For sure CCM inachungulia kaburi lakini kila mchungulia kaburi haachi kupiga piga miguu, kik yao ya mwisho na wanayofikiri itawasaidia ni kupandikiza udini ili angalau wapate watu wa kwenda nao wasianguke wenyewe, i mean wakianguka wapate sababu kwa jamii kuwa tumeanguka kwa sababu ya udini.
Ndiyo maana Kikwete baada ya kuona umaarufu wake umeshuka kitu ambacho kiko wazi akaona salama yake ni kusingizia kuwa kashindwa kwa sababau ya dini yake. Sasa anajitahidi kufanya kila tukio lionekane linasababishwa na tofauti ya dini za watu, nenda vyuoni, kwenye siasa, kwenye vyeo kila sehemu siku hizi lazima ihusishwe dini tofauti na zamani kitu ambacho ni hatari sana.
Watu wenye mawazo mafupi kama nyie ndio mnaouziwa udini na kuusambaza bila kujijua kuna avatar za watu wanatoboana utumbo hizo utasema zinahamasisha mauaji, short sited.Lakini nafikiri kuna ukweli , kwani hata hiyo picha yako ni ya kuchochea udini, sasa unafikiri nani utakae nae chini na kukusililiza wa dini nyingine?!
"Actions speak louder than words."
Kuna ndugu yangu yupo Nzega kanitumia ujumbe kwenye sms unasema hivi;
Laa mzee M.MUNGU HAMFICHI Mnafiki. Maaskofu hatimaye wajihirisha kuwa chadema ni chama chao walipopinga matokeo ya umeya Arusha. Katibu wa CCM mkoa wa Arusha aliwapaka kishenzi , kuwa wakasajili chama chao ili waje kugombeya wasijifanye wanasiasa uchwara, wala hatashiki na matamshi yao. Chadema wamekuwa wajinga, unashindaje ukiwa unazidiwa wajumbe? Mbona hawadai uspika kuwa haukuwa wa haki!. Vipi kuna mapya kwenye internet?.
Hii ndiyo DHANA ya UDINI ilivyo na pia inaonyeha Udini uko wapi. Mwanzoni sikuielewa thread hii lakini ndugu yangu huyu kanisaidia kuielewa.
Naomba mwanzilishi anikosoe! Nimefikisha.
mzee nilidhani umesema "dhana ya udini" ndiyo ipo; lakini pia unasema "udini ukoje na uko wapi"?
Akili za kushikiwa..You don't need to go very far. Rais wao Ni MUISLAM. Makamu wake ni Muislam, Jaji mkuu ni Muislam, Jamaa wa Uslama wa taifa ni muislam. Zanzibari yooooooooote ni Waislam.
kile ni Chama Cha Muham-mad
You don't need to go very far. Rais wao Ni MUISLAM. Makamu wake ni Muislam, Jaji mkuu ni Muislam, Jamaa wa Uslama wa taifa ni muislam. Zanzibari yooooooooote ni Waislam.
kile ni Chama Cha Muham-mad
You don't need to go very far. Rais wao Ni MUISLAM. Makamu wake ni Muislam, Jaji mkuu ni Muislam, Jamaa wa Uslama wa taifa ni muislam. Zanzibari yooooooooote ni Waislam.
kile ni Chama Cha Muham-mad
Ulikuwa unategemea nini kutoka kwa padiri aliefukuzwa kanisani kwa zinaa?
Inabidi ajipendekeze kanisani kuonekana kuwa anajali kanisa, na huku ana mke wa mtu! Na dini na wadhifa wake hauruhusu hilo. ukishangaa ya Musa utayaona ya Slaa!