Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,963
- 5,757
Kaongeza nini kwenye katiba?Je aliyeongeza viumbe wengine ni nani?
Hebu usiwe unachangia mada ukiwa umelewa
Kaongeza nini kwenye katiba?Je aliyeongeza viumbe wengine ni nani?
Kinga ya Rais aliyewahi kuipitisha kwenye katiba ni Mwalimu Nuerere na na alihusika mchakati ni huyu Mzee Warioba kipindi cha awamu ya kwanza. Huyo Magufuli hajawa hata mbunge 1995 hiyo sheria ipo tena kipindi kile kukiwa na madaraka makubwa sana ya Rais.Ilipitiwa upya enzi za Magufuli bunge likamuongeza na Spika Ndugai!
Si alikua, hata sasa agusiki, madudu hayataishaHii katiba ni matunda ya siasa ya ujamaa ya nyerere, nchi zote za kijamaa Rais alikuwa hagusiki
JPM na ubaya wake wote, lakini angekuwepo angethibitisha ambacho nchi nyingi zimeshindwa kukifanya bila mzungu. Mwafrika anaonekana kama race takataka, mwizi, violence, ujanja ujanja, corrupted.Kinga ya Rais aliyewahi kuipitisha kwenye katiba ni Mwalimu Nuerere na na alihusika mchakati ni huyu Mzee Warioba kipindi cha awamu ya kwanza. Huyo Magufuli hajawa hata mbunge 1995 hiyo sheria ipo tena kipindi kile kukiwa na madaraka makubwa sana ya Rais.
Mpaka Mzee ruksa alipowateua Jaji Nyalali na wenzake kujadili maboresho ya katiba, ndiyo madaraka ya Rais yajapunguzwa na kuwa haya haya ambayo mnayoyaona makubwa. Pia vyama vingi vikapitishwa kikatiba
Hebu mwacheni Magufuli apumzike acheni kuzulia marehemu ukijua hawezi jibu
Hii ni moja kati ya post, white race wanazungumza nini kutuhusu, soma na tafakari
View: https://www.instagram.com/p/DbV9zzkAF8L/?igsh=MXY5ZG16bnE0ZTZ3NQ==
Ndiyo ukweli wa mamboDuh!...tunatengeneza katiba Ili tunyooshane...?
Kumbuka wakati huo Jaji Warioba alikua ajazaliwa. Pia Rais ashitakiwi ila Urais unashitakiwaWaafrika ni nani aliyetuloga?
Hii katiba ilipitishwa na nani?
Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli?
Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini?
Nikitafakari naona aibu.
Chombo kinachoweza kuamua kama alikuwa anatimiza/tekeleza wajibu wake au la ni mahakama.Hata aliyestaafu kama mambo aliyokuwa anayafanya yalikuwa katika kutimiza wajibu wake huwezi mgusa.
Wanaopeleka mahakamani ndio wanaamua.Chombo kinachoweza kuamua kama alikuwa anatimiza/tekeleza wajibu wake au la ni mahakama.
Kambarage alisema kwa katiba anayoitengeneza siku akitokea Rais mlevi mlevi hivi Tanzania itaharibikaWaafrika ni nani aliyetuloga?
Hii katiba ilipitishwa na nani?
Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli?
Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini?
Nikitafakari naona aibu.
Na hakuona haja ya kurekebisha dosari hiyo.Kambarage alisema kwa katiba anayoitengeneza siku akitokea Rais mlevi mlevi hivi Tanzania itaharibika