jupiter001
Member
- May 25, 2023
- 44
- 72
asante mkuuWewe ni mpumbavu sana sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mkuuWewe ni mpumbavu sana sana
Mnahangaika sana kupulizia kinyesi manukatoHivi Karibuni Tundu Lissu ameanza kumpenda hadharani Raisi Magufuli.
Sio bahati mbaya , na wengine wanaweza kudhani ni kwa sababu anataka kuungwa mkono na wafuasi wa JPM kwenye harakati zake za Uraisi.
Ukweli ni kuwa JPM hakutoa Order ya Lissu kushambuliwa 10000% , Hayati Magufuli aliponzwa na kauli zake alizozitoa muda mfupi kabla ya Lissu kushambuliwa.
Huelewi bado?
Iko hivi, kuna viongozi waandamizi kadhaa walisuka ramani vizuri , viongozi hao waliwahi kumfadhiri Lissu ,kivipi?
Kwa wasiojua ,wapinzani wengi hulipwa na chama tawala kupush agenda muhimu kwa masilahi flani hivi
wenye kujua watanielewa.
Waandamizi hao walitaka wamekosanishe Hayati Magufuli to the highest level na wananchi , waka organize madhira yaliyompata Lissu, too late Lissu amekuja kujua waliomfanyia hivyo ni wafadhili wake wa muda mrefu , mpaka sasa Lissu anatamani hata kesho akalie kwenye kaburi la Hayati Magufuli.
Na wale aliowaona wazuri kwake amegungua ndio waliokua nyuma ya madhira yake.
Ama kweli dunia ina mambo, acha dunia ifunuke ukweli uzidi kuonekana.
Narudia tena Lissu hajaujua vyema ukweli , kitambo kidogo atajua kila kitu na huenda atazimia
Bandari bandari bandari.Hivi Karibuni Tundu Lissu ameanza kumpenda hadharani Raisi Magufuli.

Lisu amekuja kujua waliomfanyia madhira ni wafadhili wake ?!!! Kisha unamalizia kwa kusema Lissu hajaujua vyema ukweli kitambo kidogo atajua kila kitu !!!!! 😅 Nimeshindwa kuelewa !!Hivi Karibuni Tundu Lissu ameanza kumpenda hadharani Raisi Magufuli.
Sio bahati mbaya , na wengine wanaweza kudhani ni kwa sababu anataka kuungwa mkono na wafuasi wa JPM kwenye harakati zake za Uraisi.
Ukweli ni kuwa JPM hakutoa Order ya Lissu kushambuliwa 10000% , Hayati Magufuli aliponzwa na kauli zake alizozitoa muda mfupi kabla ya Lissu kushambuliwa.
Huelewi bado?
Iko hivi, kuna viongozi waandamizi kadhaa walisuka ramani vizuri , viongozi hao waliwahi kumfadhiri Lissu ,kivipi?
Kwa wasiojua ,wapinzani wengi hulipwa na chama tawala kupush agenda muhimu kwa masilahi flani hivi
wenye kujua watanielewa.
Waandamizi hao walitaka wamekosanishe Hayati Magufuli to the highest level na wananchi , waka organize madhira yaliyompata Lissu, too late Lissu amekuja kujua waliomfanyia hivyo ni wafadhili wake wa muda mrefu , mpaka sasa Lissu anatamani hata kesho akalie kwenye kaburi la Hayati Magufuli.
Na wale aliowaona wazuri kwake amegungua ndio waliokua nyuma ya madhira yake.
Ama kweli dunia ina mambo, acha dunia ifunuke ukweli uzidi kuonekana.
Narudia tena Lissu hajaujua vyema ukweli , kitambo kidogo atajua kila kitu na huenda atazimia
Mchunguzi huru kutoka Yombo kigilagilaHivi Karibuni Tundu Lissu ameanza kumpenda hadharani Raisi Magufuli.