mtoa mada nikupongeze kwa taarifa yako iliyobobea kiuchunguzi.
 
Kwahiyo huyo na yule magufuli wote jora moja maana magufuli kazuiya Uhuru wa habari

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Wewe wasema...JPM hajazuia uhuru was habari...ndiyo maana unamwandika Magufuli hapa utakavyo...angezuia uhuru was habari usingeweza kumsema....ila baadhi ya wapenzi wa chadema ni madikteta kwelikweli..silaha yenu kwa Sasa mitandaoni ni matusi dhidi ya wote wale wanaotofautiana nanyi kimawazo na kifikra....nyie ni watu wa hatari Sana...mkipata madaraka, Mungu apishilie mbali, mtakuwa mnawanyamazisha watu kwa risasi...
 
una onekana mweupe sana Upstairs kijana
CCTV Footage za ilo tukio mbona hazijawahi kuwekwa wazi hata siku moja kuweza kuwabaini wahusika na hilo shambulizi?
jibu kwanza hili kabla sija kuswalika lingine
buku7 wewe [emoji57]
 
Hakuna mwiba ambao ccm imewahi kukutana nao tangu nchi ipate uhuru isipokuwa LISSU.

Mwanamageuzi halisi asiyeyumbishwa na vipande vya mkate na sarafu.

Ni shujaa na jasiri asiogopeshwa kwa mtutu wa bunduki.
Unachekesha miiba ni mingi sana tena mikubwa.
Kifo cha Kassim Hanga kilichoamriwa na Raisi Karume.
Mauaji ya Raisi Abeid Amani Karume
Ajali ya ndege iliomuua Shekilango
Vita vya Kagera
Aboud Jumbe Kuvuliwa uraisi wa Zanzibar
Mkulima Mamwindi toka Isimani alimpiga risasi na kumuua mkuu wa mkoa wa Iringa akipinga kunyanganywa ardhi na huyo Dr.Kleruu mkuu wa mkoa.
Kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Kifo cha waziri mkuu Edwsrd Sokoine
Kutekwa ndege yenye abiria ATC ikitokea Mwanza na kupelekwa Uingereza.
Mapinduzi yaliofeli ya kumuua Mwalimu Nyerere kanisani St Peter.
Marekani kupinga uteuzi wa Salim kuwa katibu mkuu wa UNO kwa kura ya veto mara tatu.
Moto ulioteketeza kabisa Benki Kuu ya Tanzania.
 
kilaza ume ukimbia uzi wako njoo ujibu hoja hizi boya ww
 
Niwao waliompiga na ndio maana hawana huruma nae. Hatubadiliki sisi Yani Lissu TU Ndo habari ya mjini, huyo mwingine akapigiwe kura na mandege yake. Hatumtaki.
 
Zamani kulikuwa na kitabu kianitwa Alfu-Lela Ulela na kingine kinaitwa Hekaya Za Abunwasi.
Mkuu nakuomba uvitafute uvisome kwa ajili ya kujiongezea maarifa,
Ni hayo tuu kwa leo.
 
Uwendawazimu huwa unaanza kwa namna hii uliyoanza nayo.

Wewe ni mjinga hasa unayeamini kuwa na wengine ni wajinga kukuzidi wewe. Kitu usichokijua ni kuwa humu kuna wenye uelewa zaidi ya 100 ya uelewa wako. Wapo wanaoyafahamu hayo makamouni unayoyasema kuanzia yalikotoka na kwenye nchi zote yanakofanya kazi.

Ulichokiandika hapa ni upuuzi, takataka na ujinga mtupu. Tundu Lisu hajawahi kukutana na afisa yeyote wa makampuni ya madini. Mara moja alimtumia Deo ujumbe wa kutaka kujua ni kiasi gani cha dhahabu kilikuwemo kwenye makinikia baada ya kuona serikali ilikuwa inadanganya. Na Deo hakumjibu.

Na kama huu ujinga uliouweka hapa ungekuwa na chembe ya ukweli japo 10%, CCM na serikali yake wangeichukua hiyo kama silaha yao ya msaada wakati wakiwa wamebanwa kila sehemu, huku wanachi nao wakitambua waliyokuwa wakiambiwa kuhusu makinikia ulikuwa ni upuuzi mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mimi naamini kabisa hivyo kwamba serikali haikuhusika ila umekuja na hoja dhaifu sanasana kuthibitisha hilo
 
Poor you itakuwa wewe ndiyo uliyempiga.
 

Kwa kuwa wewe hujafa na malaria ndiyo kusema malaria haui?

Kafundishe watoto wa Nursery namna ya kuhesabu maembe!. . Juha kubwa eti kwa nini haikufanya hivi kwa fulani. Pumbavu sana. Huna hata uwezo wa kuelewa wala kuchanganua hoja. Pumbavu mara ya tatu.
 
Hongera kwa kuanzisha uzi kwa mara ya kwanza toka ujiunge mwaka 2017 Juni!
 
Kweli mkuu. Kuna Watu na viatu..Sasa huyu mleta mada ameandika ili tujue mtu nini na kiAtu ni kitu gani. Mtu anaandika hoja za kiviatu badala ya kiutu!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Taratibu mnaanza kutajana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…