AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
- Thread starter
- #21
Hizi mimba wanazopata wakiwa shuleni wanazipataje?Watasoma wakiwa kwenye ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi mimba wanazopata wakiwa shuleni wanazipataje?Watasoma wakiwa kwenye ndoa
Tufyatuane tu mpaka tujae pomoni.Ni dhana ya yupunguza kuzaliana..mana nyie viumbe mkipewa go on mzazaliana kama panya na dunia haitanuki.
Pia umri huo angalau mtu amepata elimu stahiki..ulitaka mtu awe darasani akitoka aende kuhudumia mume au mke ama watoto.
Kama unaona 15 ni sahihi kwako anza na familia yako hakuna aliyekukataza..ila serikali itakutia ndani kwa kuharibu utaratibu...fuata utaratibu hutaki hama nchi.
#MaendeleoHayanaChama
Kwa kujihusisha na mapenzi kwa sababu tayari washapevukaHizi mimba wanazopata wakiwa shuleni wanazipataje?
Sheria zetu nyingi tuna pest ulaya. Ulaya wakisema kujamba ni tusi na sisi tutasema hivyo.Hili swali najiuliza sana...?
Ni nani anayemjua mwanadamu kiasi kwamba akatuamulia dunia nzima tukasema.... Mtu ataendelea kuwa ni mtoto mpaka afikishe umri wa miaka 18.
Kiasi kwamba ile sheria ya ndoa inaruhusu mtu mwenye umri wa miaka 15 na kuendelea anaweza kufunga ndoa...hawa wanaharakati wanaipigia kelele.
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa na mahusiano rasmi ya UINGEREZA NA WALES inasema... HAIFAI NDOA WALA MAHUSIANO RASMI KWA KIJANA MWENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18.
Yaani na hawa wanaharakati wanapigia kampeni sheria hizi za kipuuzi ziingie na Tanzania... YAANI MAHUSIANO YASIYO RASMI MAARUFU KAMA UBOYFRIEND NA UGIRLFRIEND PAMOJA NA ZINAA RUHSA... MPAKA NA KONDOM WANAPELEKEWA SHULENI... ILA WAKIOLEWA NI KOSA...
NI NANI ANAONGOZA HAYA...?
NI NANI ALIYEFANYA RESEARCH KUWA MWANAFUNZI ANAPIMWA COMPETENCE KWA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA... YAANI MWAKA MMOJA DARASA MOJA...?
NANI AMETUPELEKEA KUPOTEZA UMRI WETU NAMNA HII... KIASI KWAMBA MTU MIAKA MPAKA 20 ANAITUMIA AKIWA SHULENI?
Sawasawa abuumaryamMtu mzima aanze pale ambapo anaanza kuota ndoto nyevu na kutamani mwanamke... Namaanisha ANAPOBALEHE...