Tatizo ni utaratibu unaotumika kupitisha katiba mpya. Mfano tunapenda wabunge wasiwe mawaziri. Kumbuka kila mbunge anafukizia uwaziri. Je, Bunge litaafiki kupitisha sheria hiyo katika katiba mpya?Katiba haina shida na ndiyo maana ilituongoza vizuri hadi 1992 wakati wa vuguvugu la vyama vingi.
Ila Katiba siyo kitabu kitakatifu ambacho hakiwi amended/ reviewed.
Kwangu mimi kuwalaumu walioandika na kupitisha Katiba ya mwaka 1977 siyo sahihi. Wanaopaswa kulaumiwa ni wale wa mwaka 2014 chini ya JK waliotumia Tsh 400 Bilioni bila kutuletea Katiba
Kila jambo lina wakati wake. Yawezekana kwa wakati wanaandika walikuwa na sababu zao maana ilikuwa era ya chama kimoja.Tufanye Nakubaliana na wewe, so kiongozi mkuu hata akifanya madudu ni sahihi asiguswe?
Usisahau katiba inamlinda.
Kwanini unawatetea wa 1977 na hawakuwa sahihi pia?
Si sahihi hata kidogo ila nani ataingiza kichwa chake katika mdomo wa mamba. Maovu ya Samia na JK ma familia zao, unadhani watakubali? Wakati wao ndiyo wanatakiwa kuipotishaJe kwa akili ndogo, ni sawa Rais kuwekewa kinga?
Mkuu umepiga kwenye bull kabisa hapo. Hayo ndiyo mazingira yaliyopelekea kuipeperusha Rasimu ya Warioba kwa kuwa ilikuwa na hicho kipengele.Hivi kwa akili yako, hata katiba mpya itapita bila Samia kuwekewa kinga baada ya kutoka madarani?
Nafurahi kupata mtu anayenielewa katika kambo hili. Jinsi ya kufanya ni kwanza kuruhisu kuwepo ma mgombea huru. Baada ya hapo kuweka kifungu katika sheria kuwa mtu yeyote atakayeandaa na kupitisha katiba asiruhusiwe lugombea au kuajiriwa serikalini kwa muda wa miaka 20. Tatu hiyo uliyosema kuwa Samia katiba imlinde. İli baadaye kwa vile kuna mgombea huru akaangweMkuu umepiga kwenye bull kabisa hapo. Hayo ndiyo mazingira yaliyopelekea kuipeperusha Rasimu ya Warioba kwa kuwa ilikuwa na hicho kipengele.
Walikosa busara kidogo. Ningekuwa mimi ningeshauri waweke Disclaimer kuwa Katiba hii haitafanya kazi retrospectively.
Na baba yake Kombo pia alikuwepo!
Nyerere alikua kwenye hili swala?
Nyerere na CCM yake halafu kuna wajinga fulan wanamuona nyerere kama mungu waoWaafrika ni nani aliyetuloga?
Hii katiba ilipitishwa na nani?
Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli?
Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini?
Nikitafakari naona aibu.
Hii amani na utulivu huwa ni kwa upande wa watawala tu ila raia wa kawaida wewe ufai kuwa na amaniInachekesha na kusikitisha sana kwa sababu hivi vifungu huwa vinapitishwa kwa kisingizio cha kudumisha amani na utulivu wa nchi.
Yes ndio iko hivyo ndio maana nikasema huwa ni kisingizio.Hii amani na utivu huwa ni kwa upande wa watawala tu ila raia wa kawaida wewe ufai kuwa na amani
Na yote hayo yakifanyika, mwanasheria mkuu akiwa warioba ambaye naye leo analialia utafikiri wakati wanaipitisha ile katiba alikuwa amebwia konyagi
Tufanye kama Kenya. Walioshiriki kuandika katiba mpya walizuiwa kushiriki siasa kwa muda fulani baada ya katiba kupitishwa.Tatizo ni utaratibu unaotumika kupitisha katiba mpya. Mfano tunapenda wabunge wasiwe mawaziri. Kumbuka kila mbunge anafukizia uwaziri. Je, Bunge litaafiki kupitisha sheria hiyo katika katiba mpya?
Hivyo katiba mpya inafaa iandaliwe na kupitishwa na watu wasikuwa na interest zao katika katiba mpya
Mbona sheria ya pension mfano kikokotoo inaanza kutumika kwa wote immediately baada ya kubadilishwa. Kwanini isiwe inatumika kwa wale wanaopata kazi kuanzia siku sheria imebadilishwaSheria huwa hazifanyi kazi kuangalia nyuma. Zinaanzia sasa kwenda mbele. Hivyo Kikwete na Samia watakuwa salama, kitisho kwao ni familia zao. Lakini tatizo kubwa ni tabia yetu ya kulipa visasi, hofu yao ni wakiingia wengine wanaweza wasijali katiba inasema nini, wakawafanyizia.
Kumbe!Unajua Katiba mpya inaweza kusema Raisi alie madarakani au ambae alikuwa madarakani tangu tupate uhuru anaweza kushitakiwa ikiwa jopo la majaji 5 wa Mahakama ya Katiba wataona kuna ulazima wakufanya hivyo?
Kwa sababu itakuwa ni Katiba mpya, itakuwa imebatilisha sheria za katiba ya zamani, kwa hiyo ikiwa kutakuwa na ulazima wa kuwafungulia mashitaka Kikwete au Samia kwa mujibu wa Katiba mpya, itawezekana.
Tumpe challenge Pascal Mayala ikiwa tukiweka kipengele hiki kwenye "Katiba Mpya" kitatupa njia ya kuwafungulia mashitaka Kikwete na Samia ikiwa kuna makosa ya kuwapeleka mahakamani, kwa mujibu wa Katiba Mpya.
Principle hapa ni kwamba hatuwezi kuwa na Katiba Mpya ikitumika sambamba na Katiba ya zamani. Katiba Mpya inabatilisha kanuni zote za Katiba ya zamani, pamoja na sheria ya kinga za raisi kushitakiwa. Ni wazi Samia au Kikwete wakishitakiwa hawawezi kusema nilifanya jambo hilo ovu kwa sababu Katiba ya zamani iliniruhusu - itakuwa ni kujitia hatiani kwamba walifanya jambo walilojua lilikuwa ovu kwa sababu tu walijua wana kinga ya kikatiba.
Mbona iko wazi sana kuwa Nyerere ndiye aliyejipitishia katiba hiyo akiwa madarakaniWaafrika ni nani aliyetuloga?
Hii katiba ilipitishwa na nani?
Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli?
Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini?
Nikitafakari naona aibu.
NDIO. Joseph Sinde Warioba kwa sasa mwanaharakati wa CHADEMAHuyu huyu warioba ambaye leo nae ni mwana harakati?
Magufuli akaongeza kinga kwa Spika, Jaji Mkuu mpk kwa DPPKinga ya Rais ilikuwepo hata kabla ya Magu, hawa watawala wanajiamini hata wakifanya madudu hakuna sheria inawagusa
NO, alikuwa WariobaHakuwa Damian Lubuva?