Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

Nna nyimbo za kinq Hueston, , wakina , cool and the gang,
County nyung sana ila sio za huyo mjinga ulomtaja.
Hajui hata kdg
 
Mkuu tuwekee hiyo you are not alone
 
Hauna 'sikio' la kufahamu upi ni muziki mzuri na upi si muziki mzuri, unatakiwa ujiulize ni wapi unapoteleza mpaka unashindwa kubaini kwa nini msanii fulani anapendwa na wengi lakini wewe hauoni uzuri wa nyimbo zake?
 
Alafu anatokea mtu anasema jamaa wa kawaida haelewek
 
Kuanzia kule juu we ndo angalau umejib swali

Wengine wanabwabwaja tu hatuoni points
 
Dude, Michael Jackson was/is the most influential and incomparable Musician ever and at least for the next six or seven decades at all.
 
Nna nyimbo za kinq Hueston, , wakina , cool and the gang,
County nyung sana ila sio za huyo mjinga ulomtaja.
Hajui hata kdg
Kuna Taste ya mtu kuna kupenda genre mbalimbali na kuna utaalamu fulani hata kama hauna taste ya genre fulani ila huwezi kusema fulani hajui unless hio sio fani yako....

Hao wote uliwaowataja ingawa kwa kuwakosea majina na wana vibao vingapi ? Utagundua hata wao walikuwa influenced na Michael Jackson the guy is and was a legend the most decorated musical artists
 
You are not alone aliandikiwa na R Kelly ila sauti yake iliufanya huo wimbo kuwa epic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…