Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Wale wajumbe waliopiga kura walizingua tu. Hawakutakiwa kufanya yale yaliyofanyika. Ndio maana ilifia pale. Ili iwe katiba, ilitakiwa ije kwenye referendum. Wananchi ndio wangeamua. Walioandaa katiba wakawa wajuaji. Wakakutana na wajuaji wengine halafu kura za wananchi hazikupigwaKumbe haukuangalia bunge la katiba..?ilipigiwa kura na wajumbe na ilifail kupita ndo kukawepo rasimu ya katiba ya chenge,,
Ulikua bado hujazaliwa labda...