Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
duu! kazi kweli kweli, waache wadanganyane tu umaskini pale pale!!
 
TCRA mko wapiii?????????? Hii nchi kweli inanifanya nitie shaka kuwa huko tunakoelekea tutakuwa na matatizo kama haya hayawezi kukememwa
 
wamekaa kutoa tamko kwa magazeti ya mwananchi na mwanahalisi,tunataka leo jioni serikali itoe tamko mara moja juu ya hili,
halivumiliki,hawavumiliki,
ebu tusaidiane,nani haswa mmiliki wa hiyo radio?
nini uhusiano wake na kikwete au lipumba?
ilianzishwa lini na kwa malengo gani?
 
Mkuu nimesikia hii ni 104.15 Radio Heri.

Na baada ya kusema waislam wachague waislamu, ili wasiadhilike mshindi wa kwanza awe muislam na wa pili vile vile awe muislam, na baada ya hapo wakapiga adhana kuweka msisitizo.

Uzuri na ubaya wa hii kitu ni kuwa waislam watapunguza kura za CCM na kuipa CUF inshort watagawana kura, hii ni mbaya sana kwa JK.
 
ELIMU pia inachangia, jiulize why wako wengi temeke wakati kinondoni misikiti ni ya kubahatisha ila temeke hadi wengine wanamiliki ya kwao mitaani..
 
Hivi hii ndo ile radio ya yule jamaa wa Morogoro? Yule aliyezaa na mtoto wa JK? Yule ambaye baba yake ni Major General Mstaafu?
 
Someni mwananchi ya leo, mikoa ya kiislam wapinzani wakubwa wa ubunge ni kutoka cuf!!!!!!
 
kweli hawa watu wanamacho lakini wanajidai ni vipofu,wanamasikio wanajidai ni vipofu..
waache waendelee na shida zao...:embarrassed1:

waache waendeleze ujinga wao wabaki kuwa masikini,
wanajifanya wanaishi nje ya tz?hawayaoni haya maisha yaliyovyo tokana na utawala mbovu wa kikwete?
na hapo ni miaka mitano tu,je,akipata mingine mitano?
 
Jamani naomba tuwe na uvumilivu ktk kukemea udini.
Mi naamini siio waislamu wote wanaosuport msimamo wa hiyo redio
Na wala sio waislamu wote ambao watapiga kura kwa kuzingatia udini.
Hivyo tunavyo'coment tuwe makini ktk hili na sio kwa sababu hiyo redio inahamasisha hivyo basi ndo waislamu wote waonekane wadini.
Hapana jamani.
Ipo idadi kubwa sana ya waislamu wanaomuunga mkono Dr. Slaa ingawa ni mkristo.
Na wapo wengine ambao hawamkubali kabisa JK.
 
Wamewamwagia sana sifa Mwinyi na Kikwete kwa uongozi uliotukuka!! Hapa pana kazi kubwa sana, hawa jamaa tuwape miwani ya kutizama mambo vzuri?!!
 
Jamani naomba tuwe na uvumilivu ktk kukemea udini.
Mi naamini siio waislamu wote wanaosuport msimamo wa hiyo redio
Na wala sio waislamu wote ambao watapiga kura kwa kuzingatia udini.
Hivyo tunavyo'coment tuwe makini ktk hili na sio kwa sababu hiyo redio inahamasisha hivyo basi ndo waislamu wote waonekane wadini.
Hapana jamani.
Ipo idadi kubwa sana ya waislamu wanaomuunga mkono Dr. Slaa ingawa ni mkristo.
Na wapo wengine ambao hawamkubali kabisa JK.

Nimekusoma mkuu, point noted
 
Lakini jibu hoja pia, waislamu walioshika dini ndo wachochezi, nchi iendelee kukaa kimya? tufanye nini?
 
Hatua lazima zichukuliwe just like ile radio ya Mwanza siikumbuki inaitwaje. This is not acceptable at all
 
Lakini jibu hoja pia, waislamu walioshika dini ndo wachochezi, nchi iendelee kukaa kimya? tufanye nini?

Mkuu, waislamu walioshika dini haswa hawawezi kuwa hao walioanzisha hiyo Radio kheri.
Hiyo radio naijua sana na ina mapungufu mengi tu na mengine yapo kinyume na misdingi ya uislamu.
Kumbuka adui mkubwa wa Waisdlamu sio Wakriso bali adui wa mwislamu ni Mshirikina(imeandikwa ktk Quran).
Shekh Yahya amethibitisha kuwa JK ni mshirikina kwani yeye Yahya humpatia ulinzi wa kichawi.
Kwa mwisdlamu aliyeshika dini haswa kati ya JK na dr.slaa(ambeye ni mkriso)
Adui yake angekuwa ni JK ambaye ni mwisdlamu lakini ni mshirikina.
 
Kila mtu anapigania maslahi yake. Kama waislamu wanaona JK na LIPUMBA ndo suluhisho, ubaya upo wapi?? Mbona Kakobe alisema(CONNOTATEVELY) tumchague SLAA? Yote aliyoyasema Kakobe ktk ushahidi wa kimazingira ni kwamba alikuwa anampigia debe Slaa. Na kwa taarifa yenu, hapa nchini waislami ni 35%, Wakristo ni 35% na dini nyingine ni 5% na wapagani ni 20%. Anaesema waislamu ni wachache hapa nchini, alete data. Rejea kitabu cha FACT FINDER au tembelea ofisi za TAKWIMU utayajua haya. PAMOJA NA YOTE HAYO, SLAA KAMKALIA KIKWETE KOONI.
 
natumia cmu, nimeshindwa kukugongea "thanks". Basi hiyo radio ni balaa hata mafundisho yao hawayaelewi vzuri!!!!!!!
 
Kila mtu anapigania maslahi yake. Kama waislamu wanaona JK na LIPUMBA ndo suluhisho, ubaya upo wapi?? Mbona Kakobe alisema(CONNOTATEVELY) tumchague SLAA? Yote aliyoyasema Kakobe ktk ushahidi wa kimazingira ni kwamba alikuwa anampigia debe Slaa. Na kwa taarifa yenu, hapa nchini waislami ni 35%, Wakristo ni 35% na dini nyingine ni 5% na wapagani ni 20%. Anaesema waislamu ni wachache hapa nchini, alete data. Rejea kitabu cha FACT FINDER au tembelea ofisi za TAKWIMU utayajua haya. PAMOJA NA YOTE HAYO, SLAA KAMKALIA KIKWETE KOONI.

basi kama ndo hivyo tuanze na kakobe awe mfano. lakini kakobe alitoa ushauri tu kwa wale ambao wangekwazwa na ndoa ya slaa ila hawa wanasema usipochagua muislamu unakua 'mwovu'
 
sasa tunelekea kubaya sana mods mada kama hizi zidhibitiwe mapema la patakua hapatoshi

maana kuanza kusema waislam ndio maskini na watabakia na umaskini wao sasa mnaanza kwenda mbali maana nnavyojua matajiri wa nchi hii wengi ni waislam anza kuangalia wenye viwanda kati wazawa ni wepi wengi
wenye biashara, magari ya mizigo, mabasi ya mikoani, hata madala dala na maduka utajua kua waislam ndio wengi

ila hakuna haja kujadili hayo hapa na wakati huu kwa hio mods jitahidini kuteelekeza tuzungumzie siasa na sio kuchanganya mambo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom