa ni mwendo wa No reforms no election, dadekiii.
 
Ukisema dini na uchawi ni aina za nguvu za dola ukiacha majeshi na zile nguvu zingine. Ongeza na nguvu za asili, dola haliwezi kushindana na raia/wananchi. Wananchi ndio wana nguvu za kulidondosha dola pamoja na vyombo vyake vya kujilinda. Ogopa sana wananchi, na ndio maana dola hailali kutwa kujilinda isiangushwe. Hata mwananchi/raia mmoja tu mdogo anayeonekana ni dhaifu anaweza kuiangusha dola yenye uwezo mkubwa wa kila aina ndio maana humshughulikia mapema huyo raia/mwananchi anayeonekana ni tishio wa kuiangusha dola. Hoja yako nimeivunjavunja kuhususu dude kubwa lenye nguvu nyingi, dola
 
We umevimbiwa na amani, nenda Sudan halafu urudi kuandika huo upuuzi. Utaratibu upi unazungumzia? Tena mshukuruni Mungu kwa Rais mstaarabu, mwuungwana km huyu, huyo lofa wenu asiyejiheshimu asingeiona tena ardhi hii ya Tanzania km alivyokuwa Oscar Kambona. Sijawahi ona mtu wa hovyo km huyo mnyaturu. Nia yake ni kuisambaratisha hii nchi, hatafanikiwa huyo mbwa wenu. Mtu utafikiri amefungiwa kinyesi mdomoni?
Jinsi ulivyomalizia sasa!
Hauendani na nafasi yako..
 
Naam, dola ni mfumo ndani ya mfumo, inakaa gizani sana kujadili hatma ya mambo mengi. Ina watu wake ndani sana ya vyama vya upinzani, taasisi binafsi, masokoni, bodaboda, baa, daladala, mama lishe..... You name it. Huwezi kuuliza bajeti yao.....

They are the analyst of the state of the nation at the highest level, na pia dola hiyo pia kuna dola ya ndani zaidi inaifanyia analysis. Ni vivuli ambavyo kila mtu anatembea navyo. Ni roho ya taifa imara.

Kazi yao ni moja tu, kulinda taifa at any cost. Kama alivyosema mtoa mada, hata ikibidi kwenda kwa mganga kuangalia kwenye kioo, watafanya
Kwahiyo dola inaona Ccm inafaa kuongoza nchi licha ya ufisadi wote waliofanya kwa miaka 60? Basi hiyo dola ni useless.
 
We umevimbiwa na amani, nenda Sudan halafu urudi kuandika huo upuuzi. Utaratibu upi unazungumzia? Tena mshukuruni Mungu kwa Rais mstaarabu, mwuungwana km huyu, huyo lofa wenu asiyejiheshimu asingeiona tena ardhi hii ya Tanzania km alivyokuwa Oscar Kambona. Sijawahi ona mtu wa hovyo km huyo mnyaturu. Nia yake ni kuisambaratisha hii nchi, hatafanikiwa huyo mbwa wenu. Mtu utafikiri amefungiwa kinyesi mdomoni?
Rais ni mstaarabu? Hivi uliona Kibao alivyouwawa au Soka alivyopotezwa? Nyie endeleeni tu na madharau but siku yenu itafika, kwani Kenya si waliburuzwa na Moi miaka zaidi ya 27 ila siku waliposema inatosha..... historia ikabadilika.
 
Kwahiyo dola inaona Ccm inafaa kuongoza nchi licha ya ufisadi wote waliofanya kwa miaka 60? Basi hiyo dola ni useless.
Wakati vyama vingine vikikomaa katika mifumo yao ya ndani, CCM waendelee kuwepo. Imagine NCCR Mageuzi au CUF wangekamata nchi! Kila mtu anajua walivyovurugana. Zimwi likijualo(CCM)........
 
Back
Top Bottom