Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tuwekee hiyo you are not alone"We Are the World"
"I Just Can't Stop Loving You
"Bad"
"Say Say Say"
You are not alone
Heal the World
Real?????unasema MJ hajui kuandika unajua hizo nyimbo??
Hiyo ya mwisho tu Heal the world ni nyimbo nzuri sana MJ anasema
There's a place in your heart
And I know that it is love
And this place it was brighter than tomorrow
And if you really try
You'll find there's no need to cry
In this place you'll feel there's no hurt or sorrow
There are ways to get there
If you care enough for the living
Make a little space
Make a better place
Kwa sababu dunia nzima hawajui kiingereza ?Kweli kabisa. Jamaa kama Diamond anazuga na vimaneno vyake viwili vitatu anateleza kwa sana.
Tayari anaiteka dunia na kumtajirisha bila jasho.
Hauna 'sikio' la kufahamu upi ni muziki mzuri na upi si muziki mzuri, unatakiwa ujiulize ni wapi unapoteleza mpaka unashindwa kubaini kwa nini msanii fulani anapendwa na wengi lakini wewe hauoni uzuri wa nyimbo zake?Za jioni ndugu zangu, kwema?
Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa msanii maarufu na tajiri kuliko msanii yeyote hapa duniani.
Lakini pamoja na hizo sifa mbili kubwa nilizozitaja, kwangu mimi naona kuwa jamaa alibebwa na nyota tu kama ilivyo kwa Diamond, ila kiuimbaji au utungaji jamaa hakuwa anatunga au kuimba nyimbo zozote za maana.
Em fikiria Michael Jackson alikuwa na uwezo gani wa kutunga nyimbo nzuri na za maana kushinda wasanii kama Lionel Richie, Steven Wonder, Phil Collins, au mademu kama vile Whitney Houston, Celine Dion, Shania Twain nk.
Labda aliwashinda kwenye kucheza kama vile kusimamia kucha, kuteleza sakafuni, mabreka nk. Lakini kwenye tungo iwe za mapenzi, kijamii nk Michael alikuwa mweupe tu kama ilivyo kwa Diamond kuonekana anajua na kupata umaarufu wa ndani na nje zaidi ya wakongwe wa mziki kama vile kina Nature, Afande Sele, Kiba, Barnaba na wakongwe wengine mbali mbali.
Sijajua hili linatokana na nyota kweli au kuna namna tu media zinaamua kukubeba kwa lengo fulani.
Kwa kweli mpaka sasa sijauelewa mziki au wimbo uliomfanya Michael Jackson apendwe na kuitwa mfalme. Mwenye uelewa zaidi wa nyimbo zake aje atuambie.
Kuna comment moja imeandikwa kuwa target yako ilikuwa ni Diamond hapo kwa MJ ulipitia tu kama geresha, the dude was damn right.Kweli kabisa. Jamaa kama Diamond anazuga na vimaneno vyake viwili vitatu anateleza kwa sana.
Tayari anaiteka dunia na kumtajirisha bila jasho.
Alafu anatokea mtu anasema jamaa wa kawaida haelewekNakupenda Pia..., Nakutaka Pia Mpenzi We.........
Kuna wakati unaweza kuongelea Fani fulani ukajionesha ni vipi hujui hio Fani..., let alone mapenzi ya Kitu ila ulichosema hapo kinaonyesha ni vipi sio mfuatiliaji.....
Unaongelea mtu mwenye vibao zaidi ya 100; career ya tangia ana miaka 5 kwamba haeleweki?!!! Labda wewe ndio huelewi muziki....
American singer and songwriter Michael Jackson recorded songs for ten studio albums, two posthumous studio albums, seventy two compilation albums, three soundtrack albums, one live album and seven remix albums. He has provided background vocals for songs recorded by other artists, as well as featured on duets.
Jackson debuted on the professional music scene at age five as a member of The Jackson 5. The group set a chart record when its first four singles—
Kuanzia kule juu we ndo angalau umejib swali1. Jamaa ana sauti ambayo kwa kizazi cha sasa ni ngumu kuipata.
2. Anamiliki jukwaa hasa, kama kuna mtu umewahi kumuona anamilili jukwaa vizuri ktk show, basi elewa hajafika nusu ya michael jackson.
3. Alianza kutoa video dongo zenye kuvutia toka miaka 80 na 90 na mwanzoni mwa 2000. Katafute video zake uone.
Mwisho kabisa, alikuwa na spiritual power nyuma yake, alitengenezwa kuzimuni awe vile alivyokuwa, so sio rahisi mtu kushindana nae. Alianza kutumia masonic toka akiwa kijana mdogo, alisambaza ishu za kubadili rangi ulimwengu mzima, akaja watoto wa kupandikiza, akaja ishu ya kubadili jinsia.
Mambo yote mazito ya kipepo walianza kumtumia yeye kuwa kama mjumbe wake. Achana na zile ngonjera sijui alibadili dini, zote zile bado alikuwa ktk mission ya masonic.
Apumzike huko anakostahili kupumzishwa.
Dude, Michael Jackson was/is the most influential and incomparable Musician ever and at least for the next six or seven decades at all.Za jioni ndugu zangu, kwema?
Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa msanii maarufu na tajiri kuliko msanii yeyote hapa duniani.
Lakini pamoja na hizo sifa mbili kubwa nilizozitaja, kwangu mimi naona kuwa jamaa alibebwa na nyota tu kama ilivyo kwa Diamond, ila kiuimbaji au utungaji jamaa hakuwa anatunga au kuimba nyimbo zozote za maana.
Em fikiria Michael Jackson alikuwa na uwezo gani wa kutunga nyimbo nzuri na za maana kushinda wasanii kama Lionel Richie, Steven Wonder, Phil Collins, au mademu kama vile Whitney Houston, Celine Dion, Shania Twain nk.
Labda aliwashinda kwenye kucheza kama vile kusimamia kucha, kuteleza sakafuni, mabreka nk. Lakini kwenye tungo iwe za mapenzi, kijamii nk Michael alikuwa mweupe tu kama ilivyo kwa Diamond kuonekana anajua na kupata umaarufu wa ndani na nje zaidi ya wakongwe wa mziki kama vile kina Nature, Afande Sele, Kiba, Barnaba na wakongwe wengine mbali mbali.
Sijajua hili linatokana na nyota kweli au kuna namna tu media zinaamua kukubeba kwa lengo fulani.
Kwa kweli mpaka sasa sijauelewa mziki au wimbo uliomfanya Michael Jackson apendwe na kuitwa mfalme. Mwenye uelewa zaidi wa nyimbo zake aje atuambie.
Kuna Taste ya mtu kuna kupenda genre mbalimbali na kuna utaalamu fulani hata kama hauna taste ya genre fulani ila huwezi kusema fulani hajui unless hio sio fani yako....Nna nyimbo za kinq Hueston, , wakina , cool and the gang,
County nyung sana ila sio za huyo mjinga ulomtaja.
Hajui hata kdg
[emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]daahhhhUmezaliwa 2004 unataka kumuelewa michael jackson na muziki wake.
You are not alone aliandikiwa na R Kelly ila sauti yake iliufanya huo wimbo kuwa epic"We Are the World"