uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TumainiEl aliwahi andika kuwa operation za awamu ya tano zilikia ni maamuzi ya kitengo sio ya jpm moja kwa moja!
Kwamba kuna maamuzi ya jiwe na maamuzi ya kitengo hakuna kilichofanyika bila kitengo kujua au go ahead ya kitengo!!!
Tusubiri!!!
Mi ninachojiuliza kama kweli awamu ya tano ingedhamiria Lisu aende angeenda kwa vyovyote vile wasinge delay HADI apone tena na kurudi!!!
Kama kweli angekua adui wa Taifa HADI leo asingekuwepo!!!
Hivyo tu nadhani!!!
Alinyamaza na hakujali lolote.Matendo ya JPM yalionyesha dhahiri uhusika wake, especially after the shootings.
Alinyamaza na hakujali lolote.
Hii ilitosha kutia shaka.
Pili alizuia maombi.
Lakini tunamtangazia msamaha
Tunamjua Lissu ni Imara, hata akiwa hospital alikuwa mtu aliyejaa tabasamu kila wakati.kunyamaza ni dalili ya kuyaheshimu maamuzi ya taasisi zake anazoziongoza.
lakini lissu ndiye muhanga,anajua na anajulishwa vyema yaliyojili huwenda kuna kitu ameshtuka,ukizingatia lissu sio kama mimi na wewe.
Kuna mengi sana huyafahamu ,sikulaumu
Mkuu umempiga rungu la kichwa huyu uvccmHata kama dawa ya upumbavu ingepatikana leo, wewe jupiter001 huponi na ungeendelea kuteseka maisha yako yote.
Hadi leo wazazi wa Ben Saanane bado wanamlilia. Kwa Mh. Tundu Antiphas Lissu ni Mungu tu aliingilia kati na kupiga stop!
Hivi Karibuni Tundu Lissu ameanza kumpenda hadharani Raisi Magufuli.
Sio bahati mbaya , na wengine wanaweza kudhani ni kwa sababu anataka kuungwa mkono na wafuasi wa JPM kwenye harakati zake za Uraisi.
Ukweli ni kuwa JPM hakutoa Order ya Lissu kushambuliwa 10000% , Hayati Magufuli aliponzwa na kauli zake alizozitoa muda mfupi kabla ya Lissu kushambuliwa.
Huelewi bado?
Iko hivi, kuna viongozi waandamizi kadhaa walisuka ramani vizuri , viongozi hao waliwahi kumfadhiri Lissu ,kivipi?
Kwa wasiojua ,wapinzani wengi hulipwa na chama tawala kupush agenda muhimu kwa masilahi flani hivi
wenye kujua watanielewa.
Waandamizi hao walitaka wamekosanishe Hayati Magufuli to the highest level na wananchi , waka organize madhira yaliyompata Lissu, too late Lissu amekuja kujua waliomfanyia hivyo ni wafadhili wake wa muda mrefu , mpaka sasa Lissu anatamani hata kesho akalie kwenye kaburi la Hayati Magufuli.
Na wale aliowaona wazuri kwake amegungua ndio waliokua nyuma ya madhira yake.
Ama kweli dunia ina mambo, acha dunia ifunuke ukweli uzidi kuonekana.
Narudia tena Lissu hajaujua vyema ukweli , kitambo kidogo atajua kila kitu na huenda atazimia
Mbowe ndio alitaka kumuua lisu, hilo linajulikana
Hata kama dawa ya upumbavu ingepatikana leo, wewe jupiter001 huponi na ungeendelea kuteseka maisha yako yote.
Hadi leo wazazi wa Ben Saanane bado wanamlilia. Kwa Mh. Tundu Antiphas Lissu ni Mungu tu aliingilia kati na kupiga stop!
Siasa za kishoga zimeputwa na wakati.Mbowe ndio alitaka kumuua lisu, hilo linajulikana
Kaa chini ufikiri vizuri mtu mwenye kile cheo akiitaka roho ya mtu hawezi kupeleka wauwaji wanamna Ile!.. wale ni watoto walikuwa wanachezea vifaa vya moto tu!Jiwe ndio alitaka Kumuua Lissu
Hili hata Chizi WA Mirembe analifahamu
Jiwe alikuwa Mshamba sanaKaa chini ufikiri vizuri mtu mwenye kile cheo akiitaka roho ya mtu hawezi kupeleka wauwaji wanamna Ile!.. wale ni watoto walikuwa wanachezea vifaa vya moto tu!
Jifungie kwenye huo mchoro ndugu...😅Jiwe alikuwa Mshamba sana
Sijui ni ukweli upi unaouzungumzia hapa, maanake hukueleza chochote.Ukweli unakuja taralibu, utafika tu