Ni nani aliyefanya research iliyoleta maamuzi kuwa mtoto anakuwa mtu mzima akiwa na miaka 18?

Ni nani aliyefanya research iliyoleta maamuzi kuwa mtoto anakuwa mtu mzima akiwa na miaka 18?

Nahisi ni makadirio tu kama ilivyo ada kwamba asilimia kubwa tunaanza kupeleka watoto chekechea kuanzia 5yrs hadi 6yrs then akifika 7yrs anaanza rasmi darasa la kwanza so akifika 13yrs anakuwa amemaliza primary so ukiweka minne ya O-level hapo ndo kunakiwa na kubalehe na nini so, akipita hiyo miaka minne basi hapo inakadiriwa kwamba sio umri wa kuwekewa limit tena hasa kwenye suala la kuanza mahusiano, That's why hata machaguzi ya Combination kwenye masomo n.k hufanyika kwenye hii hatua kwa kuwa ndo wakati ambao mtu anajua maamuzi sahihi ni yapi.
 
Imewekwa hivyo Ili binadamu asiishi kama mnyama, binadamu anatakiwa kuongozwa na Sheria muda wote na Kila jambo analofanya anatakiwa kuongozwa na Sheria Ili asiishi kama mnyama, Sasa hili la mtu mzima kuhesabiwa kuanzia miaka 18 ni baada ya jamii iliyositaarabika kusoma uwezo wa kiumbe binadamu kuanza kujitambua kusimamia akili yake bila kutegemea akili ya mzazi au mlezi yaani level ya kufanya maamuzi yasiyomuumiza yeye au wengine na pia uwezo wake wa kujitegemea kupata mahitaji yake Sasa kwa wakati huo Sheria iliona miaka 18 inafaa ila Sasa Mimi nasema miaka iongezwe iwe 21 maana kwa muda huu miaka 21 ndo inaonekana mtoto kufaa kujitegemea na wazazi kuweza kujiondoa kumuhudumia, kuhusu hilo la nature kubadilika kwenye maumbile viumbe hai vyote vina ngazi za ukuaji na vyote vinamuda wake wa kuruhusu matumizi yake japo vingine tunalazimisha kuvitumia bado vibichi kwa vile havina pa kujitetea ndo binadamu kwa vile wao ndo watawala wakaona Ili wasitumike vibaya kama viumbe wengine waweke Sheria ya kulinda utoto wa vizazi vyao ndomaana mtu mzima atambulike kuanzia hiyo miaka 18 japo mimi napendekeza tusogeze 21, Sasa kwa wale wanaopenda kutumia vitu vibichi hadi kwa binadamu Sheria imewabana wajituni kutumia vitu vilivyokomaa.
 
Ni dhana ya yupunguza kuzaliana..mana nyie viumbe mkipewa go on mzazaliana kama panya na dunia haitanuki.

Pia umri huo angalau mtu amepata elimu stahiki..ulitaka mtu awe darasani akitoka aende kuhudumia mume au mke ama watoto.

Kama unaona 15 ni sahihi kwako anza na familia yako hakuna aliyekukataza..ila serikali itakutia ndani kwa kuharibu utaratibu...fuata utaratibu hutaki hama nchi.

#MaendeleoHayanaChama
Tufyatuane tu mpaka tujae pomoni.
 
Hili swali najiuliza sana...?

Ni nani anayemjua mwanadamu kiasi kwamba akatuamulia dunia nzima tukasema.... Mtu ataendelea kuwa ni mtoto mpaka afikishe umri wa miaka 18.

Kiasi kwamba ile sheria ya ndoa inaruhusu mtu mwenye umri wa miaka 15 na kuendelea anaweza kufunga ndoa...hawa wanaharakati wanaipigia kelele.

Kwa mujibu wa sheria ya ndoa na mahusiano rasmi ya UINGEREZA NA WALES inasema... HAIFAI NDOA WALA MAHUSIANO RASMI KWA KIJANA MWENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18.

Yaani na hawa wanaharakati wanapigia kampeni sheria hizi za kipuuzi ziingie na Tanzania... YAANI MAHUSIANO YASIYO RASMI MAARUFU KAMA UBOYFRIEND NA UGIRLFRIEND PAMOJA NA ZINAA RUHSA... MPAKA NA KONDOM WANAPELEKEWA SHULENI... ILA WAKIOLEWA NI KOSA...

NI NANI ANAONGOZA HAYA...?

NI NANI ALIYEFANYA RESEARCH KUWA MWANAFUNZI ANAPIMWA COMPETENCE KWA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA... YAANI MWAKA MMOJA DARASA MOJA...?

NANI AMETUPELEKEA KUPOTEZA UMRI WETU NAMNA HII... KIASI KWAMBA MTU MIAKA MPAKA 20 ANAITUMIA AKIWA SHULENI?
Sheria zetu nyingi tuna pest ulaya. Ulaya wakisema kujamba ni tusi na sisi tutasema hivyo.
Ulaya sheria zao zinakatza mtu mwenye 18 yrs and above kuishi na wazazi wake kwakuwa inasemwa ni mtu mzima!
 
Back
Top Bottom