Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajitekenya na kucheka wenyewe,mikia buanaKama mwana Simba SC ni Goli ambalo limeniuma kwani amesawazisha ila Kiuanamichezo na hasa nikiwa kama Mdau wa Soka GENTAMYCINE nisiwe Mnafiki na naomba niseme tu kuwa ni Goli zuri hakuna mfano kwani alijiseti vyema kabisa na Kunipigia 'Muwa' wa maana ulioenda kule kule anakotagia Mayai Ndege.
Sijui Simba SC yangu ( hasa Mwekezaji Mo Dewji ) alishindwa nini na wapi kumpata huyu Kiungo Mshambuliaji Raia kutoka nchini Burkina Faso Stephane Aziz K kwani kwa Kipaji chake na Uwezo wake angetua Simba SC na kukutana na Mafundi tupu akina Chama, Phiri na Okra nina uhakika hivi sasa tungekuwa tunasema mengine.
Hongereni Yanga SC kwa kuwa nae.
Alipotea uwanjani? Aziz Ki jana alionekana sana, acha ushabiki maandazi, Okrah ubinafsi mnaousema ni upi?? AZIZ KI alicreate chances za kutosha, kwa wanaojua Mpira jana game ilibidi Yanga waondoke na Ushindi wa magoli si chini ya 3.Goli zuri sana ila ukiondoa goli alikua kapotea uwanjani. Okrah had a good game ila ubinafsi umefanya aonekane wa kawaida tu mwehu yule.
Ule Mgoli wa Aziz Ki ni mwana ukome
Sawa Utopolo umesikika.Kama mwana Simba SC ni Goli ambalo limeniuma kwani amesawazisha ila Kiuanamichezo na hasa nikiwa kama Mdau wa Soka GENTAMYCINE nisiwe Mnafiki na naomba niseme tu kuwa ni Goli zuri hakuna mfano kwani alijiseti vyema kabisa na Kunipigia 'Muwa' wa maana ulioenda kule kule anakotagia Mayai Ndege.
Sijui Simba SC yangu ( hasa Mwekezaji Mo Dewji ) alishindwa nini na wapi kumpata huyu Kiungo Mshambuliaji Raia kutoka nchini Burkina Faso Stephane Aziz K kwani kwa Kipaji chake na Uwezo wake angetua Simba SC na kukutana na Mafundi tupu akina Chama, Phiri na Okra nina uhakika hivi sasa tungekuwa tunasema mengine.
Hongereni Yanga SC kwa kuwa nae.
Hajui lolote kuhusu football huyo, achana naye. Ni mzuri zaidi kwenye matusi na "kuchamba"kwa hiyo azizi ki kuifunga simba leo ndio kawa bora. tuambie kaonekana wapi zaidi ya lile goli. mbona hakuwavusha yanga kwenda group stage. kama unae chama ki wanini. acha kwenda na matukio kama upepo
Kama mnavyomuita screen protector kipa lenu linalopigwa matobo ovyoHivi bado wataendelea kumuita air manula 😃 !
Huyo ni mbumbumbu mwenzio namfahamu sana huyo mama ni katibu wa tawi la simba kongoweSawa Utopolo umesikika.
Kila siku kuanzisha nyuzi za kuikandia Simba na bado wajiita mwana-simba!
Nilikuamini sana, umeanza kunitia wasiwasi GENTAMYCINE.Kama mwana Simba SC ni Goli ambalo limeniuma kwani amesawazisha ila Kiuanamichezo na hasa nikiwa kama Mdau wa Soka GENTAMYCINE nisiwe Mnafiki na naomba niseme tu kuwa ni Goli zuri hakuna mfano kwani alijiseti vyema kabisa na Kunipigia 'Muwa' wa maana ulioenda kule kule anakotagia Mayai Ndege.
Sijui Simba SC yangu ( hasa Mwekezaji Mo Dewji ) alishindwa nini na wapi kumpata huyu Kiungo Mshambuliaji Raia kutoka nchini Burkina Faso Stephane Aziz K kwani kwa Kipaji chake na Uwezo wake angetua Simba SC na kukutana na Mafundi tupu akina Chama, Phiri na Okra nina uhakika hivi sasa tungekuwa tunasema mengine.
Hongereni Yanga SC kwa kuwa nae.
Unaongelea ushabiki sana na bila shaka haujawahi kucheza mpira kwasababu laiti ungekuwa umecheza mpira usingesema hivyo,kwa kulibeza goli la azizi kNilikuamini sana, umeanza kunitia wasiwasi GENTAMYCINE.
Classic goal!!! Lipi? Utalinganisha hilo goli na goli la la kuuza mabeki watatukwa pamoja halafu kipa anakula tobo?
Kungekuwa na ukuta umetanda vyema , Stephanie Aziz Ki asingefunga hlo goli, njia ilikuwa nyeupe kunyoka fito ya namna ileHivi Simba waliweka hata ukuta pale au walimuachia Ki ajimwambafai tu? Hii game tulikuwa tunafunga mahesabu kipindi cha kwanza.
Yamefungwa na wengi, nothing new. Kona ya Kichuya utasemaje?Unaongelea ushabiki sana na bila shaka haujawahi kucheza mpira kwasababu laiti ungekuwa umecheza mpira usingesema hivyo,kwa kulibeza goli la azizi k
Kwani uko uwanjani anacheza mwenyewe.kwani ukikubali kua jamaa ni mzuri unapungukiwa nini?.tupunguze husuda zisizokua na maana.kwa hiyo azizi ki kuifunga simba leo ndio kawa bora. tuambie kaonekana wapi zaidi ya lile goli. mbona hakuwavusha yanga kwenda group stage. kama unae chama ki wanini. acha kwenda na matukio kama upepo
Kwawakati wake lilikuwa goli bora na yeyote anaeujua mpira alilisifia awe simba awe yangaYamefungwa na wengi, nothing new. Kona ya Kichuya utasemaje?
Kwa mtazamo wako ni kuwa mechi ya Jana Derby ya simba na yanga ilikuwa muhimu sana kwa yanga kuliko mechi ya marudiano dhidi ya al hillal na yanga..Kwani asist kwenye ngao ya jamii nani alitoa kamq sio aziz ki, mchezaji muhimu uamua mechi muhimu inapotokea ajafanya ivyo inakuwa ni bahati mbaya na ndo mpira sio kila mara utaamka vizuri
Ilikua kusudi, kutopewa adhabu ni yaleyale ya upendeleo hakuna kingine, Chama ana dabi kama tatu anafanya tukio kama la Jana na hakuwahi kuchukuliwa hatua za kinidhamu.Mkuu kama unafatilia mpira ile haikuwa makusudi ndio maana refa aliiona lakini hakutoa kadi, nakuhakikishia chama hatopata adhabu yoyote
Cha kawa assist Yanga, au sio?Kusifia goli la Aziz bila kusifia assist ya chama ni UPOPOMA
Hahahaha kweli Uto hamna akili Haji alishadhihirisha hilo. Kwa hiyo jana mngeshinda 3-1.Alipotea uwanjani? Aziz Ki jana alionekana sana, acha ushabiki maandazi, Okrah ubinafsi mnaousema ni upi?? AZIZ KI alicreate chances za kutosha, kwa wanaojua Mpira jana game ilibidi Yanga waondoke na Ushindi wa magoli si chini ya 3.
Moloko, Mayele wemekosa magoli ya wazi, yaan wazi kabisa.
All in all, Simba walipa mashuti mawili tu yalilenga Goli.
1. OKRAH likawa Goli
2. Chama alipiga foul Diara akataka kudaka mpira ukamtoka na kuwa Kona..
Yanga walipiga mashuti yaliyolenga lango 6 na moja likiwa Goli. Sambamba na kukosa nafasi za wazi kabisa.
Huu uchambuzi wa kusema Okrah amecheza mpira ni kituko.
Ukuta wa mchongo.Waliweka ukuta ila Aziz Ki alichagua upande ambao hauna ukuta yaan ule upande ambao MANULA aliamua kubakia.