Sheria huwa hazifanyi kazi kuangalia nyuma. Zinaanzia sasa kwenda mbele. Hivyo Kikwete na Samia watakuwa salama, kitisho kwao ni familia zao. Lakini tatizo kubwa ni tabia yetu ya kulipa visasi, hofu yao ni wakiingia wengine wanaweza wasijali katiba inasema nini, wakawafanyizia.Unajua Katiba mpya inaweza kusema Raisi alie madarakani au ambae alikuwa madarakani tangu tupate uhuru anaweza kushitakiwa ikiwa jopo la majaji 5 wa Mahakama ya Katiba wataona kuna ulazima wakufanya hivyo?
Kwa sababu itakuwa ni Katiba mpya, itakuwa imebatilisha sheria za katiba ya zamani, kwa hiyo ikiwa kutakuwa na ulazima wakuwafungulia mashitaka Kikwete au Samia kwa mujibu wa Katiba mpya, itawezekana
Nyerere ni moja kati ya marais wabovu kuwahi kutokea, na kama unataka kunipinga pinga kwa hoja, usilete mihemko.Yes, katiba hii ilitungwa kumfurahisha yeye na sio nchi. Na hiki kifungu cha kutoshitakiwa kwa rais ndio kiini hasa cha mifumo kukosa nguvu, na amri toka juu kuwa na nguvu kuliko sheria na katiba.
Ilikuwepo, lakini wakati wa Magufuli ndio wengine kama spika nk wakawekewa kinga pia, kwani alikuwa anawatumia kuumiza watu. Hivyo wakajiwekea kinga ya kutoshitakiwa huko mbeleni.Haikuwepo,ikiwa nasahau,waliongezwa,speaker,jaji mkuu
wao wametufikisha hapa, wanaacha legacy mbovu kabisaaSheria huwa hazifanyi kazi kuangalia nyuma. Zinaanzia sasa kwenda mbele. Hivyo Kikwete na Samia watakuwa salama, kitisho kwao ni familia zao. Lakini tatizo kubwa ni tabia yetu ya kulipa visasi, hofu yao ni wakiingia wengine wanaweza wasijali katiba inasema nini, wakawafanyizia.
Sina hakika kama hili Jibu lilikuwa langu. Sina popote ninapoona Nyerere alikuwa rais mzuri, maana hata katiba hii ya rais Mungu mtu ilitungwa kwa utashi wake.Nyerere ni moja kati ya marais wabovu kuwahi kutokea, na kama unataka kunipinga pinga kwa hoja, usilete mihemko.
Baada ya ujerumani kushindwa vita alinyanganywa makoloni yake yote, ndio tulibaki chini ya ukoloni wa mwingereza, ambapo, mwingere alikua anasubiri tuweze kujitawala, so hata mzee wako angekuwa na akili kidogo tu, angeenda kudai uhuru na angepewa
Amani bila haki?Inachekesha na kusikitisha sana kwa sababu hivi vifungu huwa vinapitishwa kwa kisingizio cha kudumisha amani na utulivu wa nchi.
Hizo nguvu za Marais wetu, ndio zimekuwa chanzo cha tawala zisizofuata sheria.Waafrika tusilogwe kupunguza nguvu za marais wetu!
CHA MSINGI NI KUCHAGUA NA KUTEUA KWA BUSARA!
Halikua lako mkuu ila nimeandika kwa faida ya wengine, nisamehe kama limekukalia vibaya.Sina hakika kama hili Jibu lilikuwa langu. Sina popote ninapoona Nyerere alikuwa rais mzuri, maana hata katiba hii ya rais Mungu mtu ilitungwa kwa utashi wake.
Sheria zote zinabebwa na Katiba. Kama Katiba inatoa mwanya kwa makosa ya raisi ya nyuma, why not? Hata kama sisi Tanzania tutakuwa wa kwamza kuwa na kipengele hicho chenye "good intention" kuwawajibisha maraisi, basi ni sawa. Acha wengine watuige.Sheria huwa hazifanyi kazi kuangalia nyuma. Zinaanzia sasa kwenda mbele. Hivyo Kikwete na Samia watakuwa salama, kitisho kwao ni familia zao. Lakini tatizo kubwa ni tabia yetu ya kulipa visasi, hofu yao ni wakiingia wengine wanaweza wasijali katiba inasema nini, wakawafanyizia.
Huyo Warioba wanasema ni moja kati ya watu waliopitisha hio katiba.Tatizo machawa yalianza zamani.huyo aliyependekeza hicho kifungu alikuwa na lengo la kijipendekeza kwa rais.Ni sawa tu na ile rasmu ya kati a ya warioba ambayoilivurugwa na machawa wa ccm kwa kutaka kuondoa kipengele cha serikali tatu.Yaani chawa anapingana na maoni ya wananchi wanavyotaka.
Ndio maana nikasema kwa kisingizio..Amani bila haki?
Mbona haya ni mambo mepesi sana kufikirika, watanzania ni zaidi ya 50 million. Hili ni bomu tunatengeneza siku likilipuka hakuna wa kuzuia.
Ni jambo la mda tu…
Katiba haina shida na ndiyo maana ilituongoza vizuri hadi 1992 wakati wa vuguvugu la vyama vingi.Waafrika ni nani aliyetuloga?
Hii katiba ilipitishwa na nani?
Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli?
Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini?
Nikitafakari naona aibu.
Tufanye Nakubaliana na wewe, so kiongozi mkuu hata akifanya madudu ni sahihi asiguswe?Katiba haina shida na ndiyo maana ilituongoza vizuri hadi 1992 wakati wa vuguvugu la vyama vingi.
Ila Katiba siyo kitabu kitakatifu ambacho hakiwi amended/ reviewed.
Kwangu mimi kuwalaumu walioandika na kupitisha Katiba ya mwaka 1977 siyo sahihi. Wanaopaswa kulaumiwa ni wale wa mwaka 2014 chini ya JK waliotumia Tsh 400 Bilioni bila kutuletea Katiba
Hivi kwa akili yako, hata katiba mpya itapita bila Samia kuwekewa kinga baada ya kutoka madarani?Waafrika ni nani aliyetuloga?
Hii katiba ilipitishwa na nani?
Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli?
Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini?
Nikitafakari naona aibu.
Je kwa akili ndogo, ni sawa Rais kuwekewa kinga?Hivi kwa akili yako, hata katiba mpya itapita bila Samia kuwekewa kinga baada ya kutoka madarani?