Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
yule dada aliyesema vi ofa mbuzi vimemponza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeanza lini madameB?
Hivi babu DC ndio uko hivi??
Nimekuhashukia na kukuhonga like kumbe umetangaza ndoa kwa Madame B?
Kongosho yaani pale nimefika.
mie nimemuhonga Moyo na Valve zake,
kasema niko peke yangu dunia hii.
kumbe tuko wengi?
Atantambua.
tena toa laana ile kali kabisa
anataka kukuzoea huyu
tena toa laana ile kali kabisa
anataka kukuzoea huyu
Hii sasa ni bhange nibangue.....
Shauri yenu...mtatoana macho kwa kugombania picha ya tuk tuk...
Ngoja nikapige umbeya wa kiutu uzima na Bibi yenu...
Babu DC!!
Hii sasa ni bhange nibangue.....
Shauri yenu...mtatoana macho kwa kugombania picha ya tuk tuk...
Ngoja nikapige umbeya wa kiutu uzima na Bibi yenu...
Babu DC!!
mmh, mie sitoani macho
ila umenishangaza, ujue mie kwa maneno tu.
Ukome na wewe na ushankupe wako....
Hebu kamtibu zombie wako kwanza kabla hujaanza kuwaonea wanyonge tulikwishajistaafia!!
Babu DC!!
Haya basi kalale ukue...
Wenzio tunataka mahari kubwa kubwa....
Babu DC!!
Of all the people, kipimo chako cha utu uzima ni Asprin,
Sitaki kugombana na mzee mwenzangu, ngoja nimtafute nimpe mabusara aache michezo na under 18!!
Babu DC!!
.....nakufata huko huko kwa mzee mwenzi......
hadi kieleweke leo.
Yeye ndie aliyenifanyia ukaguzi wa nje mpaka wa ndani.
amenichambua kila kiungo changu mithili ya uchambuliwapo mchele kutenganisha chuwa na mchele Babu DC.
he he he, kila mtu na mnyonge wake.
Basi kuna mahali na mie nimetoka nduki leo, nilicheka sana nikakukumbuka.
Ujue wee ni mnyonge wangu? Wengine hawataniwi lol
nimekoma, utani kwa babu tu.