Paddy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2010
- 473
- 341
Sina neno namwachia Mungu wangu uamuzi wa mwisho!
kazi hapa ipo, mwombe Mungu hawa watu wasiwe wengi bongo, misimamo yao ni hatari haibadiliki hata cku moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina neno namwachia Mungu wangu uamuzi wa mwisho!
waache waendeleze ujinga wao wabaki kuwa masikini,
wanajifanya wanaishi nje ya tz?hawayaoni haya maisha yaliyovyo tokana na utawala mbovu wa kikwete?
na hapo ni miaka mitano tu,je,akipata mingine mitano?
Jamani naomba tuwe na uvumilivu ktk kukemea udini.
Mi naamini siio waislamu wote wanaosuport msimamo wa hiyo redio
Na wala sio waislamu wote ambao watapiga kura kwa kuzingatia udini.
Hivyo tunavyo'coment tuwe makini ktk hili na sio kwa sababu hiyo redio inahamasisha hivyo basi ndo waislamu wote waonekane wadini.
Hapana jamani.
Ipo idadi kubwa sana ya waislamu wanaomuunga mkono Dr. Slaa ingawa ni mkristo.
Na wapo wengine ambao hawamkubali kabisa JK.

Lakini jibu hoja pia, waislamu walioshika dini ndo wachochezi, nchi iendelee kukaa kimya? tufanye nini?
Mkuu, waislamu walioshika dini haswa hawawezi kuwa hao walioanzisha hiyo Radio kheri.
Hiyo radio naijua sana na ina mapungufu mengi tu na mengine yapo kinyume na misdingi ya uislamu.
Kumbuka adui mkubwa wa Waisdlamu sio Wakriso bali adui wa mwislamu ni Mshirikina(imeandikwa ktk Quran).
Shekh Yahya amethibitisha kuwa JK ni mshirikina kwani yeye Yahya humpatia ulinzi wa kichawi.
Kwa mwisdlamu aliyeshika dini haswa kati ya JK na dr.slaa(ambeye ni mkriso)
Adui yake angekuwa ni JK ambaye ni mwisdlamu lakini ni mshirikina.
Kila mtu anapigania maslahi yake. Kama waislamu wanaona JK na LIPUMBA ndo suluhisho, ubaya upo wapi?? Mbona Kakobe alisema(CONNOTATEVELY) tumchague SLAA? Yote aliyoyasema Kakobe ktk ushahidi wa kimazingira ni kwamba alikuwa anampigia debe Slaa. Na kwa taarifa yenu, hapa nchini waislami ni 35%, Wakristo ni 35% na dini nyingine ni 5% na wapagani ni 20%. Anaesema waislamu ni wachache hapa nchini, alete data. Rejea kitabu cha FACT FINDER au tembelea ofisi za TAKWIMU utayajua haya. PAMOJA NA YOTE HAYO, SLAA KAMKALIA KIKWETE KOONI.