Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Kelele sipunguzi Ng'oooooo.
Nami ni mtu mzima mwenye majanga yake.
Nahitaji liwazo hasa za type ya akina Kingunge......loh......
akina Diamond wasumbufu.
Kama unatafuta akina Kingunge si utafute ambao wana pumzi hata ya kukimbia mbio za mita 50 kama akina King Majuto?
Utovu tu wa nidhamu ndo unakusumbua??
Kakue kwanza wewe mtoto......!!
Babu DC!!