Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

Siku hizi mada za kuchepuka na kutembea na wake za watu zinatrend kila kona duh au ndio maisha tuliyojichagulia kizazi hiki
 
Dah ukioa wa aina hii kazi unayo yaani uishii maisha yote unakula mboga na ugali mmoja tu jmn wake zetu mtuhurumie sie waume zenu haiwezekani kutochepuka maana wanawake mpo wengi sana jmn nao wanataka huduma kama mnayopewa ndoani jmn
 
Umenifanya nicheke sana.katerero niliwahi kumpiga dada moja,ww acha tu huyo dada baada ya kumuacha alizimia siku tatu hospitalini,katerero ukimpiga mke wa mtu,hiyo ndoa lazima iwe na shida
 
Hamna shida mkuu kama umechoka kula mboga ya aina moja we nenda katafute ya kubadilisha ila mke wako kwa sabsbu na yy n binadamu atabadili mboga pia maana mboga ya aina moja inachosha na huko nje pia kuna wanaume wanaohitaj huduma unayopewa ww ndani
 
mimi haya mambo yakuchepuka yananiumiza sana,ngoja niendelee kusoma tu nitapata somo hapa

Je ukigundua mmeo anachepuka unafanyaje? lakini wanaume wengi humwacha mwanamke huyo tena hata akimsamehe ipo siku hiyo ndoa itavunjika tu.
 
Umenifanya nicheke sana.katerero niliwahi kumpiga dada moja,ww acha tu huyo dada baada ya kumuacha alizimia siku tatu hospitalini,katerero ukimpiga mke wa mtu,hiyo ndoa lazima iwe na shida
Katerero kitu ingine best imagine ameolewa na mume hajawahi kumpa hyo raha unafikiri atatulia huyo.
 
Ni vigumu sana huyo mwanamke kutulia,na ukimpata anaye kupiga katerero hata kuonga utaonga tu
Katerero kitu ingine best imagine ameolewa na mume hajawahi kumpa hyo raha unafikiri atatulia huyo.
 
Yani niache kukojozwa Ile raha kisa kuogopa kuachwa huku yeye Ana ruka ruka eeeh. Ka ni kuachwa niachwe tu
Je ukigundua mmeo anachepuka unafanyaje? lakini wanaume wengi humwacha mwanamke huyo tena hata akimsamehe ipo siku hiyo ndoa itavunjika tu.
 
Yani niache kukojozwa Ile raha kisa kuogopa kuachwa huku yeye Ana ruka ruka eeeh. Ka ni kuachwa niachwe tu

Bahati mbaya anayekukojoza naye ni mwanaume kama mmeo , ukiachwa na yeye anakaa mbali na wewe anaamua kuao au kustick na mkewe sasa unakigeuza kinapigwa na kila mtu na heshima inapotea,
Tunaposema mke asichepuke ipo impact kubwa sana pia wanaume tunajijua sote ni mambwa ata hao utakawakimbila baada ya kuachwa.
 
Mwanamke anaechepuka ni mchafu. Ila mwanaume anaechepuka anafanya dhambi. Mwanamke ameumbwa atulie ndo maana mwanamke ana wakati wake wa kunyegezika wakati sisi wanagangara tuko rede muda wote
 
Umeona eeeh huku mpenzi wako ni kukubaka tu hajui mambo. Wanaume hawajui kuchepuka wanawake ni vinara sema tuna siri kubwa tofauti na wanaume wao hufanya matangazo
Ni kweli kabisa .. Mwanaume kuchepuka na kuwa na michepuka ni ufahali na ndyo uanaume ndyo maana hakuna siri ila kwa mwanamke kuchepuka anonekana malaya tena mchafu asiyefaa kuigwa katika jamii ndyo maana wanajitahidi kufanya juu chini kukeep secret za uchafu wao maana inakuwa ni zaidi ya aibu mambo yanapokuwa hadharani
 
Umenifanya nicheke sana.katerero niliwahi kumpiga dada moja,ww acha tu huyo dada baada ya kumuacha alizimia siku tatu hospitalini,katerero ukimpiga mke wa mtu,hiyo ndoa lazima iwe na shida

nimecheka hadi nimekaa ktandani...lol...
 
Hahaaaaa Yale Yale eti mwanaume ni sawa acha kuchekesha mi mtu akiniita malaya huku nimekojozwa nafsi yangu kwatu I don't care. Yani kuitwa malaya sijali mkuu, kisa cha kufa na ugwadu nini acha tu niittwe majina yote I don't care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…