Kelele sipunguzi Ng'oooooo.
Nami ni mtu mzima mwenye majanga yake.
Nahitaji liwazo hasa za type ya akina Kingunge......loh......
akina Diamond wasumbufu.
Halafu wewe Komando wangu mbona una roho mbaya kiasi hicho??
Kwa nini hii useful tip hukunirushia kabla sijastaafu??
Babu DC!!
tena babu alipaswa akugande. Si ana mashamba ya mahindi na mpunga jamani? Ama halimi tena?
babu kuna mitoto laanakum hata ukiilaani unajichosha tu. Wapotezee hao, bhange ya leo ilikuwa mbichi afu changa.
kwani umestaafu mwili mzima jamani? Changamka, mjini hakuna wazee babu. Uje utembelee huku, ntakugawia nyati mmoja ama tembo ukafuge mjini.
Unataka tufanye kazi hadi siku ya mazishi yetu?
Wenzio tulishastaafu...twajilia pensheni...
Kijiti mnacho nyie...
Kimbizanani kwanza...!!
Babu DC!!
udairekta ni permanent role yangu. Imekuwaje umejigawiamo? Futa kauli tafadhali.
Utaishia kunipiga mkwara tu na kuendelea kulea mimba yangu heheheheeeeeee charminglady nakupendaaaaaaaa