Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 745
- 1,329
Ulikuwa ujanja wa mwalimu, wakati huo wasomi walikuwa wachache.Waafrika ni nani aliyetuloga?
Hii katiba ilipitishwa na nani?
Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli?
Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini?
Nikitafakari naona aibu.
Hilo la maana sana!Tufanye kama Kenya. Walioshiriki kuandika katiba mpya walizuiwa kushiriki siasa kwa muda fulani baada ya katiba kupitishwa.
Sijawahi kumtukuza Nyerere, maana nimejifunza alivyokuwa, sio anavyosifiwa.Halikua lako mkuu ila nimeandika kwa faida ya wengine, nisamehe kama limekukalia vibaya.
Ila sion sababu ya kumtukuza mtu huyo na sio kwa ubaya
Mambo maraisi kabisa na yenye tija haya na wala hayataki matumizi makubwa ya ubongo..Nafurahi kupata mtu anayenielewa katika kambo hili. Jinsi ya kufanya ni kwanza kuruhisu kuwepo ma mgombea huru. Baada ya hapo kuweka kifungu katika sheria kuwa mtu yeyote atakayeandaa na kupitisha katiba asiruhusiwe lugombea au kuajiriwa serikalini kwa muda wa miaka 20. Tatu hiyo uliyosema kuwa Samia katiba imlinde. İli baadaye kwa vile kuna mgombea huru akaangwe
Kwa wakati ule tulikuwa na rais mwenye akili sana wakati huu ni kinyume chakeNa yote hayo yakifanyika, mwanasheria mkuu akiwa warioba ambaye naye leo analialia utafikiri wakati wanaipitisha ile katiba alikuwa amebwia konyagi
Julius Nyerere, Pius Msekwa, Joseph Warioba na genge la wahuni wenzaoWaafrika ni nani aliyetuloga?
Hii katiba ilipitishwa na nani?
Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli?
Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini?
Nikitafakari naona aibu.
Kamulize spika Ndungai aliyejiwekea na yeye ila akasahau kukazia utekelezaji wake, Jibril akawapitia chap!Waafrika ni nani aliyetuloga?
Hii katiba ilipitishwa na nani?
Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli?
Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini?
Nikitafakari naona aibu.
Mbaya hakuna anayeona dark future, wacha wale washibe wakisherekeaKamulize spika Ndungai aliyejiwekea na yeye ila akasahau kukazia utekelezaji wake, Jibril akawapitia chap!
Kuua raia wake ndo matokeo ya kutowapunguzia nguvu..hata kuku anaekula mayai bandan kwako kuna njia tatu za kumpunguzia nguv...kumchinja,kukata mdomo au kumuuza..Waafrika tusilogwe kupunguza nguvu za marais wetu!
CHA MSINGI NI KUCHAGUA NA KUTEUA KWA BUSARA!
Kila zama na kitabu chake ..Na yote hayo yakifanyika, mwanasheria mkuu akiwa warioba ambaye naye leo analialia utafikiri wakati wanaipitisha ile katiba alikuwa amebwia konyagi
Duh!...tunatengeneza katiba Ili tunyooshane...?Nafurahi kupata mtu anayenielewa katika kambo hili. Jinsi ya kufanya ni kwanza kuruhisu kuwepo ma mgombea huru. Baada ya hapo kuweka kifungu katika sheria kuwa mtu yeyote atakayeandaa na kupitisha katiba asiruhusiwe lugombea au kuajiriwa serikalini kwa muda wa miaka 20. Tatu hiyo uliyosema kuwa Samia katiba imlinde. İli baadaye kwa vile kuna mgombea huru akaangwe
Kwa kiini macho wakampa Thabit Kombo uwenyekiti wa hicho kikundi kilichoandika katibaJulius Nyerere, Pius Msekwa, Joseph Warioba na genge la wahuni wenzao
Kinga ya Rais ipo toka enzi za Mwalimu NyerereAwamu ya Magu ya pili baada ya kufanikiwa kukwapua uchaguzi na kipitisha sheria zinazolitesa taifa hiki
Kwanini wanajiwekea hizi kinga kama wanajiona ni viongozi wazuri? Au ndo wanajua lazima wafanye mabaya? Sababu huwezi kujiwekea kinga kama unajua utatenda haki kwenye utawala wako. Haya wanayoyafanya wanayafanya kwa makusudi kabisa na siyo bahati mbaya. Dah!Magufuli akaongeza kinga kwa Spika, Jaji Mkuu mpk kwa DPP
Je aliyeongeza viumbe wengine ni nani?Kinga ya Rais ipo toka enzi za Mwalimu Nyerere
Jaji Joseph Sinde Warioba alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali kuanzia mwaka 1976 hadi 1985 chini ya uongozi wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hivyo, katiba ya 1977 inamuhusu.Hakuwa Damian Lubuva?
Huzuni kwa kweliJaji Joseph Sinde Warioba alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali kuanzia mwaka 1976 hadi 1985 chini ya uongozi wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hivyo, katiba ya 1977 inamuhusu.
Ilipitiwa upya enzi za Magufuli bunge likamuongeza na Spika Ndugai!Kinga ya Rais ipo toka enzi za Mwalimu Nyerere