Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,090
- 13,527
Na yote hayo yakifanyika, mwanasheria mkuu akiwa warioba ambaye naye leo analialia utafikiri wakati wanaipitisha ile katiba alikuwa amebwia konyagiKatiba iliandikwa na makada 12 wa CCM wakiongozwa na Pius Msekwa walijifungia kwa siku chache ndio wakaja na huu upuuzi.
Nyerere alikua kwenye hili swala?Katiba iliandikwa na makada 12 wa CCM wakiongozwa na Pius Msekwa walijifungia kwa siku chache ndio wakaja na huu upuuzi.
Huyu huyu warioba ambaye leo nae ni mwana harakati?Na yote hayo yakifanyika, mwanasheria mkuu akiwa warioba ambaye naye leo analialia utafikiri wakati wanaipitisha ile katiba alikuwa amebwia konyagi
Na baba yake Kombo pia alikuwepo!Katiba iliandikwa na makada 12 wa CCM wakiongozwa na Pius Msekwa walijifungia kwa siku chache ndio wakaja na huu upuuzi.
Shida ni watanzania, si ccm. 2015 mliletewa lowasa mkamzungushia mikono kama vichaa. Hakuna mwenye akili timamu aliyeamini lowasa anaweza kuleta mabadiliko chanya. Sanasana yangekuwa mabadiliko hasi, from worse to worst.CCM ndio shida. Na watanzania wamekubali ujinga wa CCM na kufurahia.
Ccm wanajisifia wao ndio wamefanya leo tuko hapa!CCM ndio shida. Na watanzania wamekubali ujinga wa CCM na kufurahia.
Mimi naongolea kinga ya raisi, we unaona ni sawa raisi akifanya madudu asiguswe?Kwa kipindi cha chini ya miaka 2000 katiba iliwafaa sana ila kuanzia 2001 kuja uku mbele haifai
Awamu ya Magu ya pili baada ya kufanikiwa kukwapua uchaguzi na kipitisha sheria zinazolitesa taifa hikiWaafrika ni nani aliyetuloga?
Hii katiba ilipitishwa na nani?
Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli?
Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini?
Nikitafakari naona aibu.
Sasa lowasa anahusiana vipi na raisi kuwekewa kinga, akifanya madudu asiguswe?Shida ni watanzania, si ccm. 2015 mliletewa lowasa mkamzungushia mikono kama vichaa. Hakuna mwenye akili timamu aliyeamini lowasa anaweza kuleta mabadiliko chanya. Sanasana yangekuwa mabadiliko hasi, from worse to worst.
Kinga ya Rais ilikuwepo hata kabla ya Magu, hawa watawala wanajiamini hata wakifanya madudu hakuna sheria inawagusaAwamu ya Magu ya pili baada ya kufanikiwa kukwapua uchaguzi na kipitisha sheria zinazolitesa taifa hiki
Unajua Katiba mpya inaweza kusema Raisi alie madarakani au ambae alikuwa madarakani tangu tupate uhuru anaweza kushitakiwa ikiwa jopo la majaji 5 wa Mahakama ya Katiba wataona kuna ulazima wakufanya hivyo?Waafrika ni nani aliyetuloga?
Hii katiba ilipitishwa na nani?
Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli?
Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini?
Nikitafakari naona aibu.
Yes, katiba hii ilitungwa kumfurahisha yeye na sio nchi. Na hiki kifungu cha kutoshitakiwa kwa rais ndio kiini hasa cha mifumo kukosa nguvu, na amri toka juu kuwa na nguvu kuliko sheria na katiba.Nyerere alikua kwenye hili swala?
Hakuwa Damian Lubuva?Na yote hayo yakifanyika, mwanasheria mkuu akiwa warioba ambaye naye leo analialia utafikiri wakati wanaipitisha ile katiba alikuwa amebwia konyagi
Haikuwepo,ikiwa nasahau,waliongezwa,speaker,jaji mkuuKinga ya Rais ilikuwepo hata kabla ya Magu, hawa watawala wanajiamini hata wakifanya madudu hakuna sheria inawagusa
Soma tena nilichoandika kwa utulivu, unaweza kuona uhusiano na lowasa.Sasa lowasa anahusiana vipi na raisi kuwekewa kinga, akifanya madudu asiguswe?