Ni muhimu sana kuitambua na kuiogopa Dola, Serikali sio Dola. Dola ni dubwana la kuogopa

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )

Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...

Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...

Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...

EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
DOLA HUTUMIA MAGUVU ILI LIENDELEE KUITWA DOLA.SIO BAHATI MBAYA BALI NDIO LIMEUMBIWA HAYO
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Usitulishe ujinga
Hiyo unayoongelea ni nchi ya manyani.

Hatuwezi kuishi kama nguruwe tusiokuwa na utaratibu. Kama CCM imeshindwa kuongoza dola itoke madarakani
Hakuna upungufu wa kiasi hicho cha watu wasioweza kufikiri
 
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )

Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...

Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...

Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...

EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....!!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Wewe na hiyo dola yako ni wajinga tu, kama lilivyo jina aako. 🚮
 
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )

Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...

Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...

Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...

EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....!!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Dola inayo lipwa kwa kodi za wanan hu inapo amua kuwa kibaraka wa wezi na wala rushwa wa CCM hiyo siyo dola ni kikundi cha uhaini dhidi ya wananchi
 
Umeshashiba ugali bamia umekuja kuongeza thread isiyo chochote cha kulisha ubongo zaidi ya kusumbua macho ya wasomaji
Nimeleta chakula cha ubongo ..macho hayana kazi ya kuona bali kufikisha taarifa kwa ubongo....ubongo ndio unao ona ndugu yangu
 
Dola inayo lipwa kwa kodi za wanan hu inapo amua kuwa kibaraka wa wezi na wala rushwa wa CCM hiyo siyo dola ni kikundi cha uhaini dhidi ya wananchi
dola hailipwi ...tofautisha kati ya Dola na Serikali
 
Mwisho ,jua DOLA Huwa inaanguka pia, Kuna Dola ilikuwa kubwa na Ina Nguvu kama Dola ya Kirumi?? yaani Roman Empire!!

Toa akili Mifuko ya nyuma ya suruali yako, kasome kidogo Disintegration of Roman Empire.

Dola zinaanguka kwa internal reason pia., nenda kajipange tena!!🤔🤔
 
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )

Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...

Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...

Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...

EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

..wote wamepakatwa na Ccm wamekuwa mazuzu.
 
Naam, dola ni mfumo ndani ya mfumo, inakaa gizani sana kujadili hatma ya mambo mengi. Ina watu wake ndani sana ya vyama vya upinzani, taasisi binafsi, masokoni, bodaboda, baa, daladala, mama lishe..... You name it. Huwezi kuuliza bajeti yao.....

They are the analyst of the state of the nation at the highest level, na pia dola hiyo pia kuna dola ya ndani zaidi inaifanyia analysis. Ni vivuli ambavyo kila mtu anatembea navyo. Ni roho ya taifa imara.

Kazi yao ni moja tu, kulinda taifa at any cost. Kama alivyosema mtoa mada, hata ikibidi kwenda kwa mganga kuangalia kwenye kioo, watafanya
 
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Na hapa ndipo tunapokosea,lazima tutofautishe nchi zinazoendeshwa kijeshi ambako katiba zinasitishwa kufanya kazi na nchi ambazo zinaongoza na serikali zilizochaguliwa na wananchi.
Katiba ni kitabu cha makubaliano kati ya wanaoongoza na wanaoongoza.Pindi tukianza kutumia nguvu ya dola kuendesha nchi tukaacha kutumia mkataba uliotuweka madarakani,maana yake hiyo serikali siyo ya kuchaguliwa na wananchi bali ni serikali ya kijeshi.
 
Usitulishe ujinga
Hiyo unayoongelea ni nchi ya manyani.

Hatuwezi kuishi kama nguruwe tusiokuwa na utaratibu. Kama CCM imeshindwa kuongoza dola itoke madarakani
Hakuna upungufu wa kiasi hicho cha watu wasioweza kufikiri
We umevimbiwa na amani, nenda Sudan halafu urudi kuandika huo upuuzi. Utaratibu upi unazungumzia? Tena mshukuruni Mungu kwa Rais mstaarabu, mwuungwana km huyu, huyo lofa wenu asiyejiheshimu asingeiona tena ardhi hii ya Tanzania km alivyokuwa Oscar Kambona. Sijawahi ona mtu wa hovyo km huyo mnyaturu. Nia yake ni kuisambaratisha hii nchi, hatafanikiwa huyo mbwa wenu. Mtu utafikiri amefungiwa kinyesi mdomoni?
 
Back
Top Bottom