Ni nani aliyepitisha Katiba ya Rais kuwekewa kinga?

Ni nani aliyepitisha Katiba ya Rais kuwekewa kinga?

Nafurahi kupata mtu anayenielewa katika kambo hili. Jinsi ya kufanya ni kwanza kuruhisu kuwepo ma mgombea huru. Baada ya hapo kuweka kifungu katika sheria kuwa mtu yeyote atakayeandaa na kupitisha katiba asiruhusiwe lugombea au kuajiriwa serikalini kwa muda wa miaka 20. Tatu hiyo uliyosema kuwa Samia katiba imlinde. İli baadaye kwa vile kuna mgombea huru akaangwe
Mambo maraisi kabisa na yenye tija haya na wala hayataki matumizi makubwa ya ubongo..
Ila hayawezekani kwenye mataifa ya watu weusi.
Aibu
 
Waafrika ni nani aliyetuloga?
Hii katiba ilipitishwa na nani?
Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli?
Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini?
Nikitafakari naona aibu.
Kamulize spika Ndungai aliyejiwekea na yeye ila akasahau kukazia utekelezaji wake, Jibril akawapitia chap!
 
Nafurahi kupata mtu anayenielewa katika kambo hili. Jinsi ya kufanya ni kwanza kuruhisu kuwepo ma mgombea huru. Baada ya hapo kuweka kifungu katika sheria kuwa mtu yeyote atakayeandaa na kupitisha katiba asiruhusiwe lugombea au kuajiriwa serikalini kwa muda wa miaka 20. Tatu hiyo uliyosema kuwa Samia katiba imlinde. İli baadaye kwa vile kuna mgombea huru akaangwe
Duh!...tunatengeneza katiba Ili tunyooshane...?
 
Magufuli akaongeza kinga kwa Spika, Jaji Mkuu mpk kwa DPP
Kwanini wanajiwekea hizi kinga kama wanajiona ni viongozi wazuri? Au ndo wanajua lazima wafanye mabaya? Sababu huwezi kujiwekea kinga kama unajua utatenda haki kwenye utawala wako. Haya wanayoyafanya wanayafanya kwa makusudi kabisa na siyo bahati mbaya. Dah!
 
Jaji Joseph Sinde Warioba alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali kuanzia mwaka 1976 hadi 1985 chini ya uongozi wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hivyo, katiba ya 1977 inamuhusu.
Huzuni kwa kweli
 
Hii katiba ni matunda ya siasa ya ujamaa ya nyerere, nchi zote za kijamaa Rais alikuwa hagusiki
 
Back
Top Bottom