Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Hongera mh Pengo. lkn mbona huwa mankemea pale rais anapokuwa muislam tu. na huwa kimya mkiona rais ni mkiritso. zinduka
Si ndio maovu yanakuwa yamekithiri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mh Pengo. lkn mbona huwa mankemea pale rais anapokuwa muislam tu. na huwa kimya mkiona rais ni mkiritso. zinduka
sasa wewe hutaki maovu yakemewe au nini shida yako, au wewe unanufaika na maovu hayo?
Or in ArabicHahahahah can you rephrase the same in English?
Hiyo midini yenu mngekuwa mnaifuata walau kwa asilimia 20, we wouldn't need to have this conversation.
BTW, viongozi wa dini nao ni sehemu ya tabaka tawala hivyo wote ni walewale tuu..same shyt different toilets.
Si ndio mi nawashangaa.Umewastukia !!!. Wengi hapa dini zimeanza kuwa ethnic identity lakini sio moral values.
Pengo,
Kemea udini unao fanywa na kondoo wako pale Tanzania Investment Bank. Kondoo wameitawala Bank na kueneza sera zao za kidini na kuwakandamiza baadhi ya waajiriwa wa dini nyingine
Anghalia Walokole walivyojipanga hapa Tanzania Investment Bank:
MANAGEMENT TEAM
Mr. Peter Noni Managing Director
Mr. Thomas M. F. Samkyi
Head of Business Development & Appraisal
+255 22 2411111
Mr. Bernard P. Mono
Head of Treasury & Funding
+255 22 2411112
Mr. Bahati J. Sanga
Head of Information & Communication Technology
+255 22 2411099
Mr. Leonard O. Mlewa
Head of Portfolio Management
+255 22 2411110
Mrs. Stella M. Nghambi
Head of Human Resources & Administration
+255 22 2411096
Ms. Martha J.J. Maeda
Legal Counsel & Secretary to the Bank
+255 22 2411117
Mr. Isaack E. Kiputa
Chief Internal Auditor
+255 22 2411116
Najua MOD utaifuta hii topic kwa sababu na wewe ni jamii ya kondoo waliopote.
Si ndio mi nawashangaa.
Midini imekuwa ndio topic kuu humu JF siku hizi, spirit mpya, ndio maana wengine taratiib tunaanza kuingia kwa 'kugusa'. Mijadala ya kujadili ishuz za maana kama kipindi kile cha Jamboforums haipo tena. Midini yenyewe asavali ingekuwa inawasaidia basi, yaani unakuta dini inalifanya jitu ndio linazidi kuwa lijinga kabsaa hakuna mfanoe.
Mi nawashangaa kama wanazipenda sana dini zao kwa nini bado wapo Tz? Katiba ya Tz inasema wazi Tz haifagilii dini yeyote..Kuna nchi za kidini huko kama wanataka kuwa karibu na mbingu..kama bado wanataka kuepo Tz yenye akina sisi chapombe ina maana hawaamini existence ya hiyo mbingu in the first place, unless otherwise mi nawaona wasanii tu , kama ulivyosema, wanastahili server ban maana wanatupotezea wakati.Ningekuwa mods, topics zote zenye udini hata kama ni positive ningezifutilia mbali. Sijaona watu wanaleta moral values za kabila zao hapa. Wanaogopa kuonekana primitives. Kumbe hata dini ni Moral values za makabila fulani.
Nadhani viongozi wa dini yeyote kukemea uovu si udini. Tatizo linakuja pale hawa viongozi wanapokuwa na double-standards. Kwa mfano kiongozi wa kiislamu hayupo tayari kukemea uovu wa mwislamu mwenzeke aliyepo serikalini na vilevile viongozi wa makanisa hawako tayari kukemea uovu iwapo aliyepo serikalini ni mkristo mwenzao. Ushahidi ni pale Mheshimiwa Mkapa alipokuwa madarakani ndipo ufisadi mkubwa ulipoanzia, rejea kesi za akina Mramba, Mgonja, Liyumba hata hizo kampuni za kifisadi zilianzishwa wakati wake, ulimsikia PENGO akikemea? Jibu ni hapana. Sasa anapata ujasiri kwa sababu aliyepo madarakani si wa dini yake. Ndipo mawazo ya kuwa kuna UDINI yanapoanzia. Tuwe wakweli.
hakuna udini, kuna ukiristo dhidi ya uislam?