Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Hivi Karibuni Tundu Lissu ameanza kumpenda hadharani Raisi Magufuli.

Sio bahati mbaya , na wengine wanaweza kudhani ni kwa sababu anataka kuungwa mkono na wafuasi wa JPM kwenye harakati zake za Uraisi.

Ukweli ni kuwa JPM hakutoa Order ya Lissu kushambuliwa 10000% , Hayati Magufuli aliponzwa na kauli zake alizozitoa muda mfupi kabla ya Lissu kushambuliwa.

Huelewi bado?

Iko hivi, kuna viongozi waandamizi kadhaa walisuka ramani vizuri , viongozi hao waliwahi kumfadhiri Lissu ,kivipi?
Kwa wasiojua ,wapinzani wengi hulipwa na chama tawala kupush agenda muhimu kwa masilahi flani hivi
wenye kujua watanielewa.

Waandamizi hao walitaka wamekosanishe Hayati Magufuli to the highest level na wananchi , waka organize madhira yaliyompata Lissu, too late Lissu amekuja kujua waliomfanyia hivyo ni wafadhili wake wa muda mrefu , mpaka sasa Lissu anatamani hata kesho akalie kwenye kaburi la Hayati Magufuli.

Na wale aliowaona wazuri kwake amegungua ndio waliokua nyuma ya madhira yake.

Ama kweli dunia ina mambo, acha dunia ifunuke ukweli uzidi kuonekana.

Narudia tena Lissu hajaujua vyema ukweli , kitambo kidogo atajua kila kitu na huenda atazimia
 
Jupiter 001,

KAZI iendelee,

Bt kumbuka kiapo Cha TANU kisemacho,

" Nitasema KWELI Daima, RUSHWA kwangu MWIKO 🙏🙏!!!
 
Mkuu mbona unataka kupindisha pindisha ukwel , eti walitaka kumchonganisha Kwa hiyo walijua kua lisu tumtandika lisasi kibao kisha atapona c ndio , ili akishapona wawe na ugomvi na jpm ,

Hebu tutolee uwongo wako hapa
Kuna mengi sana huyafahamu ,sikulaumu
 
Hivi Karibuni Tundu Lissu ameanza kumpenda hadharani Raisi Magufuli.

Sio bahati mbaya , na wengine wanaweza kudhani ni kwa sababu anataka kuungwa mkono na wafuasi wa JPM kwenye harakati zake za Uraisi.

Ukweli ni kuwa JPM hakutoa Order ya Lissu kushambuliwa 10000% , Hayati Magufuli aliponzwa na kauli zake alizozitoa muda mfupi kabla ya Lissu kushambuliwa.

Huelewi bado?

Iko hivi, kuna viongozi waandamizi kadhaa walisuka ramani vizuri , viongozi hao waliwahi kumfadhiri Lissu ,kivipi?
Kwa wasiojua ,wapinzani wengi hulipwa na chama tawala kupush agenda muhimu kwa masilahi flani hivi
wenye kujua watanielewa.

Waandamizi hao walitaka wamekosanishe Hayati Magufuli to the highest level na wananchi , waka organize madhira yaliyompata Lissu, too late Lissu amekuja kujua waliomfanyia hivyo ni wafadhili wake wa muda mrefu , mpaka sasa Lissu anatamani hata kesho akalie kwenye kaburi la Hayati Magufuli.

Na wale aliowaona wazuri kwake amegungua ndio waliokua nyuma ya madhira yake.

Ama kweli dunia ina mambo, acha dunia ifunuke ukweli uzidi kuonekana.

Narudia tena Lissu hajaujua vyema ukweli , kitambo kidogo atajua kila kitu na huenda atazimia
Huu ni uzushi wa.
Lissu hana bei na ccm wanalijua hilo.
Lissu angenunulika angenunuliwa na Magufuli
 
Iko hivi, kuna viongozi waandamizi kadhaa walisuka ramani vizuri , viongozi hao waliwahi kumfadhiri Lissu ,kivipi?
Mmmhhhh tuambie baba......
Kwa wasiojua ,wapinzani wengi hulipwa na chama tawala kupush agenda muhimu kwa masilahi flani hivi
wenye kujua watanielewa.
100% sahihi
Na wale aliowaona wazuri kwake amegungua ndio waliokua nyuma ya madhira yake.
Vip Tena hapa 👆 hebu chini👇
Narudia tena Lissu hajaujua vyema ukweli , kitambo kidogo atajua kila kitu na huenda atazimia
Unatuchanganya Sasa so kagundua ila ukweli hajaujua alafu 👇
mpaka sasa Lissu anatamani hata kesho akalie kwenye kaburi la Hayati Magufuli.
🤣🤣🤣🤣🤣 Kuwa serious basi mkuuu......
Ama kweli dunia ina mambo, acha dunia ifunuke ukweli uzidi kuonekana.
Hili👆 ndilo la msingi 👍👍👍
 
Yaan mtu kusema mazur aliyoyakubali ndio ikanushe kuw Maguful hakuusika na jarbu lile la asasination
 
Hivi Karibuni Tundu Lissu ameanza kumpenda hadharani Raisi Magufuli.

Sio bahati mbaya , na wengine wanaweza kudhani ni kwa sababu anataka kuungwa mkono na wafuasi wa JPM kwenye harakati zake za Uraisi.

Ukweli ni kuwa JPM hakutoa Order ya Lissu kushambuliwa 10000% , Hayati Magufuli aliponzwa na kauli zake alizozitoa muda mfupi kabla ya Lissu kushambuliwa.

Huelewi bado?

Iko hivi, kuna viongozi waandamizi kadhaa walisuka ramani vizuri , viongozi hao waliwahi kumfadhiri Lissu ,kivipi?
Kwa wasiojua ,wapinzani wengi hulipwa na chama tawala kupush agenda muhimu kwa masilahi flani hivi
wenye kujua watanielewa.

Waandamizi hao walitaka wamekosanishe Hayati Magufuli to the highest level na wananchi , waka organize madhira yaliyompata Lissu, too late Lissu amekuja kujua waliomfanyia hivyo ni wafadhili wake wa muda mrefu , mpaka sasa Lissu anatamani hata kesho akalie kwenye kaburi la Hayati Magufuli.

Na wale aliowaona wazuri kwake amegungua ndio waliokua nyuma ya madhira yake.

Ama kweli dunia ina mambo, acha dunia ifunuke ukweli uzidi kuonekana.

Narudia tena Lissu hajaujua vyema ukweli , kitambo kidogo atajua kila kitu na huenda atazimia
Hapo ndio unaona umetupoteza mabiya ile mbaya. Uchunguzi umefikia wapi ili tupime usemacho?
 
Ukweli ni kuwa JPM hakutoa Order ya Lissu kushambuliwa 10000% , Hayati Magufuli aliponzwa na kauli zake alizozitoa muda mfupi kabla ya Lissu kushambuliwa.

Huelewi bado?
Unatafuta kupindisha akili za watu kwa nguvu? Ulishaona wapi jambo kama hilo liktokea.

Hayo ya ubaya wa Magufuli yaache yalalae. Hayawezi kukumiza zaidi wewe kuliko aliyeguswa moja kwa moja na tukio la maamuzi hayo mabovu.
Kaamua kuyaacha nyuma na kuendelea na maslahi ya nchi hii. Wewe ni nani kutaka kuyashikilia ndiyo iwe ajenda ya milele.

Mpongeze Lissu, kwa kuwa na uvumilivu wa ajabu sana.
Huyu mtu angekaa na roho ya kisasi na kusononeka wakati huu angekuwa ni kiazi kabisa cha kuonea huruma.

Lakini siyo Lissu. Anasimama na kuendelea na maisha na kutetea haki za taifa hili.
 
Hivi Karibuni Tundu Lissu ameanza kumpenda hadharani Raisi Magufuli.

Sio bahati mbaya , na wengine wanaweza kudhani ni kwa sababu anataka kuungwa mkono na wafuasi wa JPM kwenye harakati zake za Uraisi.

Ukweli ni kuwa JPM hakutoa Order ya Lissu kushambuliwa 10000% , Hayati Magufuli aliponzwa na kauli zake alizozitoa muda mfupi kabla ya Lissu kushambuliwa.

Huelewi bado?

Iko hivi, kuna viongozi waandamizi kadhaa walisuka ramani vizuri , viongozi hao waliwahi kumfadhiri Lissu ,kivipi?
Kwa wasiojua ,wapinzani wengi hulipwa na chama tawala kupush agenda muhimu kwa masilahi flani hivi
wenye kujua watanielewa.

Waandamizi hao walitaka wamekosanishe Hayati Magufuli to the highest level na wananchi , waka organize madhira yaliyompata Lissu, too late Lissu amekuja kujua waliomfanyia hivyo ni wafadhili wake wa muda mrefu , mpaka sasa Lissu anatamani hata kesho akalie kwenye kaburi la Hayati Magufuli.

Na wale aliowaona wazuri kwake amegungua ndio waliokua nyuma ya madhira yake.

Ama kweli dunia ina mambo, acha dunia ifunuke ukweli uzidi kuonekana.

Narudia tena Lissu hajaujua vyema ukweli , kitambo kidogo atajua kila kitu na huenda atazimia
Moja kati ya mada za kipuuzi ndani ya JF.
Hopeles Kabisa.
 
Kumbe mtu unaweza ku imagine story na kuiqndika vizuri ili tu upate comments na reactions toka kwa wanajukwaa? Hongera kwa kuanzisha uzi.
 
Back
Top Bottom