Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Magilatech ipo Kigamboni?? Jamaa mwenye dunduliza App?Wapo wengi tu. Nenda pale Smartcode au Magilatech utawakuta mkuu. Watu wengi wanapiga code wanaishi vizuri hubahatiki kukutana nao mtaani huku.
Zinedine Zidane kafelli pabaya kwa kudhani kuwa mapenzi yake ya soka yatakuwa sawa na mwanae. Matakwa yako yanaweza kuwa tofauti sana na wanao au nduguzo. Nature huamua mtoto aweje awe nani.Mie niliplan kijana wangu akifikisha miaka 7 naanza kumfundisha/kumpika kuhusu programming na cyber security.
Na uhakika mpk anafikisha 18 yrs ni kichomi kama Baba ake hapa, nataka agombaniwe na soko, kama nitakuwa hai basi nitakuwa mstari wa mbele kabisa ku reject offer za bei mbuzi.
Achana na dunduliza App, Magilatech ina ofisi hapa, dubai, congo ndio nadhani inaongoza nadhani kutengeneza mifumo ya serikali ya TZ, Congo pia ilipewa tenda na serikali. Imetengeneza azam pay, na mifumo mingine ya kibenki.Magilatech ipo Kigamboni?? Jamaa mwenye dunduliza App?
Nijuavyo vyuoni hufundishwi course moja tu;Ukiongelea taaluma ya Computer LAZIMA ujue kuandika lugha ya Computer (coding). Hiki chuo cha UDSM nina wasiwasi kila kitu wanafundisha nadharia tu (theory) hata katika taalum ambazo tunategenea wahitimu wawe wameiva kivitendo. Taaluma za uhandisi (engineering) wanaweza kujificha katika kivuli cha taasisi wanazofanyakazi kiasi kwamba wanaweza kuwa wanabebwa kwavile wanakuta taasisi au kampuni tayari imesimama inafanyakazi na wao tiamajitiamaji wanaibia na kukalili na mwisho wa siku wanajimwambafai. Sasa katika tasinia ya computer huwezi kudanganya. Sasa naomba (KWA USHAHIDI), muhitimu yupi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kahitimu anajua kuandika lugha ya computer (coding) na aje hapa na ushahidi wa kazi alizozifanya na jinsi ambavyo jamii tunajua na anaishi kwa taaluma hiyo. Mimi wengi ninaowajua kwenye coding wamejifunzia nje ya Tanzania. Nasema hivyo, tusijekuwa tunapeleka vijana wetu tukidhani watasaidika kumbe wanaenda kulishwa theories na mwisho wa siku wanaishia mtaani kama taaluma nyingine za Art! Kama kuna wataaluma wa UDSM ebu njoo mtuambie pia!
mifumoo ya hela mingi inatoka nje...! wabongo ni kutengeneza website sna sana..Achana na dunduliza App, Magilatech ina ofisi hapa, dubai, congo ndio nadhani inaongoza nadhani kutengeneza mifumo ya serikali ya TZ, Congo pia ilipewa tenda na serikali. Imetengeneza azam pay, na mifumo mingine ya kibenki.
Ukiongelea taaluma ya Computer LAZIMA ujue kuandika lugha ya Computer (coding). Hiki chuo cha UDSM nina wasiwasi kila kitu wanafundisha nadharia tu (theory) hata katika taalum ambazo tunategenea wahitimu wawe wameiva kivitendo. Taaluma za uhandisi (engineering) wanaweza kujificha katika kivuli cha taasisi wanazofanyakazi kiasi kwamba wanaweza kuwa wanabebwa kwavile wanakuta taasisi au kampuni tayari imesimama inafanyakazi na wao tiamajitiamaji wanaibia na kukalili na mwisho wa siku wanajimwambafai. Sasa katika tasinia ya computer huwezi kudanganya. Sasa naomba (KWA USHAHIDI), muhitimu yupi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kahitimu anajua kuandika lugha ya computer (coding) na aje hapa na ushahidi wa kazi alizozifanya na jinsi ambavyo jamii tunajua na anaishi kwa taaluma hiyo. Mimi wengi ninaowajua kwenye coding wamejifunzia nje ya Tanzania. Nasema hivyo, tusijekuwa tunapeleka vijana wetu tukidhani watasaidika kumbe wanaenda kulishwa theories na mwisho wa siku wanaishia mtaani kama taaluma nyingine za Art! Kama kuna wataaluma wa UDSM ebu njoo mtuambie pia!
Sasa unaniambia watu walio_ amalgamated/consolidated katika mfumo tayari unafanyakazi! Ni rahisi kutuongopea! Mtu anayejua coding kwa soko lilivyokubwa hapa Tz hawezi ajiriwa! Wanatafuta ajira kwasababu ya tiamajitiamaji ya kuwaboostUmeelewa nilichokwambia au hutaki kuelewa. Toka mwanzo nimekwambia wapo watanzania wamesoma hapa hapa wanafanya vitu kibao unavitumia. Nimekupa mfano nenda pale Magila tech kuna watanzia wameshirika kuunda mifumo ya benki, azam pay, mifumo ya serikali n.k. Nenda smart code kuna vija pale wanapiga code wanaishia kulipwa mishahara ya laki 6 wakati wanatengeneza product zinazoingiza pesa nyingi kwa kampuni.
Mwisho nikakwambia, haijalishi umesoma wapi, programming ni passion kama huna passion nayo huwezi kuwa programmer mzuri.
Wee vip? Si unyamaze?unakuta anayeongea hivyo mtupu hajui hata os inaoperate vipi alafu kakalili coding anajua ni makalio kila mtu anaweza kuyachezea
Wapeleke nje!Wewe umesomea coding/computer chuo kipi au unapendekeza chuo gani? ili tupeleke watoto wetu huko.
Kwa hiyo sasa umebadilisha si tena anayejua coding bali ambaye anajua coding na yuko nje ya mfumo.Sasa unaniambia watu walio_ amalgamated/consolidated katika mfumo tayari unafanyakazi! Ni rahisi kutuongopea! Mtu anayejua coding kwa soko lilivyokubwa hapa Tz hawezi ajiriwa! Wanatafuta ajira kwasababu ya tiamajitiamaji ya kuwaboost
Sasa wee jamaa unakitu cha kunifanya nikusikilize! Mhandisi MzalendoMkuu kwa UDSM hizo course kwa sasa zipo college ya COiCT.
Kuna
1. Bsc. in Computer science
2. Computer engineering
3. Telecom
4. Electronics
Hawa wote wanasoma coding ila ni wewe kijichagulia option yako. Coding wanafundishwa na zinaeleweka kabsa. Na ukitaka kujua hudhuria project presentation zao during final year.
Tatzo kubwa huwa linakuja baada ya kutoka pale.
Either uanzishe startup yako au uajiriwe kwenye makampuni yanayo develop apps. Kampuni au mashirika mengi wana mifumo iliyo tayari unakuta unashinda kufanya bugs fixing n.k....
Ila kwa kifupi miaka ya nyuma ni unakuta kila kitu tayari unabakia kuwa operator.
Siku hizi mambo yamebadilika startups ni nyingi na mwamko wa kujiajiri ni mkubwa so naamini things are getting well.
Kwa dunia ya sasa coding ni kitu rahisi sana.
Can you imagine waliosoma Pascal? Lugha ya kwanza kwanza ile na unatoka hapo unaenda kwenye C then Java. Na bado wakaunda apps....
Ni vile maisha yanakupeleka kwingine...
Contemporary coding language ya soko! Whatever kwasababu any programming language ina basics to advance!Coding ni verb siyo noun. Kuna lugha nyingi sana za programming ambazo mtu anaweza kujifunza coding. Sasa wewe sijui unamaanisha nini kusema mtu anayejua coding.
Morning_star mbona jibu la jumla sana hili mkuu.. Yaani hapa nchini hakuna chuo mpaka watoto wote wakasome nje? Je wazazi sisi kapuku tuna uwezo huo?Wapeleke nje!
Mimi nina maisha yangu sina shida! Hila nina watoto tena kwa niaba ya watoto "vipanga" wanaomaliza kidato cha sita na div.1 ya point 3 hadi 6 ndoto zao ni masomo yatakayowapelekea kuwa vizuri kwenya coding! Kwa UDSM hiyo course ni "Bsc. In Computer Engineering" sio unawapeleka shimoni ambalo hawawezi kutoka!
Mbona unanilisha hoja wewe zwazwa nani kasema ustadi unakuja bila kujua kitu husika tumia akili basi japo kidogo 🤕 ustadi ni zaidi ya uzoefu na ujuzi kwa kuwa ustadi unapimwa kwa product iliyo tukuka ya hali ya juu ...unaweza kuwa na elimu na uzoefu ila product ya hiyo elimu na uzoefu zikawa duni.Una experience na field unayoongelea? Au unadhani ustadi wa kucheza draft unapatikana bila kujua kucheza draft?
Usikariri ndugu, zama zimebadilika. Vijana wapo vizuri, kama ukitaka kufanya nao kazi njoo inbox nikupatie, utakuja kuufuta uzi huu. Ila uwalipe vizuri.Ukiongelea taaluma ya Computer LAZIMA ujue kuandika lugha ya Computer (coding). Hiki chuo cha UDSM nina wasiwasi kila kitu wanafundisha nadharia tu (theory) hata katika taalum ambazo tunategenea wahitimu wawe wameiva kivitendo. Taaluma za uhandisi (engineering) wanaweza kujificha katika kivuli cha taasisi wanazofanyakazi kiasi kwamba wanaweza kuwa wanabebwa kwavile wanakuta taasisi au kampuni tayari imesimama inafanyakazi na wao tiamajitiamaji wanaibia na kukalili na mwisho wa siku wanajimwambafai. Sasa katika tasinia ya computer huwezi kudanganya. Sasa naomba (KWA USHAHIDI), muhitimu yupi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kahitimu anajua kuandika lugha ya computer (coding) na aje hapa na ushahidi wa kazi alizozifanya na jinsi ambavyo jamii tunajua na anaishi kwa taaluma hiyo. Mimi wengi ninaowajua kwenye coding wamejifunzia nje ya Tanzania. Nasema hivyo, tusijekuwa tunapeleka vijana wetu tukidhani watasaidika kumbe wanaenda kulishwa theories na mwisho wa siku wanaishia mtaani kama taaluma nyingine za Art! Kama kuna wataaluma wa UDSM ebu njoo mtuambie pia!
Kumpika mtu and kumuamulia his/her destiny ni tofauti.Zinedine Zidane kafelli pabaya kwa kudhani kuwa mapenzi yake ya soka yatakuwa sawa na mwanae. Matakwa yako yanaweza kuwa tofauti sana na wanao au nduguzo. Nature huamua mtoto aweje awe nani.
Fuatilia uzi wa Geneus mtoto wa kenya wa miaka ya 90 ambae alifeli vibaya huko ulaya.
Huyo geneus aludhulimiwa( kufundishwa mambo mengi ktk umri mdogo) vibaya na wazazi wake na mpaka leo anawalaumu kwa vitendo walivyokuwa wanamfanyia.
Anyway naona unabwabwaja.Mbona unanilisha hoja wewe zwazwa nani kasema ustadi unakuja bila kujua kitu husika tumia akili basi japo kidogo 🤕 ustadi ni zaidi ya uzoefu na ujuzi kwa kuwa ustadi unapimwa kwa product iliyo tukuka ya hali ya juu ...unaweza kuwa na elimu na uzoefu ila product ya hiyo elimu na uzoefu zikawa duni.
Sawa ila ni muhimu kujua uwezo, interest na maono ya mtoto. Unaweza kumlazimisha awe IT kumbe bongo yake haiendani.Kumpika mtu and kumuamulia his/her destiny ni tofauti.
Ndio maana ktk ishu ya mpira kuna ACADEMY mbn hao hutolei mfano?
Same applied here, Programming si ya kuisoma ukiwa ushakomaa akili kupitiliza utapasuka kichwa, ile inatakiwa iwe ni culture yake anayopractice kila siku. Akiamua aachane nayo ni yeye sasa.
Epuka lawama kutoka kwa Watoto wako, just fanya kila kitu ambacho unaona ni sahihi.
Ni kheri apoteze muda akisoma mambo ya maana kuliko apoteze muda kuangalia katuni.