Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

MJ hakuwa anatunga nyimbo zake zote,baadhi aliandikiwa, hivo ni vema unvetoa mfano wimbo upi uliona kazingua na sababu gani

All in all,he was a talented artist, lakini siku zake za mwisho duniani he was broke hata alikosa pesa ya nepi za watoto
 
Hivi hivi vitu huwa mnavisema metaphorically au? Yaani MJ akose pesa ya nepi za watoto!
Nimesoma kitabu cha bodyguard wake ninacho hata sasa hivi,hawa walikuwa naye siku za mwisho, hata petrol kwenye gari kuna kipindi waliweka kwa pesa yao MJ aliishiwa pesa

Jamaa walikuwa wanakaa miezi hawajalipwa, MJ alikuwa na pesa ndio ila zilienda kulipa madeni nk,

Bodyguard mmoja anasema alikuwa anaona ma receipt MJ anaingiza millions ila hakukuwa na pesa hata waliwahi kufukuzwa Hotelini kisa pesa hakuna
 
Hivyo vitabu vinavyoandikwa na bodyguards, wasaidizi etc. vingi huwa ni publicity stunts wakijaribu kuingiza pesa kutumia jina la mtu fulani maarufu, MJ in our case. Ila sioni sababu ya kukulaumu kuamini yalioandikwa humo.
 
Huwezi kujua wala huta kaa ujue mziki wa MJ
Achana naye, uliza mambo ya mziki wa bongo maana MJ na wewe ni Mbingu na Nchi walahi!
 
Bro
Hapo ni kutwanga maji kwenye kinu , MTU mwenyewe kishandu haelewi
 
Wewe ndo hujui kitu MJ alipambanishwa na Shahidi wa Yehova TP sijui kwa nn TP bongo hakuwika ila huko majuu alikua rival mkubwa wa MJ
 
MJ hakuwa anatunga nyimbo zake zote,baadhi aliandikiwa, hivo ni vema unvetoa mfano wimbo upi uliona kazingua na sababu gani

All in all,he was a talented artist, lakini siku zake za mwisho duniani he was broke hata alikosa pesa ya nepi za watoto
Story za vijiweni hizo ..

Mtu ambaye alikuwa amesaini deal la kupiga shows 50 ashindwe kununua nepi [emoji23]

Mtu mpaka anakufa alikuwa anamiliki catalog ya Beatles, Kila mwezi muamala unasoma, unaongea nini mzee !
 
Story za vijiweni hizo ..

Mtu ambaye alikuwa amesaini deal la kupiga shows 50 ashindwe kununua nepi [emoji23]

Mtu mpaka anakufa alikuwa anamiliki catalog ya Beatles, Kila mwezi muamala unasoma, unaongea nini mzee !
Nakuwekea kitabu hapa usome Mkuu.
Maana hutonielewa mpaka usome kitabu,hiyo catalog naijua, unaambiwa pesa zilikuwa zinaingia in millions lakini zilienda kulipa madeni na legal issues, MJ alikuwa pia na matumizi mabaya sana.

Sisi ni wasomi, soma hicho kitabu alafu utani quote tudiscuss zaidi, pia ukipata muda katafute interview ya baba yake alisema "mwanangu amekufa masikini, amekuwa na thamani zaidi alivokufa
 

Attachments

Hawa watoto wa 2006, kizazi cha singeli na Elimu bure wana kufuru za kishenzi.
 
Kweli kabisa. Jamaa kama Diamond anazuga na vimaneno vyake viwili vitatu anateleza kwa sana.

Tayari anaiteka dunia na kumtajirisha bila jasho.
Adabu yako ndogo mtu kwa Michael Jackson. Hebu kaskize Liberian girl au you rock my world. Afu uje tena
 
Uko sahihi mzee.
 
Kwa kweli ulimjua vizuri sana. He was SATANIC and magician at best. RIP MJ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…