Kwa akili matope hawataelewa ujumbe mzito uliopo kwenye andiko hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu hupenda msaliti na mfitini ateseke sana kwanza kabla ya kuitwa marehemu.
 
Kwa sababu ana mpango na lisu wa kuwa rais wa tz
 
Lissu yupo hai na ana akili zake timamu. Yote haya anaweza kuyatolea ufafanuzi.
Angekufa tungeaminishwa mengi Sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada, ni mwendawazimu pekee yake ambae hajui ni akina nani walipanga mauaji ya Komredi Lissu. Ukiangalia 'matukio yaliyojiri' baada ya kupigwa risasi huhitaji elimu kubwa kuwagundua.
 
Ubalozi wa America unajua kila kitu,una wa sare tu.
 
Upande wa pili wa lumumba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema inamfia mikononi hana bahati huyo
Mwakani hakuna ruzuku ataimba nyimbo zote
Usije sahau ccm wanalipwa ruzuku kiasi kikubwa kuliko vyama vyote na bado wanavunja benki kuu kuelekea uchaguzi mkuuu ili kupata fedha.
 
Ila yule mKenya alisema Daudi Albert Bashite ndiye aliyeratibu mpango wa Lissu Kuuawa. Na huyu mtu amepigwa ban asikanyage USA hivi majuzi tu. Mimi binafsi naamini yule mKenya alikuwa sahihi.
 

Bado hujapata majibu mpaka muda huu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…